DG Wa Fcc Anatumika Kuisaidia Team Ya Simba Kuhusu Mkataba Wa TFF na GSM.

DG Wa Fcc Anatumika Kuisaidia Team Ya Simba Kuhusu Mkataba Wa TFF na GSM.

Mpira wa Tanzania unaongozwa na binadam.
Kwa vyovyote vile hawa binadamu nao wana mapenzi yao kwa timu zinazoshiriki ligi yetu.
Kwa kifupi kiongozi kuwa mwanasimba au timu nyingine siyo sababu ya Simba kufumbia macho mikataba ya ovyo.
Simba itaendelea kudai haki zake bila kujali nani yuko wapi.
 
Yani ni hivi Uto maji mtaita mma,kama uhuni Simba ndo wanagawa phd za uhuni,kama pesa Simba zinamwagika,kama uchawi kaburi la Bamchawi lipo.
Simba aijawai kushindwa vita yoyote ile.
Dah.. umenikumbusha enzi zile za uongozi wa Mzee Amir Ally Bamchawi (RIP). Ilikuwa kanyaga twende starehe tupu kuanzia Premier League hadi Cecafa
 
Wakuu Naomba Kudeclare Interest Kwamba DG Wa Sasa Wa Fcc Adv. William Erio alikuwa ni Boss Wangu Wakati Mm ninafanya Kazi Nssf Idara ya Sheria.

Erio Ndio DG Wa Sasa Wa Fcc na Ni Mwanasimba Mwenye Kadi Halali Kabisa na Erio ni Sehemu ya Jopo La Ushauri Upande Masuala ya Kisheria Ndani ya Club Ya SSC.

Erio na Kiongozi Wa Simba Wa Sasa Ndg. Magori Wote wamefanya Kazi Nssf Wakati Huo Magori Alikuwa ni DO.

Baada ya Erio Kuteuliwa Kuwa Dg Wa Nssf Wakati Huo, Erio Aliwatimua Akina Magori Na wakuu Wa Idara wenzake.

So Magori na Erio Wote Ni Wanasimba Na Magori na Viongozi Wa Simba Ndio Walipeleka Malalamiko Fcc Kuhusu Makataba Wa GSM na Tff.

So Kuna Kila Aina ya Njama Fcc kuja na Maamuzi Kwamba Contract Kati ya GSM na Tff Ni Null and Void.

Tusubili Maamuzi Ya Fcc mtakuja kuelewa baadae ni Nini namaanisha [emoji120][emoji120]
Duu uu.!!?? Kwahiyo unamaanisha hapo hakuna proffessionalism bali ni mizengwe tu... Lkn ww si mwanasheria pia mbona nakuona kama kilaza vile halafu unafanya kazi kwenye taasisi kubwa? Kwahali nchi hii itachukua muda mrefu kuifanya elimu iendane na fikra pamoja na uelimikaji. Samahani kama nimekukwaza karibu Dodoma
 
Upuuzi wako Huu. Niko Hapa Dom Kwenye Taasisi Kubwa zaidi Ya Hiyo Nssf.
 
Wakuu Naomba Kudeclare Interest Kwamba DG Wa Sasa Wa Fcc Adv. William Erio alikuwa ni Boss Wangu Wakati Mm ninafanya Kazi Nssf Idara ya Sheria.

Erio Ndio DG Wa Sasa Wa Fcc na Ni Mwanasimba Mwenye Kadi Halali Kabisa na Erio ni Sehemu ya Jopo La Ushauri Upande Masuala ya Kisheria Ndani ya Club Ya SSC.

Erio na Kiongozi Wa Simba Wa Sasa Ndg. Magori Wote wamefanya Kazi Nssf Wakati Huo Magori Alikuwa ni DO.

Baada ya Erio Kuteuliwa Kuwa Dg Wa Nssf Wakati Huo, Erio Aliwatimua Akina Magori Na wakuu Wa Idara wenzake.

So Magori na Erio Wote Ni Wanasimba Na Magori na Viongozi Wa Simba Ndio Walipeleka Malalamiko Fcc Kuhusu Makataba Wa GSM na Tff.

So Kuna Kila Aina ya Njama Fcc kuja na Maamuzi Kwamba Contract Kati ya GSM na Tff Ni Null and Void.

Tusubili Maamuzi Ya Fcc mtakuja kuelewa baadae ni Nini namaanisha [emoji120][emoji120]

Sisi Yangaa Hatutishwi na Maneno hayo...
Sisi ni Vitendo uwanjani na Nje ya Uwanja,Hata Kama Wakiondoa Udhamini Bado tutatumia hata Mbinu nyingine kupata Ushindi,Kwanza Uwanjani tuko 100%Kwa Mpira wa Kasi Pili hata Iweje mwaka huu Ubingwa unaenda Jangwani,Ndani ya Uwanja nje pia.Kwa futina zoote!
 
Ukianza kuangalia kwa mtazamo huo huwezi kua fair katika maoni yako. Kua Simba au Yanga hakufanyi mtu aache kutekeleza majukumu yake mengine ya kiserikali bila uonevu au upendeleo

Na kule CAS mlikoshindwa rufaa ya Morison nani alikua ni mwanachama wa Simba kwenye ile kamati?

Mkataba wa GSM na TFF una mgongano wa ki maslahi wa moja kwamoja na haufai. Wale jamaa wame take advantage ya njaa kwa vilabu vyetu wakapitisha mambo yao. Hilo limewakwama shingoni mkuu, mlicheuwe tu[emoji1787]

Kule CAS mnyama alihonga,Ndio Maana Baada ya Ushindi wa Morrison vyombo vingi vya Habari havikuripoti sanaaa,Hata Mashabiki tulipoa
Cc: Josh J
 
Back
Top Bottom