Deus Kakoko afikishwa TAKUKURU. Alikuwa "Untouchable" kwenye Utawala wa Jiwe

Deus Kakoko afikishwa TAKUKURU. Alikuwa "Untouchable" kwenye Utawala wa Jiwe

MABAKULI kichwa chako ni mzigo kwenye kiwiliwili chako. Hivi zile CAG reports za Charles Kicheere hujaona mahali wanasema kilikuwa transfer ya fedha kutoka TPA kwenda Mwanza kwenye akaunti binafsi?

Hii obsession ya wajinga wa Tanzania kwa Magufuli inadhalilisha Taifa. Magufuli was the most corrupt president than any other president ever happened to rule Tanzania. Na ndiyo maana Treasury akamuweka Nephew wake Dotto James, TPA kamuweka Kakoko etc

Wewe utakuwa mmoja wa wale waliokatwa mavi wakati wa JPM. Ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo!
 
Kwanin asingeletwa na gari la polisi mpaka aletwe na gari la JWTZ?
 
Msiongee sana Rais na Makamu aliyepo ni sehemu ya huo uozo wa akina Kakoko.Mama aache usanii mbona alihoji matumizi ya fedha kuanzia January mpaka March na kuagiza TAKUKURU wachunguze, ripoti mbona kimya mpaka leo.Huyo Kakoko ataongea mambo mazito huko na kesi itapigwa kimya.Makamu alikuwa Waziri wa fedha na Mama alikuwa Makamu wa Rais,inamaana Kakoko anaweza kutoa fedha ya nchi bila Wakuu wa nchi na Waziri wa fedha kutojua?
Mimi nadhani tunaondolewa kwenye mjadala wa Tozo kiaina,mtuhumiwa anaingia TAKUKURU na gari ya Jeshi Kama Nani!!
Nchi ngumu hii,CCM na Serikali yao wote wezi tu!
 
Kumbe kuna visasi! Hata baada ya takukuru kuvamia nyumba yake anayejiita kigogo alisema takukuru walikuta pesa taslimu nyumbani zaidi ya bilioni. Takukuru wakakanusha ule uzushi.

Hopefully, mahakama itamaliza udhia.
Hizi kesi zinategemea ni nani yuko kwenye usukani. Walitoka mafisadi wa Magufuli wakaingia wa Samia. Sasa hivi akija rais mwingine utashangaa hawa hawa wanaosifiwa sasa hivi wanaweza kupelekwa mahakamani kwa ufisadi.
 
MABAKULI kichwa chako ni mzigo kwenye kiwiliwili chako. Hivi zile CAG reports za Charles Kicheere hujaona mahali wanasema kilikuwa transfer ya fedha kutoka TPA kwenda Mwanza kwenye akaunti binafsi?

Hii obsession ya wajinga wa Tanzania kwa Magufuli inadhalilisha Taifa. Magufuli was the most corrupt president than any other president ever happened to rule Tanzania. Na ndiyo maana Treasury akamuweka Nephew wake Dotto James, TPA kamuweka Kakoko etc
Wewe ni Mpuuzi tu
 
Hizi kesi zinategemea ni nani yuko kwenye usukani. Walitoka mafisadi wa Magufuli wakaingia wa Samia. Sasa hivi akija rais mwingine utashangaa hawa hawa wanaosifiwa sasa hivi wanaweza kupelekwa mahakamani kwa ufisadi.
Hao walioko madarakani kwa sasa hakuna hata mmoja atakayesalimika kuanzia nywele hadi vidole vya mguu tena kesi zisizo na dhamana na kwa mara ya kwanza hata wale wenye kinga zitavuliwa kwa maslahi ya taifa, maana utakuwa uongozi wenye nguvu ya radi (With direct impeachment powers through the strong investigative and trial instruments after legislation amendment)..... the long wait day is fast loading to materialize.
 
Sasa si ndiyo mtachukua nyinyi baada ya Mama kushindwa!! Si ufurahi sasa kwa nini unatoa povu wewe na atakayeshindwa ni 2025 ni Samia?

Yaani wewe huku humpendi Samia halafu unashauri namna ya kumbakiza madarakani 2025. NONSENSE

we pimbi kweli,akishindwa taifa linaingia shimoni,sisi povu linatutoka sababu sisi sio mapimbi kama nyinyi mnaoamini mpaka mshike usukani ndipo mrekebishe kwenye kosa.
 
Hao walioko madarakani kwa sasa hakuna hata mmoja atakayesalimika kuanzia nywele hadi vidole vya mguu tena kesi zisizo na dhamana na kwa mara ya kwanza hata wale wenye kinga zitavuliwa kwa maslahi ya taifa, maana utakuwa uongozi wenye nguvu ya radi (With direct impeachment powers through the strong investigative and trial instruments after legislation amendment)..... the long wait day is fast loading to materialize.
Under whose administration; if I may ask!
 
Rejea headline ya Raia Mwema ya tarehe 24 August, 2022. Deus Kakoko alikuwa "Untouchable" kipindi cha Magufuli kutokana na kuwa msiri wake tangu akiwa Regional Manager wa TANROADS enzi za awamu ya 4.
View attachment 2333392
Wakati wa Mwendazake hata PM Majaliwa amewahi kugonga mwamba kwa hiki kisiki.

Soma na hizi threads nyingine hapa;

Majizi yaliyozalishwa kwenye utawala wa sukuma gang lazima wote waswekweeee ndani
 
Back
Top Bottom