zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Tatizo CCM huko elimu ni ndogo sishangai!! Ni hivi madai ya Kodi ni trillion zaidi ya 450!! Kwa makadirio ya juu Sasa aliyesababisha hizo hasara ni ACACIA kwa kusafirisha Makinikia huku waki under state madini yaliyomo.Sioni mimi ulicho kizungumza na hiki ulicho post haviendani kabisa.
Wote si CCM,... Polepole alidai mna master plan mpaka 2060 kumbe hata hamkujua nani atakua Rais after 2020? 😂😂😂😂Mkome kuweka vibwengo madarakani
Sasa Magu alimpa vipi,wakati kapigiwa kura na wananchi?Tatizo CCM huko elimu ni ndogo sishangai!! Ni hivi madai ya Kodi ni trillion zaidi ya 450!! Kwa makadirio ya juu Sasa aliyesababisha hizo hasara ni ACACIA kwa kusafirisha Makinikia huku waki under state madini yaliyomo.
Sasa kiongozi mwandamizi wa hiyo kampuni VP Mwanyika alipewa ubunge na JPM ndio nakuuliza kama alipinga ufisadi na utoroshwaji madini why ampe ubunge mwizi mkuu wa madini?
Sahivi unageukia 16% sio Tena trillion 450? Vipi ammendments kwenye Sheria ya permanent sovereignity? Mbona zimeturudisha kule kule? Hivi unajua Makinikia yanasafirishwa nje na sitoshangaa kama Bado Wana understate madini yaliyomo!!Mwenyewe ndio unajiona una elimu kisa mawazo yako na kinzana na CCM sijui mnafikiria kwa kutumia kitu gani ,kwa hiyo kila anaye msifia Magu yupo CCM?
Jamii forum hatuweki vyeti wala kutambiana elimu, tukisema tuweke vyetu nina uhakika utajiona mnyonge sana.
Alichofanya Magu hauhitaji uwe genius kwani hiyo 16% ya madini mnayo ifurahia kaisababisha nani. Tatizo lako unatembea na kiwiliwili ila kichwa anacho Zito nina uhakika sio akili yako.
Kuhusu swala la elimu nina uhakika hujafikia level niliyo ifikia mimi.
1. Magu mwenyekiti wa CCM na ndio anageuka wagombea wa ubunge more so alimpigia kampeni.Sasa Magu alimpa vipi,wakati kapigiwa kura na wananchi?
Mwenyewe ndio unajiona una elimu kisa mawazo yako na kinzana na CCM sijui mnafikiria kwa kutumia kitu gani ,kwa hiyo kila anaye msifia Magu yupo CCM?
Jamii forum hatuweki vyeti wala kutambiana elimu, tukisema tuweke vyetu nina uhakika utajiona mnyonge sana.
Alichofanya Magu hauhitaji uwe genius kwani hiyo 16% ya madini mnayo ifurahia kaisababisha nani. Tatizo lako unatembea na kiwiliwili ila kichwa anacho Zito nina uhakika sio akili yako.
Kuhusu swala la elimu nina uhakika hujafikia level niliyo ifikia mimi.Nyie mpo nyuma ya Keyboard, mimi hii Tanzania kwa nature ya kazi yangu nisha tembea sana najua kabla Magu alivyo ingia tulikuwaje na sasa tupo vipi.
Wewe endelea kukaa nyuma ya Keyboard uwasikilize wakina Zito may be ndio wanaokupa ugali.
Tatizo having relate na ulivyo viandika.Sasa unacho shangaa nini wewe si umegusa madini......!! Hiyo 16% ipo kwenye nini?Sahivi unageukia 16% sio Tena trillion 450? Vipi ammendments kwenye Sheria ya permanent sovereignity? Mbona zimeturudisha kule kule? Hivi unajua Makinikia yanasafirishwa nje na sitoshangaa kama Bado Wana understate madini yaliyomo!!
Sijakashifu elimu Yako ila nimeshangaa nime attach report alafu hujaisoma kabisa!!. Seriously hauoni page 32 inasema trillion ngapi? Majedwali kweli umeshindwa jumlisha? It's suprising
Kwani huyo mbunge si kapitishwa na wajumbe wa chama,wewe ulitaka Magu afanyeje labda?1. Magu mwenyekiti wa CCM na ndio anageuka wagombea wa ubunge more so alimpigia kampeni.
2. Kuhusu elimu tusifike huko haikua Nia yangu tutambiane so apologies kama upo dissapointed.
Uligoma hajaingia bungeni fisadi mara ukagoma trillion 450 hatudai sahivi Tena unakimbilia 16%? What's your stand??Tatizo having relate na ulivyo viandika.Sasa unacho shangaa nini wewe si umegusa madini......!! Hiyo 16% ipo kwenye nini?
Ila najua huwezi msifia ila sisi tutampa sifa yake. Mimi kwa nature ya kazi yangu nishatembea sana Tz (nakaribia kuimaliza mikoa ya Tz) naijua kabla ya Magu hajaingia na baada ya kuingia,aliyo ya fanya Magu sikusimuliwa bali nimeyaona wewe kama huja yaona sawa.
Najua tatizo sio wewe bali unatembea na kiwiliwili kichwa umempa Zitto.
Hapana kamati kuu ndio inateua sio kura za wajumbe Yale ni maoni tu so kwenye katiba ya CCM hakuna Cha mjumbe kupitisha mgombea zile ni KURA ZA MAONI!! Inaonyesha hausomi katiba ya CCM.Kwani huyo mbunge si kapitishwa na wajumbe wa chama,wewe ulitaka Magu afanyeje labda?
Hiyo points namba 2 wengi wenu huwaga mnaikimbilia so siku shangaa wewe kuandika hivyo.
duhHata leo kuna kilo 30 kupitia mpaka wa Sirari zimepitishwa na boda boda
Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.
Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne(sasa imeelezwa kuwa ni abiria saba).
Hii ni syndicate.
Maafisa wa Customs India waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.
Mama Tanzania tumekwisha.
Mumbai Airport Customs seize 61 kg gold worth Rs 32 crore in a day. FM Niramala Sitharaman lauds the alertness
At Mumbai Airport, based on the continuous monitoring of suspicious flights and building on the data-based analysis from the earlier high-quantum gold and foreign currency seizures, a systematic profiling of suspect passengers was undertaken on sensitive flights from certain places in Africa and...m.economictimes.com Maharashtra: 61 kg gold worth Rs 32 cr seized at Mumbai airport by customs dept; 4 arrested
61 kg of gold worth Rs 32 crore was seized on Sunday at Mumbai airport by the customs department. Customs officials arrested four people in this matter.economictimes.indiatimes.com
Bahati mbaya ileWote si CCM,... Polepole alidai mna master plan mpaka 2060 kumbe hata hamkujua nani atakua Rais after 2020? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wananchi lazima tuwe na msimamo wa " abiria chunga mzigo wako" at global stage kwa rasilmali zetu adimu..Hakuna anayepinga facts zako mkuu you might be 100% correct ila Mimi nilikua na clarify kilichopo kwenye Article!! Kuwa Dhahabu ilikua smuggled from UAE-DOHA to MUMBAI na Wala hakuna mahala ilikua smuggled from TZ to UAE!! Ni Hilo tu niliweka sawa maana tunakua conclusive sana kinyume na uhalisia.