Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

Sioni mimi ulicho kizungumza na hiki ulicho post haviendani kabisa.
Tatizo CCM huko elimu ni ndogo sishangai!! Ni hivi madai ya Kodi ni trillion zaidi ya 450!! Kwa makadirio ya juu Sasa aliyesababisha hizo hasara ni ACACIA kwa kusafirisha Makinikia huku waki under state madini yaliyomo.

Sasa kiongozi mwandamizi wa hiyo kampuni VP Mwanyika alipewa ubunge na JPM ndio nakuuliza kama alipinga ufisadi na utoroshwaji madini why ampe ubunge mwizi mkuu wa madini?
 
Sasa Magu alimpa vipi,wakati kapigiwa kura na wananchi?

Mwenyewe ndio unajiona una elimu kisa mawazo yako na kinzana na CCM sijui mnafikiria kwa kutumia kitu gani ,kwa hiyo kila anaye msifia Magu yupo CCM?

Jamii forum hatuweki vyeti wala kutambiana elimu, tukisema tuweke vyetu nina uhakika utajiona mnyonge sana.

Alichofanya Magu hauhitaji uwe genius kwani hiyo 16% ya madini mnayo ifurahia kaisababisha nani. Tatizo lako unatembea na kiwiliwili ila kichwa anacho Zito nina uhakika sio akili yako.

Kuhusu swala la elimu nina uhakika hujafikia level niliyo ifikia mimi.Nyie mpo nyuma ya Keyboard, mimi hii Tanzania kwa nature ya kazi yangu nisha tembea sana najua kabla Magu alivyo ingia tulikuwaje na sasa tupo vipi.

Wewe endelea kukaa nyuma ya Keyboard uwasikilize wakina Zito may be ndio wanaokupa ugali.
 
Kuhusu swala la elimu nina uhakika hujafikia level niliyo ifikia mimi.
Sahivi unageukia 16% sio Tena trillion 450? Vipi ammendments kwenye Sheria ya permanent sovereignity? Mbona zimeturudisha kule kule? Hivi unajua Makinikia yanasafirishwa nje na sitoshangaa kama Bado Wana understate madini yaliyomo!!

Sijakashifu elimu Yako ila nimeshangaa nime attach report alafu hujaisoma kabisa!!. Seriously hauoni page 32 inasema trillion ngapi? Majedwali kweli umeshindwa jumlisha? It's suprising
 
1. Magu mwenyekiti wa CCM na ndio anageuka wagombea wa ubunge more so alimpigia kampeni.

2. Kuhusu elimu tusifike huko haikua Nia yangu tutambiane so apologies kama upo dissapointed.
 
Tatizo having relate na ulivyo viandika.Sasa unacho shangaa nini wewe si umegusa madini......!! Hiyo 16% ipo kwenye nini?

Ila najua huwezi msifia ila sisi tutampa sifa yake. Mimi kwa nature ya kazi yangu nishatembea sana Tz (nakaribia kuimaliza mikoa ya Tz) naijua kabla ya Magu hajaingia na baada ya kuingia,aliyo ya fanya Magu sikusimuliwa bali nimeyaona wewe kama huja yaona sawa.

Najua tatizo sio wewe bali unatembea na kiwiliwili kichwa umempa Zitto.
 
Kwani huyo mbunge si kapitishwa na wajumbe wa chama,wewe ulitaka Magu afanyeje labda?

Hiyo points namba 2 wengi wenu huwaga mnaikimbilia so siku shangaa wewe kuandika hivyo.
 
Uligoma hajaingia bungeni fisadi mara ukagoma trillion 450 hatudai sahivi Tena unakimbilia 16%? What's your stand??

