Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
So...... hilo gari la JWTZ lilimpa lifti? Au ndio anataka kuwaonesha TAKUKURU yeye ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukabila ytakumaliza na kizazi chako chote huenda kama una kazi serikalini na cheo cha juu unaendekeza ujinga wa kizamani ni hatari mtu kama wewe kuendelea kuabudu ukabila! kama ni mhutu alipataje kaziTANROAD miaka yote hiyo kwa hiyo serkali ni wajinga kuajiri watu hao. hawa ndio wale waziba aliokuwa anawasema nyerere na wewe tukuambie ni mhaya uliyefilisika kiakili.Wengi hanjui kuwa kuna mabilioni yalipelekwa Chati halafu hamuulizi yalitoka wapi.
Hiyo si siasa ni accomplice to Public funds theft.
Na mchunguze huyo Kakoko, ni mhutu.
MABAKULI kichwa chako ni mzigo kwenye kiwiliwili chako. Hivi zile CAG reports za Charles Kicheere hujaona mahali wanasema kilikuwa transfer ya fedha kutoka TPA kwenda Mwanza kwenye akaunti binafsi?TAKUKURU hizi kesi zenu za kisiasa mama yenu aliambiwa na KAMATI KUU YA CCM zifutwe. Sasa sijui huyu mama ni mkorofi au TAKUKURU ndio wakorofi. Kubishana na kamati kuu
Sio kwamba yuko chini ya Ulinzi wa Jwtz?So...... hilo gari la JWTZ lilimpa lifti? Au ndio anataka kuwaonesha TAKUKURU yeye ni nani?
DuuhHii obsession ya wajinga wa Tanzania kwa Magufuli inadhalilisha Taifa. Magufuli was the most corrupt president than any other president ever happened to rule Tanzania. Na ndiyo maana Treasury akamuweka Nephew wake Dotto James, TPA kamuweka Kakoko etc
Ni illiterates tu ndiyo wanaamini kuwa Mwendazake alikuwa muadilifu kwa namna ambayo aliwajaza propaganda za uwongo
Wazanzibar wanatumika vibaya kuwasurubu wabara kwa visingizio vya uhujumu uchumi. Siku mkuu wa kaya akitoka kitini na yeye ajiandae kukikalia kiti kinachotokota kwa mafuta ya moto. Kinachoendelea ni ukatili wa kisiasa na udhalilishaji wa JPM kupitia mlango wa nyuma. Kwanza alitakiwa akatae uteuzi wa yeye msaidizi wa mtu ambaye alikuwa na maadili mabaya pamoja na baadhi ya wasaidizi wengine kuwakumbatia. Kutuhumu kwamba kuna pesa zilisombwa kupelekwa Chato hii ni chuki ya dhahiri kama mtoa mada unatania au unasema kweli kwa vyovyote unavyofahamu hapa mnakoka moto ambao hamtauzima. Jichungeni na kalamu zenu chonganishi kwa uzushi. Siku upepo ukigeuka mtalia na kusaga meno kuzidi hata alivyokuwa anatenda JPM subirini muda sio mrefu.Rejea headline ya Raia Mwema ya tarehe 24 August, 2022. Deus Kakoko alikuwa "Untouchable" kipindi cha Magufuli kutokana na kuwa msiri wake tangu akiwa Regional Manager wa TANROADS enzi za awamu ya 4.
View attachment 2333392
Wakati wa Mwendazake hata PM Majaliwa amewahi kugonga mwamba kwa hiki kisiki.
Soma na hizi threads nyingine hapa;
TAKUKURU mnatumika vibaya ipo siku ukweli utajulikana. Mlitumiwa na wanasiasa wa CCM 'kum-harass' Deusdeth Kakoko ili mhalalishe mradi wa kifisadi
We mbwa koko tokea lini ulipata akili timamu Yani wewe utakufa tuu siku si nyingi na mimi nasema ufe maana hakuna namna. Sonona imekujaa mpaka inamwagika.www.jamiiforums.com
TANROADS na kashfa ya kufanya kazi zisizo zao
Kwa kufuata utaratibu au kibabe babe tu?? Any of the two. Kwani mnadhani mama yeye atawabembeleza kwa kila jambo hadi 2030?www.jamiiforums.com
Sasa si ndiyo mtachukua nyinyi baada ya Mama kushindwa!! Si ufurahi sasa kwa nini unatoa povu wewe na atakayeshindwa ni 2025 ni Samia?we karai mshaurini mama yenu namna bora ya kujipatia pesa za maendeleo,huu uchwawa wa kushinda mnamsiliba jiwe hauwasaidii mtampa mtihani 2025.
