Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

kumbe na wewe umeshangaaa kama mimi aiseee hawa watu ni wapuuzi yan
Sasa si alisema JPM na ripoti nimeweka hapo!! Hoja hapa ni double standards za vita ya ufisadi maana tuliambiwa Mwanyika kasababisha hasara ya Trillion 450 afu hapo hapo kapewa ubunge hiyo ndio bottom line ya mjadala.
 
Mchakato unaanzia kwenye kata zote za jimbo husika kupitia wajumbe.

Mimi ninavyojua mimi kamati kuu wanaangalia mchakato wa uchaguzi ktk kata kama uligubikwa na rushwa na si past ya mtu na ndio maana wakina Tibaijuka, Muhongo na Chenge walipita pamoja na tuhuma zao.

Kwa hiyo ukiwa upinzani ndio unaonekana wa University? Ila hamna ujinga mbaya kujiona unajua, kumbe huna unachokijua zaidi ya kichwa chako kukigeuza kontena la kuhifadhi maneno ya wanasiasa na mara zote sababu ya ujinga wengi hampendi kurekebishwa.
Acha kupotosha anayeteua ni kamati kuu hao huko chini ni kura ya maoni tu na hiyo Sio CCM tu ni mpaka Chadema, CUF n.k wagombea wanateuliwa na kamati kuu not otherwise ndio maana pale Kawe alishinda mwingine ila ubunge akapewa mshindi wa Tatu Mr Gwajima.

2. Yes huwezi Kuta mtu Yuko opposition hajitambui kichwani au hujiulizi kwanini Kila Chadema/ACT anayejiunga CCM anakula shavu kuliko UVCCM waliojazana huko!! Ni rare sana kukuta mwana CCM ana reasoning nzuri na hii ni kwa mujibu wa Tafiti ya TWAWEZA 2018!!
 
Acha kupotosha anayeteua ni kamati kuu hao huko chini ni kura ya maoni tu na hiyo Sio CCM tu ni mpaka Chadema, CUF n.k wagombea wanateuliwa na kamati kuu not otherwise ndio maana pale Kawe alishinda mwingine ila ubunge akapewa mshindi wa Tatu Mr Gwajima.

2. Yes huwezi Kuta mtu Yuko opposition hajitambui kichwani au hujiulizi kwanini Kila Chadema/ACT anayejiunga CCM anakula shavu kuliko UVCCM waliojazana huko!! Ni rare sana kukuta mwana CCM ana reasoning nzuri na hii ni kwa mujibu wa Tafiti ya TWAWEZA 2018!!
Kweli aliyesema akili ni nywele ila haja identify za kwenye eneo gani.Sasa kwa nini Tibaijuka,Muhongo, Chenge si walikuwa na tuhuma vipi walipita au hawakupita? Na kama wamepita je wamepitishwa kwa sababu zipi?

Eti anaeotoka Chadema/ACT anakula shavu, huyu wachini 👇👇 alikula nini kidari au firigisi.
UKAWAII.jpg


Hivi kwa hao walio msema na kumtukaa Lowasa kwa miaka zaidi ya mitano na kwa vinywa vyao wakasema ushahidi wa jamaa kwamba fisadi wanao na ndani ya dk chache wana yakana maneno waliyo ya tamka na kuyarudia rudia kwa miaka zaidi ya mitano kwamba "Lowasa si fisadi " ndio wenye reasoning nzuri si ndicho una maanisha? Halafu hawa ndio mnawasifia wa misimamo wakati ni vigeugeu.

Acha kukalili wewe Twaweza Twaweza, upuuzi waliofanya upinzani 2015 mpaka sasa si muoni mwanasiasa mwenye akili wote wanaongozwa na njaa na ubinafsi na ndio maana kila siku kwenye vyama wapo wao.
 
Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.

Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne(sasa imeelezwa kuwa ni abiria saba).
Hii ni syndicate.

Maafisa wa Customs India waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.