2. Kuna maswali niliuliza kule juu kwenye madini
a. nani alikamatwa kwa wizi wa madini?
b. Niliuliza Trillion 450 ikwapi?
c. Niliuliza mbona ammendments zilifanyika kuanzia Sheria ya Mapato ya Mafuta na gesi, permanent sovereignty et al na in fact tukarudi kule kule kwa Makinikia kuruhusiwa kuwa refined nje ya nchi.
d. 16% unaongelea ila unasahau 50-50 economic benefits tulizoahidiwa ila mpaka Leo haikuwahi kuwa defined sio tu kisheria ila hata kwenye mikataba!!
e. Sheria ya TEITI inasema mikataba ipelekwe bungeni mbona JPM hakuleta mkataba wa Pangaea minerals bungeni? Wapi mkataba wa Tanzanite One? Hizo concession agreements kwenye gesi na maeneo mengine mbona JPM alituficha?
f. Nimeuliza plea bargain ilikuaje? Mbona alikusanya Hela ila hakukua na Sheria inayosema mapato hayo yapelekwe wapi?

Ukijibu hata Moja hapa ntaelewa JPM alikua serious na mambo ya ufisadi/utoroshwaji madini
 
Kwani huyo mbunge si kapitishwa na wajumbe wa chama,wewe ulitaka Magu afanyeje labda?

Hiyo points namba 2 wengi wenu huwaga mnaikimbilia so siku shangaa wewe kuandika hivyo.
Hapana kamati kuu ndio inateua sio kura za wajumbe Yale ni maoni tu so kwenye katiba ya CCM hakuna Cha mjumbe kupitisha mgombea zile ni KURA ZA MAONI!! Inaonyesha hausomi katiba ya CCM.

2. To be fair CCM wengi elimu za kuunga (Tafiti ya TWAWEZA) that's why imeshakua too obvious kwamba mtu akiwa CCM basi anakua perceived ni "la saba B"!!
 
Ehh Mwenye Enzi Mungu tuhurumie nchi yetu ya Tanzania [emoji1241] jamani [emoji24]
Enough is enough sasa ehh Mungu wangu [emoji24][emoji24]
 
Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.

Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne(sasa imeelezwa kuwa ni abiria saba).
Hii ni syndicate.

Maafisa wa Customs India waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.

Mama Tanzania tumekwisha.

giphy.gif
 
Hakuna anayepinga facts zako mkuu you might be 100% correct ila Mimi nilikua na clarify kilichopo kwenye Article!! Kuwa Dhahabu ilikua smuggled from UAE-DOHA to MUMBAI na Wala hakuna mahala ilikua smuggled from TZ to UAE!! Ni Hilo tu niliweka sawa maana tunakua conclusive sana kinyume na uhalisia.
Wananchi lazima tuwe na msimamo wa " abiria chunga mzigo wako" at global stage kwa rasilmali zetu adimu..
Serikali yoyote makini kwa habari hizi lazima ijiridhishe na habari hii, eti wasudani wawape wahindi wa kariakoo kilo 61 za dhahabu?

Hii ni racket kubwa, watu wasikae maofisini na kupewa report zisizo na mbele wala nyuma.
Fact at stake ni kilo 61 za dhahabu, hizi zatoka Tanzania, unless proven otherwise.
 
Inasikitisha sana.... Kilo 53 zilipitaje Airport yetu. Kilo 53 ni nyingi jamani zilipitaje mpaka kwenda kamatiwa India?

Screenshot_2022-11-15-07-42-17-252_com.instagram.android~2.jpg
 
Nchi yetu jamani kuna mambo mpaka yanatia kinyaa

Unajua uhujumu uchumi wa namna hii bila kuutafutia dawa ya maana itakuwaga ni hivi hivi

Hivi wazo la kupiga risasi naona kama litasaidia

Tamaa ya mtu mmoja au kikundi cha watu inatia taifa hasara ya kutosha

Tabia hizi si za kizalendo
 
CCM wanaliangamiza hili taifa kwa uongozi mbovu. Tanzania inapigwa kila kona.
 
Back
Top Bottom