Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Wewe naona umechemka sasa. Umekosa hoja. Mpo wengi sana humu kwenye mitandao. Bahati mbaya tumeshawajua. Nitaanza kuwaumbua mmjoa baada ya mwingine.Wewe mwana CCM,naona umeshindwa kujibu hoja za serikali yako unayoishabikia umeishia kwenda kwenye site za Wakenya na pull some guy's profile eti sababu avatar zimefanana na kujifanya ni yangu....
CCM inafanya vibaya,na uchwara anafeli...Huwezi bisha hili.