Deusdedit Balile adai Ngorongoro hakuna makaburi hivyo Wamasai waondolewe Ngorongoro kuwaepusha kuendelea kuliwa na Wanyama

Kuna hotel zinataka kujengwa pale ! Wamasai watachafulia hadi waone tanzania siyo nchi yao ! Duuh hii nchi ngumu sana! Tayari wanahabari walichapewa cha kwao mapema.
Shida ni kwamba wamasai ni wengi na mazalia yao ni mengi zaidi kuliko waliopo Ngorongoro!!..Wacha wawachokonoe zaidi huo Moto sijui Nani atakuja kuuzima?!!..
 
kwa iyo unaona sawa watu kuacha maiti iliwe na wanyama?

Sio sawa kuacha maiti iliwe na wanyama au itelekezwe popote pale, mwili wa binadamu unahitaji heshma yake hata baada ya uhai kutoka

Ila swali langu ni moja tuu, maiti zingine wanazozikimbiaga hawa wamasai nje ya ngorongoro huwa zinaliwa na nini?

Au ni haki maiti ziliwe na wanyama lakini iwe nje ya ngorongoro!???

Balile kashindwa kujua cha kuongea na pakuongelea. Amejidhalilisha, amethitisha kupokea rushwa kwa kushindwa kuja na hoja makini
 
Hakuna sheria Tanzania inayotamka kuwa MTU akifa azikwaje ? Haipo Masai kutupa porini in namna yake ,mhindi kuchoma moto no nna yake nk
Kuna sheria inayosema ukiamka muamkie au msalimie mzazi wake? kwa nini unamsalimia mzazi wako?
 
Hakuna sheria Tanzania inayotamka kuwa MTU akifa azikwaje ? Haipo Masai kutupa porini in namna yake ,mhindi kuchoma moto no nna yake nk
Kuna sheria inayosema ukiamka muamkie au msalimie mzazi wake? kwa nini unamsalimia mzazi wako
 
Sio sawa kuacha maiti iliwe na wanyama au itelekezwe popote pale, mwili wa binadamu unahitaji heshma yake hata baada ya uhai kutoka

Ila swali langu ni moja tuu, maiti zingine wanazozikimbiaga hawa wamasai nje ya ngorongoro huwa zinaliwa na nini?

Au ni haki maiti ziliwe na wanyama lakini iwe nje ya ngorongoro!???

Balile kashindwa kujua cha kuongea na pakuongelea. Amejidhalilisha, amethitisha kupokea rushwa kwa kushindwa kuja na hoja makini
Watu wamelipwa sana.
 
Hakuna sheria Tanzania inayotamka kuwa MTU akifa azikwaje ? Haipo Masai kutupa porini in namna yake ,mhindi kuchoma moto no nna yake nk
Balile ni mshamba sana. Yeye akaonyeshe makaburi ya babu zake wote. Mtu akizikwa kama kaburi halijajengwa, litapotea.
 
Back
Top Bottom