Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

Mchakato unaanzia kwenye kata zote za jimbo husika kupitia wajumbe.

Mimi ninavyojua mimi kamati kuu wanaangalia mchakato wa uchaguzi ktk kata kama uligubikwa na rushwa na si past ya mtu na ndio maana wakina Tibaijuka, Muhongo na Chenge walipita pamoja na tuhuma zao.

Kwa hiyo ukiwa upinzani ndio unaonekana wa University? Ila hamna ujinga mbaya kujiona unajua, kumbe huna unachokijua zaidi ya kichwa chako kukigeuza kontena la kuhifadhi maneno ya wanasiasa na mara zote sababu ya ujinga wengi hampendi kurekebishwa.
 
Dhahabu kilo 53 Ina dhamani gani kwa Tsh?
 
Dhahabu kilo 53 Ina dhamani gani kwa Tsh?
Kilo moja ya dhahabu ni US $85,000.
53kg ni sawa na $4.505million.
Au kwa hela ya Tanzania Tshs 10.54 billion

Sahihisho:
Nili convert 1 kilo hapo juu kwa Australian Dollar
Kwa American
Price 1ounce=$ 1,777.25
1kg=35.274ounces= $ 62.690.7
So, 53 kg sawasawa na $3,322,608
Au kwa hela ya kitanzania 1$=2,340. utapata jumla ya Tshs 7,775 billion
 
Kilo moja ya dhahabu ni US $85,000.
53kg ni sawa na $4.505million.
Au kwa hela ya Tanzania Tshs 10.54 billion
Sasa Maza anakwenda nje ya nchi kukopa na kuomba misaada ya nini iwapo Kgs chache kiasi hicho ni Tsh 10 bilioni?

Kuna mahali tumekosea kama Taifa
 
Sasa Maza anakwenda nje ya nchi kukopa na kuomba misaada ya nini iwapo Kgs chache kiasi hicho ni Tsh 10 bilioni?

Kuna mahali tumekosea kama Taifa
Mkuu tatizo si la mama peke yake, ni la kwetu sote.
Wananchi kwa uzalendo tu, tukiona haya tupige kelele.
Kuna walioaminiwa mipakani, tuwaumbue wanaoshirikiana na hao smugglers.
Vyombo vya usalama peke yake hawawezi kuwa kila mahala na mbaya zaidi wengine ni corrupt.
Mwalimu Nyerere alikuwa very smart katika kuhamasisha wananchi kulinda mali asili zao.
 
Kiongozi wetu ametokea nchi nyingine na alikotokea Wizi ni mdogo na ukubwa wa hiyo nchi ni nchi ndogo.
 
Nimesoma story yote, inaeleza kwamba mzigo walipewa doha wakati wa transit si kwamba walitoka nao Tanzania. Kwa TZ huwezi pita na gold airport kirahisi.

Gold na madini mengi ya tz yanatoroshwa nje kupitia njia ya maji na njia za boda (land)
Pia twiga wanatoroshwaga huko huko majini na boda
 
Inteligensia ya mantiki yetu sote inatulazimisha tuamini hivyo..
Mkuu 'Entrepreneuriat', heshima kwako mkuu.

Huu ni mjadala tu, hakuna jambo zaidi ya mjadala kati yetu, at least kwa upande wangu.

Unajua, majadiliano kama haya bila ya kuweka hisia na uhasama ni jambo zuri mahala popote. Hii ndiyo maana halisi ya "debate", kusimamia upande mmoja na kuwasilisha hoja za upande huo.

Kwa hiyo, hakuna kilichoharibika hapa, kati yetu, mimi na mkuu 'zitto jr'.

Kuhusu huo mstari uliouweka hapo juu, kama alivyouwasilisha pia mkuu 'zitto jr', sikubaliani nawe pia.
Hakuna 'inteligensia' yoyote inayohusu swala la mSudan na wasafiri toka Tanzania, sasa sijui hili mnalitoa wapi?

Ninakubaliana nawe, pamoja na mkuu' zitto jr', kwamba hakuna taarifa ya moja kwa moja inayoeleza kwamba dhahabu hiyo imetoroshwa toka Tanzania; lakini pia hakuna taarifa yoyote inayokanusha kwamba uhusika wa wasafiri hao toka Tanzania na uwepo wa huyo mSudan unaondoa kila chembe ya uhusika wa watu hao katika biashara inayohusika na Tanzania, au nchi nyingineyo, bisahara ya kinyemera.

Kwa hiyo siyo sahihi kuondoa uwezekano wa uhusika wa Tanzania katika swala hilo, kutokana na taarifa iliyopo kwenye makala hiyo.

Mambo yaliyopo kwenye hiyo 'inteligensia', ambayo haikufunuliwa kwetu kwenye makala hiyo, ndiyo inayoweza kuondoa wasiwasi huo.
 
Hivi unaifaham trillion 450 kweli
Muulizeni JPM sio Mimi!! mie nmeweka ripoti tu na nimeweka video akimpigia kampeni huyo Mwanyika aliyedai kasababisha hasara ya Matrillion ya pesa za walipakodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…