zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Tatizo CCM huko elimu ni ndogo sishangai!! Ni hivi madai ya Kodi ni trillion zaidi ya 450!! Kwa makadirio ya juu Sasa aliyesababisha hizo hasara ni ACACIA kwa kusafirisha Makinikia huku waki under state madini yaliyomo.Sioni mimi ulicho kizungumza na hiki ulicho post haviendani kabisa.
Sasa kiongozi mwandamizi wa hiyo kampuni VP Mwanyika alipewa ubunge na JPM ndio nakuuliza kama alipinga ufisadi na utoroshwaji madini why ampe ubunge mwizi mkuu wa madini?