Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana Na Hao GSMSiku likifika jambo huko fifa mtasema tunajua dewj anashinda kule na raisi wa fifa. Uto bwana nyani nyani tu
Kama mkataba haukufuata sheria basi ni Null and Void. Hata awe mtu wa GSM ndio DG wa FCC hawezi kuwasaidia.Wakuu Naomba Kudeclare Interest Kwamba DG Wa Sasa Wa Fcc Adv. William Erio alikuwa ni Boss Wangu Wakati Mm ninafanya Kazi Nssf Idara ya Sheria.
Erio Ndio DG Wa Sasa Wa Fcc na Ni Mwanasimba Mwenye Kadi Halali Kabisa na Erio ni Sehemu ya Jopo La Ushauri Upande Masuala ya Kisheria Ndani ya Club Ya SSC.
Erio na Kiongozi Wa Simba Wa Sasa Ndg. Magori Wote wamefanya Kazi Nssf Wakati Huo Magori Alikuwa ni DO.
Baada ya Erio Kuteuliwa Kuwa Dg Wa Nssf Wakati Huo, Erio Aliwatimua Akina Magori Na wakuu Wa Idara wenzake.
So Magori na Erio Wote Ni Wanasimba Na Magori na Viongozi Wa Simba Ndio Walipeleka Malalamiko Fcc Kuhusu Makataba Wa GSM na Tff.
So Kuna Kila Aina ya Njama Fcc kuja na Maamuzi Kwamba Contract Kati ya GSM na Tff Ni Null and Void.
Tusubili Maamuzi Ya Fcc mtakuja kuelewa baadae ni Nini namaanisha [emoji120][emoji120]
Leta basi wewe wenye faida.Ule mkataba wa ajabu hauna faida hata kidogo kwa tff na bodi ya ligi hawana hata mia pale watakayopata
Hujui kitu Mzee, Erio alivyoingia Nssf Ndio akawatimua Directors wote wa Dau na wale wa Prof. KDuh! Acha Umbea! Erio kaja NSSF wakati huo kina Magori,Chiku Matesa, Dau na wengine wengi walishatoka zamani tu!
Sijui hata kama ni kweli umefanya kazi NSSF wewe
Huyo jamaa aliwekwa pale kimkakati kumsaidia mo atimize malengo yake baada ya DG wa mwanzo kuwa na walakini na mabadiliko ya simba,ila nimeona kama jana mama kamla kichwaWakuu Naomba Kudeclare Interest Kwamba DG Wa Sasa Wa Fcc Adv. William Erio alikuwa ni Boss Wangu Wakati Mm ninafanya Kazi Nssf Idara ya Sheria.
Erio Ndio DG Wa Sasa Wa Fcc na Ni Mwanasimba Mwenye Kadi Halali Kabisa na Erio ni Sehemu ya Jopo La Ushauri Upande Masuala ya Kisheria Ndani ya Club Ya SSC.
Erio na Kiongozi Wa Simba Wa Sasa Ndg. Magori Wote wamefanya Kazi Nssf Wakati Huo Magori Alikuwa ni DO.
Baada ya Erio Kuteuliwa Kuwa Dg Wa Nssf Wakati Huo, Erio Aliwatimua Akina Magori Na wakuu Wa Idara wenzake.
So Magori na Erio Wote Ni Wanasimba Na Magori na Viongozi Wa Simba Ndio Walipeleka Malalamiko Fcc Kuhusu Makataba Wa GSM na Tff.
So Kuna Kila Aina ya Njama Fcc kuja na Maamuzi Kwamba Contract Kati ya GSM na Tff Ni Null and Void.
Tusubili Maamuzi Ya Fcc mtakuja kuelewa baadae ni Nini namaanisha [emoji120][emoji120]
Yule Dg wa fcc (Some1 Mduma) alipelekwa WCF, Kaliwa kichwa Jana??Huyo jamaa aliwekwa pale kimkakati kumsaidia mo atimize malengo yake baada ya DG wa mwanzo kuwa na walakini na mabadiliko ya simba,ila nimeona kama jana mama kamla kichwa
Sina hakika ila kuna sehemu kama niliona kuna mtu kaliwa kichwaYule Dg wa fcc (Some1 Mduma) alipelekwa WCF, Kaliwa kichwa Jana??
Baada ya Dr. Dau akaja Prof. Kayharara.Hivi baada ya Dr Dau kutoka NSSF nani alifata kua DG?? Je kina Magori na wenzake walitoka mwaka gani NSSF??
Carina Wangwe aliteuliwa kukaimu TuDuh! Nazidi kupata wasiwasi kama kweli wewe umefanya kazi NSSF, Baada ya Ramadhan Dau, Jenister Mhagama alimteua Mama mmoja anaitwa Dr Carina Wangwe,huyu Mama sijui hata kama aliingia ofisini,Magu akatengua uteuzi wake! Akamteua Prof Gadius Kahyarara!
Bodi ya Wakurugenzi wa NSSF iliyokua chini ya kina Prof Samwel Wangwe, ndiyo waliwafuta kazi kina Magori na wenzake,enzi hizo DG akiwa ni Kahyarara!
Jinga sana huyu,Nchi nzima ni mashabiki wa timu mbili tu za simba na yanga, Sasa unataka atoke upande upi ili ionekane atatenda haki?
Kwanza kusema tu kua Erio ndo aliewaondoa kina Magori huoni kua hii ishara kua hawa wawili hawawezi kuiva pamoja? Sasa watu ambao mmoja alitia mchanga kitumbua cha mwenzie watakaaje tena wasuke mipango?Baada ya Dr. Dau akaja Prof. Kayharara.
Magori, Chiku, Mrosso, Shemliwa, mtunda, kidula na akina adv. Komba na Mameneja wengine waliondolewa July 2016.