Tulia kimya kama unanyolewa mavuzi Intelligence Justice na Wasukuma wenzio. Nyie na yule DIKTETA si mlikuwa mnafurahi kuwatumbua akina Wilson Kabwe, Dickson Mwaimu, na kuwasweka ndani akina Kitilya, Rugemalira etcWazanzibar wanatumika vibaya kuwasurubu wabara kwa visingizio vya uhujumu uchumi. Siku mkuu wa kaya akitoka kitini na yeye ajiandae kukikalia kiti kinachotokota kwa mafuta ya moto. Kinachoendelea ni ukatili wa kisiasa na udhalilishaji wa JPM kupitia mlango wa nyuma. Kwanza alitakiwa akatae uteuzi wa yeye msaidizi wa mtu ambaye alikuwa na maadili mabaya pamoja na baadhi ya wasaidizi wengine kuwakumbatia. Kutuhumu kwamba kuna pesa zilisombwa kupelekwa Chato hii ni chuki ya dhahiri kama mtoa mada unatania au unasema kweli kwa vyovyote unavyofahamu hapa mnakoka moto ambao hamtauzima. Jichungeni na kalamu zenu chonganishi kwa uzushi. Siku upepo ukigeuka mtalia na kusaga meno kuzidi hata alivyokuwa anatenda JPM subirini muda sio mrefu.
Hakuna Kiongozi wa ccm asiyekua na makandokando akichunguzwa vizuri!!Ni illiterates tu ndiyo wanaamini kuwa Mwendazake alikuwa muadilifu kwa namna ambayo aliwajaza propaganda za uwongo
Kwani kakoko ni mwanasiasa!!??TAKUKURU hizi kesi zenu za kisiasa mama yenu aliambiwa na KAMATI KUU YA CCM zifutwe. Sasa sijui huyu mama ni mkorofi au TAKUKURU ndio wakorofi. Kubishana na kamati kuu
Weka akiba ya maandishi yako na uchukue tahadhari.....kumbuka unasafiri kwenye bahari inayoelea hewani ambapo muda wowote, chochote kinaweza kutokea na upepo ukavuma vinginevyo utaficha wapi sura yako?Tulia kimya kama unanyolewa mavuzi Intelligence Justice na Wasukuma wenzio. Nyie na yule DIKTETA si mlikuwa mnafurahi kuwatumbua akina Wilson Kabwe, Dickson Mwaimu, na kuwasweka ndani akina Kitilya, Rugemalira etc
Tena mna bahati Samia anafuata utawala wa Sheria siyo kama yule KICHAA wenu. Ametumiwa na kuchunguzwa na TAKUKURU then baada ya mwaka mzima wa uchunguzi ndiyo anafikishwa Mahakamani. Na Mahakama ndiyo itasema kuwa ana hatia au hana
ya mama yakoAlikufisadia masaburi yako ama?
Ukabila tuliusahau toka Awamu ya kwanza, mpaka alivyoingia huyu mhutu na wahutu wenziwe.ukabila ytakumaliza na kizazi chako chote huenda kama una kazi serikalini na cheo cha juu unaendekeza ujinga wa kizamani ni hatari mtu kama wewe kuendelea kuabudu ukabila! kama ni mhutu alipataje kaziTANROAD miaka yote hiyo kwa hiyo serkali ni wajinga kuajiri watu hao. hawa ndio wale waziba aliokuwa anawasema nyerere na wewe tukuambie ni mhaya uliyefilisika kiakili.
Nitajie mhujumi uchumi mmoja tu anaetumikia kifungo hapa tz?Harafu wanasema Mwendazake alikuwa muadilifu [emoji38][emoji38]..
Stay tuned wanakuja wengine.
Kumbe kuna visasi! Hata baada ya takukuru kuvamia nyumba yake anayejiita kigogo alisema takukuru walikuta pesa taslimu nyumbani zaidi ya bilioni. Takukuru wakakanusha ule uzushi.
Hopefully, mahakama itamaliza udhia.