Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Shida ni kwamba wamasai ni wengi na mazalia yao ni mengi zaidi kuliko waliopo Ngorongoro!!..Wacha wawachokonoe zaidi huo Moto sijui Nani atakuja kuuzima?!!..Kuna hotel zinataka kujengwa pale ! Wamasai watachafulia hadi waone tanzania siyo nchi yao ! Duuh hii nchi ngumu sana! Tayari wanahabari walichapewa cha kwao mapema.