Devotha Minja: Namshangaa Hussein Bashe kutaka Bodaboda za Maafisa Ugani zifungwe GPS

Shida ni upigaji..connections

Kazi inaanza pale Gps Pikipiki moja kufunga tu ni 10,000,000Tsh.

Wazo ni zuri
 
Shida ni upigaji..connections

Kazi inaanza pale Gps Pikipiki moja kufunga tu ni 10,000,000Tsh.

Wazo ni zuri
 
Lengo la Bashe kufunga GPS ni Lipi!?
Na kama lengo ni zuri na linasaidia kuboresha utendaji hizo GPS zifungwe kwenye Magari yote ya watumishi wa umma wakiwamo mawaziri [emoji1787]
Nchi hii ina majambazi eti ni viongozi,hivi wanafunga huo mfumo kwa pikipiki ya Afisa ugani na hawezeshwi wala mafuta na hana vitendea kazi vya kupimia udongo na kishikwambi kutunzia taarifa alafu wanatumia Mabilioni kufunga GPS,shamba la Bibi
 
Haijakaa sawa,waanze wao kuwa mfano wa GPS!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…