DG Wa Fcc Anatumika Kuisaidia Team Ya Simba Kuhusu Mkataba Wa TFF na GSM.

Siku likifika jambo huko fifa mtasema tunajua dewj anashinda kule na raisi wa fifa. Uto bwana nyani nyani tu
Achana Na Hao GSM
Wao Hawataki Wanaojua Wawaelimishe Ukiukwaji Wa Mkataba
 
Sasa Kama Simba mwezake na hapo hapo unakiri kuwa alimtimua Magori kazi. Uoni Ni maadui hao?
 
Mkataba wa magumashi kati ya TFF na GSM lazima ujadiliwe hautakiwi kuwa siri, hivi visingizio vya kitoto hatutaki, mambo yenu ya kihuni hayawezi kuachwa kwasababu Erio ana kadi ya Simba SC, yuko pale kwa profession sio ushabiki wa timu yoyote.
 
Kama mkataba haukufuata sheria basi ni Null and Void. Hata awe mtu wa GSM ndio DG wa FCC hawezi kuwasaidia.
By tje way pole kwa kufukuzwa kazi
 
Ulitaka DG awe manara ndio ujue haki itatendeka
 
Duh! Acha Umbea! Erio kaja NSSF wakati huo kina Magori,Chiku Matesa, Dau na wengine wengi walishatoka zamani tu!

Sijui hata kama ni kweli umefanya kazi NSSF wewe
Hujui kitu Mzee, Erio alivyoingia Nssf Ndio akawatimua Directors wote wa Dau na wale wa Prof. K
 
Huyo jamaa aliwekwa pale kimkakati kumsaidia mo atimize malengo yake baada ya DG wa mwanzo kuwa na walakini na mabadiliko ya simba,ila nimeona kama jana mama kamla kichwa
 
Alishawahi jisemea Haji Manara kua Wanayanga hata awe msomi vipi inapokuja kwenye Yanga yao akili zao zinakua sawa. Huu uzi umeandikwa kishabiki zaidi kuliko kisomi, na aliyeandika ni msomi.
 
Huyo jamaa aliwekwa pale kimkakati kumsaidia mo atimize malengo yake baada ya DG wa mwanzo kuwa na walakini na mabadiliko ya simba,ila nimeona kama jana mama kamla kichwa
Yule Dg wa fcc (Some1 Mduma) alipelekwa WCF, Kaliwa kichwa Jana??
 
Hivi baada ya Dr Dau kutoka NSSF nani alifata kua DG?? Je kina Magori na wenzake walitoka mwaka gani NSSF??
Baada ya Dr. Dau akaja Prof. Kayharara.

Magori, Chiku, Mrosso, Shemliwa, mtunda, kidula na akina adv. Komba na Mameneja wengine waliondolewa July 2016.
 
Carina Wangwe aliteuliwa kukaimu Tu
 
pambaneni na upumbavu wenu na GSM,jibuni hoja za CEO. Miafrika mna akili gani,leo hii mnalaumu wazungu kuwanyonya wakati mikataba ya kipuuzi mnasaini wenyewe
 
Nchi nzima ni mashabiki wa timu mbili tu za simba na yanga, Sasa unataka atoke upande upi ili ionekane atatenda haki?
Jinga sana huyu,
Yaan timu hizi mbili ni kama tu dini kuu mbili, wale wenye hawako kwenye hizi dini ni wachache sana. Sasa sijui alitaka DG wa FCC ateuliwe Mwana-Uto labda.
 
Baada ya Dr. Dau akaja Prof. Kayharara.

Magori, Chiku, Mrosso, Shemliwa, mtunda, kidula na akina adv. Komba na Mameneja wengine waliondolewa July 2016.
Kwanza kusema tu kua Erio ndo aliewaondoa kina Magori huoni kua hii ishara kua hawa wawili hawawezi kuiva pamoja? Sasa watu ambao mmoja alitia mchanga kitumbua cha mwenzie watakaaje tena wasuke mipango?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…