Uchaguzi 2020 Devota Minja (CHADEMA) aendelea na Kampeni kusaka Ubunge Morogoro Mjini

Jamii ya kitumwa huwaza utumwa siku zote , Who is Abood by the way ? kuwapa magari ya kuzikia ndugu zenu waliokufa kwa umasikini ndio tija ?
Huyo Devota hawezi mshinda Abood anapoteza muda wake tu!
 
Jamii ya kitumwa huwaza utumwa siku zote , Who is Abood by the way ? kuwapa magari ya kuzikia ndugu zenu waliokufa kwa umasikini ndio tija ?
Sio ajabu anaweza hata kumpisha alale na mkewe kitandani yeye alale sebuleni
 
Huyo Devota hawezi mshinda Abood anapoteza muda wake tu!
Change is a process kma Wassira aliangushwaga na say binti wa kumzaa tena wa mwisho then anythin is possible kwenye siasa.

Nani aliejuaga Dar ingewahi ongozwa na Meya wa CHADEMA? Acheni assumption wkt mnatype mkiwa Chato
 
Aboud anafikiri anaweza kuendelea kununua ubunge miaka yote!!
 
Niseme tu ukweli post zako hasa headings hua zina nikosha sana bidada 😊 ! Yaani utadhani kweli !
 
Kwa taarifa yako Devota aliamua kwa makusudi kukosea kujaza fomu za uteuzi ili aenguliwe asipoteze kugombea sehemu aliyo na uhakika wa kushindwa. Hata hiyo rufaa kakatiwa na wapambe sio yeyr aliyejishughulisha
 
Wa kumtoa Abood Moro bado hajazaliwa!
Kama wa kumtoa hajazaliwa ilikuwaje akacheza mchezo wa kihuni ili Minja asigombee? Mtu ambaye hawezi hata kujieleza mwenyewe unasema hawezi kushindwa? CCM mna ujinga mwingi sana!
 
Kwa taarifa yako Devota aliamua kwa makusudi kukosea kujaza fomu za uteuzi ili aenguliwe asipoteze kugombea sehemu aliyo na uhakika wa kushindwa. Hata hiyo rufaa kakatiwa na wapambe sio yeyr aliyejishughulisha
Kawadanganye wajinga, sio JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…