Mama Tanzania tumekwisha.


UPDATE LEO
Serikali inafuatilia.......
Big up👍👍
View attachment 2417162
 

Attachments

  • IMG_6442.MP4
    3.9 MB
NAIMANI MMEAMKA SALAMA WAKUBWA NA WADOGO: nimeona badala ya kujaza nyuzi basi niendeleze hapa hapa.

Jana jioni kutokea Masumbwe wilaya ya Mbogwe mida ya saa 2 usiku iliondoka gari Toyota Carina TI ikiwa na kg 2 za dhahabu japo haijulikani ilisafishiwa wapi gari hii imeelekea Mwanza kwa kupitia kahama walipofika Mwigumbi wakabadili gari Carina ikarudi shinyanga na mzigo ukachukuliwa na Toyota RAV 4 kill time ikiwa na watu 3 hadi Kisesa Mwanza wamelala hapo na Asubuhi hii kuna gari ina huo mzigo inavuka nyashimo wilaya Busega, huu mzigo utakuwa unaenda Kenya kama kawaida
Tafadhali vyombo vya dola chochoro zote za wilaya Bunda zizibwe kama kweli mnaipenda nchi.

⚠️ wale wa kuja pm mtanisamehe sipo tayari kueleza chochote kwa taarifa hii inatosha kuwapa mwanga na mkitaka taarifa zaidi kuhusu utorishwaji wa madini kwa eneo lote la Geita basi kaa hapa hapa japo wanaofanya hivi wengine ni wale walioapa kulinda rasilimali zetu 🥲🥲🥲🥲
 
Acha uongo, kwani kipindi Cha JPM Dhahabu haikukamatwa Nairobi? Ikarudishwa na Kenyatta? Wizi haujawahi kuisha chini ya CCM.

Hata ukaguzi wa Mererani ulionyesha watu walipitisha madini chini ya ukuta!!

Whether JPM au Samia au Kikwete wizi wa madini haukuwahi kuisha msitake kujifanya kama vile CCM iliwahi kuwa safi kipindi Cha JPM.
Na sekta hiyo haikosi wezi, kuanzia wale nyokaa, maboss wenyewe mpaka wizara yenyewe
 
Anachosema jamaa mfano Kila nchi Ina Sheria zake mathalani unaweza kutoa Hela zako kwenye benki kihalali kabisa ila kusafiri na cash kupo limited kwenye nchi na nchi so ukisafiri na cash labda Dollar laki 5 hawaruhusu so mtu ukikamatwa Nazo ni kosa licha ya kwamba Sio za wizi.

So mtu hata kama angechukua Dhahabu kihalali Bongo ila anaogopa Kodi hizo kwa nchi husika so anaona Bora afiche kwenye begi kuepuka tozo so ukidakwa ni kosa hata kama ulinunua kihalali.

Jamaa ndio alijengea hoja hapo.
Ahaaa! Hapo nimeelewa vizuri kabisa bila scratch, huyo ndugu alinipagawasha kama sio kunichanganya.

- hivyo kuna uwezekano kua huku walitoka vizuri ila kule wamekamatwa, ila huo mzigo kama walikua wana kwepa kwepa kodi walianza hapa hapa kabla hawajatoka na inaonyesha dhahiri bahasha za khaki hazijawahi kutuacha salama
JamiiForums-405831471.jpg
 
Nakubaliana na hoja zako ila hapo umetranslate kimakosa, hao waliotoka TZ walikua hawana Dhahabu wamepewa na MSUDANI aliyekua DOHA ndio wao wakaipeleka MUMBAI!! So Dhahabu haikusafirishwa from Tanzania according the article ila WAMEIKUTA "njiani".
Huyu msudani katoka nayo wapi mpaka kafika nayo doha!!? Fojifoji nangai huyu mwizi na wakikaa nae vzr wale wa v8_2022_namba A atasema vzr, japo nao wamchongo
 
Back
Top Bottom