DG Wa Fcc Anatumika Kuisaidia Team Ya Simba Kuhusu Mkataba Wa TFF na GSM.

Mpira wa Tanzania unaongozwa na binadam.
Kwa vyovyote vile hawa binadamu nao wana mapenzi yao kwa timu zinazoshiriki ligi yetu.
Kwa kifupi kiongozi kuwa mwanasimba au timu nyingine siyo sababu ya Simba kufumbia macho mikataba ya ovyo.
Simba itaendelea kudai haki zake bila kujali nani yuko wapi.
 
Yani ni hivi Uto maji mtaita mma,kama uhuni Simba ndo wanagawa phd za uhuni,kama pesa Simba zinamwagika,kama uchawi kaburi la Bamchawi lipo.
Simba aijawai kushindwa vita yoyote ile.
Dah.. umenikumbusha enzi zile za uongozi wa Mzee Amir Ally Bamchawi (RIP). Ilikuwa kanyaga twende starehe tupu kuanzia Premier League hadi Cecafa
 
Duu uu.!!?? Kwahiyo unamaanisha hapo hakuna proffessionalism bali ni mizengwe tu... Lkn ww si mwanasheria pia mbona nakuona kama kilaza vile halafu unafanya kazi kwenye taasisi kubwa? Kwahali nchi hii itachukua muda mrefu kuifanya elimu iendane na fikra pamoja na uelimikaji. Samahani kama nimekukwaza karibu Dodoma
 
Upuuzi wako Huu. Niko Hapa Dom Kwenye Taasisi Kubwa zaidi Ya Hiyo Nssf.
 

Sisi Yangaa Hatutishwi na Maneno hayo...
Sisi ni Vitendo uwanjani na Nje ya Uwanja,Hata Kama Wakiondoa Udhamini Bado tutatumia hata Mbinu nyingine kupata Ushindi,Kwanza Uwanjani tuko 100%Kwa Mpira wa Kasi Pili hata Iweje mwaka huu Ubingwa unaenda Jangwani,Ndani ya Uwanja nje pia.Kwa futina zoote!
 

Kule CAS mnyama alihonga,Ndio Maana Baada ya Ushindi wa Morrison vyombo vingi vya Habari havikuripoti sanaaa,Hata Mashabiki tulipoa
Cc: Josh J
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…