Deus Kakoko afikishwa TAKUKURU. Alikuwa "Untouchable" kwenye Utawala wa Jiwe

Wengi hanjui kuwa kuna mabilioni yalipelekwa Chati halafu hamuulizi yalitoka wapi.
Hiyo si siasa ni accomplice to Public funds theft.
Na mchunguze huyo Kakoko, ni mhutu.
ukabila ytakumaliza na kizazi chako chote huenda kama una kazi serikalini na cheo cha juu unaendekeza ujinga wa kizamani ni hatari mtu kama wewe kuendelea kuabudu ukabila! kama ni mhutu alipataje kaziTANROAD miaka yote hiyo kwa hiyo serkali ni wajinga kuajiri watu hao. hawa ndio wale waziba aliokuwa anawasema nyerere na wewe tukuambie ni mhaya uliyefilisika kiakili.
 
watu mnapotezwa inshu za tozo mmehamia kwenye inshu ya koko kweli ndiyo maana wakenya wanatuona ni wajinga
 
TAKUKURU hizi kesi zenu za kisiasa mama yenu aliambiwa na KAMATI KUU YA CCM zifutwe. Sasa sijui huyu mama ni mkorofi au TAKUKURU ndio wakorofi. Kubishana na kamati kuu
MABAKULI kichwa chako ni mzigo kwenye kiwiliwili chako. Hivi zile CAG reports za Charles Kicheere hujaona mahali wanasema kilikuwa transfer ya fedha kutoka TPA kwenda Mwanza kwenye akaunti binafsi?

Hii obsession ya wajinga wa Tanzania kwa Magufuli inadhalilisha Taifa. Magufuli was the most corrupt president than any other president ever happened to rule Tanzania. Na ndiyo maana Treasury akamuweka Nephew wake Dotto James, TPA kamuweka Kakoko etc
 
Duuh
 
Ni illiterates tu ndiyo wanaamini kuwa Mwendazake alikuwa muadilifu kwa namna ambayo aliwajaza propaganda za uwongo

we karai mshaurini mama yenu namna bora ya kujipatia pesa za maendeleo,huu uchwawa wa kushinda mnamsiliba jiwe hauwasaidii mtampa mtihani 2025.
 
Rejea headline ya Raia Mwema ya tarehe 24 August, 2022. Deus Kakoko alikuwa "Untouchable" kipindi cha Magufuli kutokana na kuwa msiri wake tangu akiwa Regional Manager wa TANROADS enzi za awamu ya 4.
View attachment 2333392
Wakati wa Mwendazake hata PM Majaliwa amewahi kugonga mwamba kwa hiki kisiki.

Soma na hizi threads nyingine hapa;

Wazanzibar wanatumika vibaya kuwasurubu wabara kwa visingizio vya uhujumu uchumi. Siku mkuu wa kaya akitoka kitini na yeye ajiandae kukikalia kiti kinachotokota kwa mafuta ya moto. Kinachoendelea ni ukatili wa kisiasa na udhalilishaji wa JPM kupitia mlango wa nyuma. Kwanza alitakiwa akatae uteuzi wa yeye msaidizi wa mtu ambaye alikuwa na maadili mabaya pamoja na baadhi ya wasaidizi wengine kuwakumbatia. Kutuhumu kwamba kuna pesa zilisombwa kupelekwa Chato hii ni chuki ya dhahiri kama mtoa mada unatania au unasema kweli kwa vyovyote unavyofahamu hapa mnakoka moto ambao hamtauzima. Jichungeni na kalamu zenu chonganishi kwa uzushi. Siku upepo ukigeuka mtalia na kusaga meno kuzidi hata alivyokuwa anatenda JPM subirini muda sio mrefu.
 
we karai mshaurini mama yenu namna bora ya kujipatia pesa za maendeleo,huu uchwawa wa kushinda mnamsiliba jiwe hauwasaidii mtampa mtihani 2025.
Sasa si ndiyo mtachukua nyinyi baada ya Mama kushindwa!! Si ufurahi sasa kwa nini unatoa povu wewe na atakayeshindwa ni 2025 ni Samia?

