AbouMuJahed KIpoto
Member
- Apr 22, 2019
- 12
- 8
Ktk taarifa hiyo walisema sehemu ya dhahabu hiyo ni kutoka Tz sio kiasi chote hicho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchakato unaanzia kwenye kata zote za jimbo husika kupitia wajumbe.Hapana kamati kuu ndio inateua sio kura za wajumbe Yale ni maoni tu so kwenye katiba ya CCM hakuna Cha mjumbe kupitisha mgombea zile ni KURA ZA MAONI!! Inaonyesha hausomi katiba ya CCM.
2. To be fair CCM wengi elimu za kuunga (Tafiti ya TWAWEZA) that's why imeshakua too obvious kwamba mtu akiwa CCM basi anakua perceived ni "la saba B"!!
Kina Masogange walipita airport ya Tanzania na mzigo mkubwa sana! Wakaenda kamatwa South Africa!Inasikitisha sana.... Kilo 53 zilipitaje Airport yetu. Kilo 53 ni nyingi jamani zilipitaje mpaka kwenda kamatiwa India?
View attachment 2417112
WaZanzibar ndio kazi yao kubwa.Dhahabu yote iliyojazana Dubai inapelekwa na WaZanzibar ambao hawana mgodi hata mmoja halafu utasikia hatutaki Muungano.Inasikitisha sana.... Kilo 53 zilipitaje Airport yetu. Kilo 53 ni nyingi jamani zilipitaje mpaka kwenda kamatiwa India?
View attachment 2417112
Hivi unaifaham trillion 450 kweliMwanyika aliyesababisha Hasara ya Trillion 450 alifanyiwa kampeni na kushinda Ubunge kwa support ya JPM!!
Una maoni Gani juu ya Hilo mkuu
Dhahabu kilo 53 Ina dhamani gani kwa Tsh?Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.
Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne(sasa imeelezwa kuwa ni abiria saba).
Hii ni syndicate.
Maafisa wa Customs India waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.
Mama Tanzania tumekwisha.
![]()
Mumbai Airport Customs seize 61 kg gold worth Rs 32 crore in a day. FM Niramala Sitharaman lauds the alertness
At Mumbai Airport, based on the continuous monitoring of suspicious flights and building on the data-based analysis from the earlier high-quantum gold and foreign currency seizures, a systematic profiling of suspect passengers was undertaken on sensitive flights from certain places in Africa and...m.economictimes.com
![]()
Maharashtra: 61 kg gold worth Rs 32 cr seized at Mumbai airport by customs dept; 4 arrested
61 kg of gold worth Rs 32 crore was seized on Sunday at Mumbai airport by the customs department. Customs officials arrested four people in this matter.economictimes.indiatimes.com
Hivi unaifaham trillion 450 kweliMwanyika aliyesababisha Hasara ya Trillion 450 alifanyiwa kampeni na kushinda Ubunge kwa support ya JPM!!
Una maoni Gani juu ya Hilo mkuu
kumbe na wewe umeshangaaa kama mimi aiseee hawa watu ni wapuuzi yanHivi unaifaham trillion 450 kweli
Kilo moja ya dhahabu ni US $85,000.Dhahabu kilo 53 Ina dhamani gani kwa Tsh?
Sasa Maza anakwenda nje ya nchi kukopa na kuomba misaada ya nini iwapo Kgs chache kiasi hicho ni Tsh 10 bilioni?Kilo moja ya dhahabu ni US $85,000.
53kg ni sawa na $4.505million.
Au kwa hela ya Tanzania Tshs 10.54 billion
Mkuu tatizo si la mama peke yake, ni la kwetu sote.Sasa Maza anakwenda nje ya nchi kukopa na kuomba misaada ya nini iwapo Kgs chache kiasi hicho ni Tsh 10 bilioni?
Kuna mahali tumekosea kama Taifa
Kiongozi wetu ametokea nchi nyingine na alikotokea Wizi ni mdogo na ukubwa wa hiyo nchi ni nchi ndogo.Mkuu tatixo si la mama peke yake, ni la kwetu sote.
Wananchi kwa uzalendo tu, tukiona haya tupige kelele.
Kuna waliiaminiwa mipakani, tuwaumbue wanaoshirikiana na hao smugglers.
Vyombo vya usalama peke yake hawawezi kuwa kila mahala na mbaya zaidi wengine ni corrupt.
Mwalimu Nyerere alikuwa very smart katika kuhamasisha wananchi kulinda mali asili zao.
Sukuma Gang Kwenye Ubora WakoSuala siyo waziri, kama rais karuhusu upigaji unafikiri waziri anaweza zuia? Kumbuka habari za Lyatonga (R.I.P).
"Mtanikumbuka kwa mazuri".
Pia twiga wanatoroshwaga huko huko majini na bodaNimesoma story yote, inaeleza kwamba mzigo walipewa doha wakati wa transit si kwamba walitoka nao Tanzania. Kwa TZ huwezi pita na gold airport kirahisi.
Gold na madini mengi ya tz yanatoroshwa nje kupitia njia ya maji na njia za boda (land)
Mkuu 'Entrepreneuriat', heshima kwako mkuu.Inteligensia ya mantiki yetu sote inatulazimisha tuamini hivyo..
Muulizeni JPM sio Mimi!! mie nmeweka ripoti tu na nimeweka video akimpigia kampeni huyo Mwanyika aliyedai kasababisha hasara ya Matrillion ya pesa za walipakodiHivi unaifaham trillion 450 kweli