Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Huenda amepelekwa Dodoma kupimwa afya ya akili, huu ni upelelezi wa aina mpya ya intelijensia.Wanabodi
This is a developing story
Yaani story muendelezo
Jana jioni katika eneo la Magomeni Usalama, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga mtu na kumua kwa ajali, mwanamke mmoja. Mwanzo gari na dereva wake walidakwa na kuhifadhiwa kituo cha polisi cha Magomeni Polisi. Leo Dereva Amesepa, kwa kusepishwa na Polisi!
Itaendelea kesho.
Paskali
Akiwa na driving licence inakua traffic case ambayo anapata dhamana,ikiwa hana driving licence ni kesi ya mauaji haina dhamanaAdhabu yake kubwa ni ipi huyo dereva,kwa mujibu wa sheria?
Pasco ww ni classmate wangu ww ni mwanasheria. Isipokuwa ww au-practice That is a pure road accident na aina ya makosa hayo yana dhamanaWanabodi
This is a developing story
Yaani story muendelezo
Jana jioni katika eneo la Magomeni Usalama, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga mtu na kumua kwa ajali, mwanamke mmoja. Mwanzo gari na dereva wake walidakwa na kuhifadhiwa kituo cha polisi cha Magomeni Polisi. Leo Dereva Amesepa, kwa kusepishwa na Polisi!
Itaendelea kesho.
Paskali
kesho utakuepo hapo kituo cha polisi ili tujiridhishe juu ya taarifa hiyo senior counsel?🐒Wanabodi
This is a developing story
Yaani story muendelezo
Jana jioni katika eneo la Magomeni Usalama, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga mtu na kumua kwa ajali, mwanamke mmoja. Mwanzo gari na dereva wake walidakwa na kuhifadhiwa kituo cha polisi cha Magomeni Polisi. Leo Dereva Amesepa, kwa kusepishwa na Polisi!
Itaendelea kesho.
Paskali
Huyo ni wakili usiwe na shaka naye anajua anachokifanya.Kibaya zaidi story itaendelea kesho
Isipokuwa ww "au-practice" That is a pure road accident.Pasco ww ni classmate wangu ww ni mwanasheria. Isipokuwa ww au-practice That is a pure road accident na aina ya makosa hayo yana dhamana
It is not murder it's road accident sio ajabu mtuhumiwa kupewa dhamana ya polisi.Isipokuwa ww "au-practice" That is a pure road accident.
Hiyo "au-practice" unamaanisha nini! Naomba unieleweshe.
Ninataka kujua hiyo au-practice ina maana gani, kwa tafsiri "or-practice".It is not murder it's road accident sio ajabu mtuhumiwa kupewa dhamana ya polisi.
Pasco anashangaa hajui kwamba ni kawaida sana mtu kupata dhamana kwenye kesi za traffic
Nenda shuleNinataka kujua hiyo au-practice ina maana gani, kwa tafsiri "or-practice".
No Mkuu Mshana Jr , ni mimi mwenyewe, Mzee PascoMkuu kesho kwa maana ipi? Maana huu uzi ni wa alfajiri ya leo.. Halafu nilichotegemea kwenye 'developing story mbona sicho?
Mtu akisoma maudhui anaweza kudhani aliyaandika ni johnthebaptist
Nadhani ulimaanisha hau-practice.Nenda shule
Acha kukosa fadhila, mleta uzi ametimiza wajibu wake kwa kuijulisha jamii nini kimetokea. Kama polisi walifika na kumpeleka kituoni, sehemu salama, ni kwa nini apotelee hapo? Kama hiyo ni trafiki case si ingefuata mkondo wa kawaida wa sheria?Waandishi wa habari wa nanma hii wanamchango mdogo sana katika taifa!
Ajali imetokea, traffic case! Sasa huyo dereva kulindwa na polisi kuna ubaya gani? Yaani unataka kuuaminisha umma kwamba dereva kamuua huyo mama maksudi hivyo polisi wamemsepesha dereva kuficha au nn! Akili ya ajabu sana hii!
Baadhi ya ajali zinachangiwa na vitu vingi sote watumia barabara tuwe makini. Na tuache kujichukulia sheria mkononi