Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Shida ni kwamba wamasai ni wengi na mazalia yao ni mengi zaidi kuliko waliopo Ngorongoro!!..Wacha wawachokonoe zaidi huo Moto sijui Nani atakuja kuuzima?!!..Kuna hotel zinataka kujengwa pale ! Wamasai watachafulia hadi waone tanzania siyo nchi yao ! Duuh hii nchi ngumu sana! Tayari wanahabari walichapewa cha kwao mapema.
Hakuna sheria Tanzania inayotamka kuwa MTU akifa azikwaje ? Haipo Masai kutupa porini ni namna yake ,mhindi kuchoma moto ni namna yake nkBasi wewe ni mpuuzi uliyetukuka
kwa iyo unaona sawa watu kuacha maiti iliwe na wanyama?
Kuna sheria inayosema ukiamka muamkie au msalimie mzazi wake? kwa nini unamsalimia mzazi wako?Hakuna sheria Tanzania inayotamka kuwa MTU akifa azikwaje ? Haipo Masai kutupa porini in namna yake ,mhindi kuchoma moto no nna yake nk
Wewe unaweza kuonyesha makaburi ya mababu zako wote?Basi wewe ni mpuuzi uliyetukuka
Kuna sheria inayosema ukiamka muamkie au msalimie mzazi wake? kwa nini unamsalimia mzazi wakoHakuna sheria Tanzania inayotamka kuwa MTU akifa azikwaje ? Haipo Masai kutupa porini in namna yake ,mhindi kuchoma moto no nna yake nk
Watu wamelipwa sana.Sio sawa kuacha maiti iliwe na wanyama au itelekezwe popote pale, mwili wa binadamu unahitaji heshma yake hata baada ya uhai kutoka
Ila swali langu ni moja tuu, maiti zingine wanazozikimbiaga hawa wamasai nje ya ngorongoro huwa zinaliwa na nini?
Au ni haki maiti ziliwe na wanyama lakini iwe nje ya ngorongoro!???
Balile kashindwa kujua cha kuongea na pakuongelea. Amejidhalilisha, amethitisha kupokea rushwa kwa kushindwa kuja na hoja makini
Ndiyo. Njoo Ruvuma hapa nikuonesheWewe unaweza kuonyesha makaburi ya mababu zako wote?
Tupe huo ushahidi wa watu kulipwaWatu wamelipwa sana.
Balile ni mshamba sana. Yeye akaonyeshe makaburi ya babu zake wote. Mtu akizikwa kama kaburi halijajengwa, litapotea.Hakuna sheria Tanzania inayotamka kuwa MTU akifa azikwaje ? Haipo Masai kutupa porini in namna yake ,mhindi kuchoma moto no nna yake nk
Mimi huwa sisalimii mzazi kwa mila ya kabila yetu mzazi ndio mkiamka ndie anatakiwa akuamkie kujua wewe mtoto kama umeamka salama kama unaumwa akakutafutie dawaKuna sheria inayosema ukiamka muamkie au msalimie mzazi wake? kwa nini unamsalimia mzazi wako
Wewe ndo mjinga, hakuna aliyesema ni sawa kutupa maiti, kasema huo ni utamaduni wao. Kwa wamasai ni sawa wewe siyo sawa.kwa iyo unaona sawa wanavyotupa maiti porini? Jinga kabisa
Tupe huo ushahidi wa watu kulipwa
Mwambie Balile akuonyeshe clip ya maiti iliyotelekezwa na wamasai, wakafunga kondoo na kumuacha.Tupe huo ushahidi wa watu kulipwa
Nashangaa MTU anatoka Dar es salaam kwenda kupangia Masai azikaje!!!Yani hao vibushuti bahasha za kaki ndiyo ziwafanye waende kupangia watu namna ya kufanya maziko?
Kwa iyo ndo ushahidi wako kuwa amelipwa?Hoja za Balile kwenye hili sakata haziwezi tolewa hata na mtoto wa grade2
Ameaonekana useless kabisaaa
Yani hao vibushuti bahasha za kaki ndiyo ziwafanye waende kupangia watu namna ya kufanya maziko?
Umekariri Shikamoo ambayo ni salamu ya kitwana.Kuna sheria inayosema ukiamka muamkie au msalimie mzazi wake? kwa nini unamsalimia mzazi wako