Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

kumbe na wewe umeshangaaa kama mimi aiseee hawa watu ni wapuuzi yan
Sasa si alisema JPM na ripoti nimeweka hapo!! Hoja hapa ni double standards za vita ya ufisadi maana tuliambiwa Mwanyika kasababisha hasara ya Trillion 450 afu hapo hapo kapewa ubunge hiyo ndio bottom line ya mjadala.
 
Acha kupotosha anayeteua ni kamati kuu hao huko chini ni kura ya maoni tu na hiyo Sio CCM tu ni mpaka Chadema, CUF n.k wagombea wanateuliwa na kamati kuu not otherwise ndio maana pale Kawe alishinda mwingine ila ubunge akapewa mshindi wa Tatu Mr Gwajima.

2. Yes huwezi Kuta mtu Yuko opposition hajitambui kichwani au hujiulizi kwanini Kila Chadema/ACT anayejiunga CCM anakula shavu kuliko UVCCM waliojazana huko!! Ni rare sana kukuta mwana CCM ana reasoning nzuri na hii ni kwa mujibu wa Tafiti ya TWAWEZA 2018!!
 
Kweli aliyesema akili ni nywele ila haja identify za kwenye eneo gani.Sasa kwa nini Tibaijuka,Muhongo, Chenge si walikuwa na tuhuma vipi walipita au hawakupita? Na kama wamepita je wamepitishwa kwa sababu zipi?

Eti anaeotoka Chadema/ACT anakula shavu, huyu wachini πŸ‘‡πŸ‘‡ alikula nini kidari au firigisi.


Hivi kwa hao walio msema na kumtukaa Lowasa kwa miaka zaidi ya mitano na kwa vinywa vyao wakasema ushahidi wa jamaa kwamba fisadi wanao na ndani ya dk chache wana yakana maneno waliyo ya tamka na kuyarudia rudia kwa miaka zaidi ya mitano kwamba "Lowasa si fisadi " ndio wenye reasoning nzuri si ndicho una maanisha? Halafu hawa ndio mnawasifia wa misimamo wakati ni vigeugeu.

Acha kukalili wewe Twaweza Twaweza, upuuzi waliofanya upinzani 2015 mpaka sasa si muoni mwanasiasa mwenye akili wote wanaongozwa na njaa na ubinafsi na ndio maana kila siku kwenye vyama wapo wao.
 
 

Attachments

  • IMG_6442.MP4
    3.9 MB
NAIMANI MMEAMKA SALAMA WAKUBWA NA WADOGO: nimeona badala ya kujaza nyuzi basi niendeleze hapa hapa.

Jana jioni kutokea Masumbwe wilaya ya Mbogwe mida ya saa 2 usiku iliondoka gari Toyota Carina TI ikiwa na kg 2 za dhahabu japo haijulikani ilisafishiwa wapi gari hii imeelekea Mwanza kwa kupitia kahama walipofika Mwigumbi wakabadili gari Carina ikarudi shinyanga na mzigo ukachukuliwa na Toyota RAV 4 kill time ikiwa na watu 3 hadi Kisesa Mwanza wamelala hapo na Asubuhi hii kuna gari ina huo mzigo inavuka nyashimo wilaya Busega, huu mzigo utakuwa unaenda Kenya kama kawaida
Tafadhali vyombo vya dola chochoro zote za wilaya Bunda zizibwe kama kweli mnaipenda nchi.

⚠️ wale wa kuja pm mtanisamehe sipo tayari kueleza chochote kwa taarifa hii inatosha kuwapa mwanga na mkitaka taarifa zaidi kuhusu utorishwaji wa madini kwa eneo lote la Geita basi kaa hapa hapa japo wanaofanya hivi wengine ni wale walioapa kulinda rasilimali zetu πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²
 
Na sekta hiyo haikosi wezi, kuanzia wale nyokaa, maboss wenyewe mpaka wizara yenyewe
 
Ahaaa! Hapo nimeelewa vizuri kabisa bila scratch, huyo ndugu alinipagawasha kama sio kunichanganya.

- hivyo kuna uwezekano kua huku walitoka vizuri ila kule wamekamatwa, ila huo mzigo kama walikua wana kwepa kwepa kodi walianza hapa hapa kabla hawajatoka na inaonyesha dhahiri bahasha za khaki hazijawahi kutuacha salama
 
Nakubaliana na hoja zako ila hapo umetranslate kimakosa, hao waliotoka TZ walikua hawana Dhahabu wamepewa na MSUDANI aliyekua DOHA ndio wao wakaipeleka MUMBAI!! So Dhahabu haikusafirishwa from Tanzania according the article ila WAMEIKUTA "njiani".
Huyu msudani katoka nayo wapi mpaka kafika nayo doha!!? Fojifoji nangai huyu mwizi na wakikaa nae vzr wale wa v8_2022_namba A atasema vzr, japo nao wamchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…