Yaani wewe huku humpendi Samia halafu unashauri namna ya kumbakiza madarakani 2025. NONSENSE
 
Wazanzibar wanatumika vibaya kuwasurubu wabara kwa visingizio vya uhujumu uchumi. Siku mkuu wa kaya akitoka kitini na yeye ajiandae kukikalia kiti kinachotokota kwa mafuta ya moto. Kinachoendelea ni ukatili wa kisiasa na udhalilishaji wa JPM kupitia mlango wa nyuma. Kwanza alitakiwa akatae uteuzi wa yeye msaidizi wa mtu ambaye alikuwa na maadili mabaya pamoja na baadhi ya wasaidizi wengine kuwakumbatia. Kutuhumu kwamba kuna pesa zilisombwa kupelekwa Chato hii ni chuki ya dhahiri kama mtoa mada unatania au unasema kweli kwa vyovyote unavyofahamu hapa mnakoka moto ambao hamtauzima. Jichungeni na kalamu zenu chonganishi kwa uzushi. Siku upepo ukigeuka mtalia na kusaga meno kuzidi hata alivyokuwa anatenda JPM subirini muda sio mrefu.
Tulia kimya kama unanyolewa mavuzi Intelligence Justice na Wasukuma wenzio. Nyie na yule DIKTETA si mlikuwa mnafurahi kuwatumbua akina Wilson Kabwe, Dickson Mwaimu, na kuwasweka ndani akina Kitilya, Rugemalira etc

Tena mna bahati Samia anafuata utawala wa Sheria siyo kama yule KICHAA wenu. Ametumiwa na kuchunguzwa na TAKUKURU then baada ya mwaka mzima wa uchunguzi ndiyo anafikishwa Mahakamani. Na Mahakama ndiyo itasema kuwa ana hatia au hana
 
TAKUKURU hizi kesi zenu za kisiasa mama yenu aliambiwa na KAMATI KUU YA CCM zifutwe. Sasa sijui huyu mama ni mkorofi au TAKUKURU ndio wakorofi. Kubishana na kamati kuu
Kwani kakoko ni mwanasiasa!!??
 
Tulia kimya kama unanyolewa mavuzi Intelligence Justice na Wasukuma wenzio. Nyie na yule DIKTETA si mlikuwa mnafurahi kuwatumbua akina Wilson Kabwe, Dickson Mwaimu, na kuwasweka ndani akina Kitilya, Rugemalira etc

Tena mna bahati Samia anafuata utawala wa Sheria siyo kama yule KICHAA wenu. Ametumiwa na kuchunguzwa na TAKUKURU then baada ya mwaka mzima wa uchunguzi ndiyo anafikishwa Mahakamani. Na Mahakama ndiyo itasema kuwa ana hatia au hana
Weka akiba ya maandishi yako na uchukue tahadhari.....kumbuka unasafiri kwenye bahari inayoelea hewani ambapo muda wowote, chochote kinaweza kutokea na upepo ukavuma vinginevyo utaficha wapi sura yako?
 
ukabila ytakumaliza na kizazi chako chote huenda kama una kazi serikalini na cheo cha juu unaendekeza ujinga wa kizamani ni hatari mtu kama wewe kuendelea kuabudu ukabila! kama ni mhutu alipataje kaziTANROAD miaka yote hiyo kwa hiyo serkali ni wajinga kuajiri watu hao. hawa ndio wale waziba aliokuwa anawasema nyerere na wewe tukuambie ni mhaya uliyefilisika kiakili.
Ukabila tuliusahau toka Awamu ya kwanza, mpaka alivyoingia huyu mhutu na wahutu wenziwe.
 
Hiyo ni sample ndogo sana kwa hao waitwao untouchables mbona walikuwepo top zaidi ya huyo hao wakiburuzwa kortini ndio nitaamini sasa mamlaka imeamua kufutulia mbali madhalimu wote.
 
Kumbe kuna visasi! Hata baada ya takukuru kuvamia nyumba yake anayejiita kigogo alisema takukuru walikuta pesa taslimu nyumbani zaidi ya bilioni. Takukuru wakakanusha ule uzushi.

Hopefully, mahakama itamaliza udhia.

Na hakuna mwendawazimu hata asiyeenda shule anaweza kuweka bilioni kwenye nyumba, labda uwe wewe ukiwa umechanganyikiwa kabisa!
 
Back
Top Bottom