Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

Na Mimi nilimsahihisha kuhusu ARTICLE wewe unaleta MAONI Sasa huoni unapotosha.

Article inasema REPORTEDLY wamekabidhiwa DHAHABU na MSUDANI pale DOHA!!

Hayo ya Dhahabu imetokea Tanzania imeandikwa wapi kwenye article? Kwanini unalazimisha ushahidi umetolewa na Watuhumiwa? Why mnapenda maoni kuliko facts?

Nimeweka screenshot hapo maana ulidai hakuna mahali Dhahabu inatengenezwa UAE ilihali wao wamesema hizo bars zimetengwa into 1 kilos huko UAE Sasa wewe unajua sana kuliko maafisa wa usalama India?
 
mbona umehukumu kwa tuhuma mkuu..... unaijua dhahabu ilotoka TZ muonekano wake ikiwa katika bars.?? kwa picha hizo hii dhahabu huenda ina asili ya Tz ila kwa hapo ilipo haijatoka Tz all the way. KUNA HAJA YA KUFATILIA ZAIDI KWENYE HILI.
 
Mkuu 'zitto jr', heshima.
Sijui ni wapi nisipoeleweka kwako kuhusu hii CCM unayoizungumzia leo na kutaka kunifanya mimi niwe mtetezi wake!

Kwa kuwa nimeeleza juu ya kelele nyingi alizofanya Magufuli, zilizonifanya nisikilize na kuweka matumaini yangu juu ya jambo alilokuwa akilipigia kelele? Hii ndiyo sababu?

Ndiyo, nilipenda sana, na nilikuwa na matumaini Magufuli alipoanza na kelele zake, hadi huko uwanja wa ndege kujaribu kushughulikia wizi wa mali za taifa hili, sina cha kuonea aibu juu ya hilo.
Ndiyo, nilipenda sana alipokuwa akipiga kelele na kujenga ukuta huko Mererani, kama juhudi za kuzuia wizi wa mali zetu

Ndiyo, nilipenda sana alivyojaribu kuzuia makinikia yasiwe yanatoka nje, kama uwezekano wa kuyasafisha unaweza kupatikana hapa hapa.

Ndiyo, nilipenda sana mikataba itazamwe upya kama inaweza kutunufaisha zaidi na mali zetu.

Yapo mengi aliyopigia kelele na nikayapenda...; lakini siku zote naeleza wazi humu JF, mengi ya hayo aliyokusudia, hakuyafanya kwa taratibu zenye kutumia akili, na matokeo yake yakawa si mazuri.

Sasa unaelewa, akili na udhaifu wa kiongozi huyo, hata hayo mazuri ya kumpendea, nayo kayavuruga katika utekelezaji!

Kama msimamo wangu juu ya haya ndio unaokufanya leo unione kama shabiki wa Magufuli na CCM, hapo utakuwa umekosea sana.
 
EeenHeeeee!
Baada ya kutoka kwenye "Ari Mpya na Kasi Mpya" na kuanza kuona matumaini mapya, hata kama zilikuwa ni kelele za ulaghai, nitakuona wewe kuwa mtu exceptional' sana kama hukuingiwa na matumaini wakati huo.
Hakuna alieona 'ulaghai' mbele yake, kama wewe mwenzetu unacho kipaji hicho, basi umebarikiwa sana.
 
Mkuu usipanic.
Tumia tu intuition ya intellect yako ku read between the lines.

FACT: Dubai au UAE hawana machimbo ya dhahabu.
FACT: Dubai kuna soko kubwa sana la bidhaa za dhahabu.
FACT: Kutoka nchi zinazochimba dhahabu imepelekwa huko kama holding ground.
FACT: waliokamatwa India ni wahindi toka Tanzania.
FACT: TANZANIA tuna machimbo sehemu mbali mbali ya dhahabu.
Sasa hapo huhitaji degree ya rocket science ku connect the dots.
 
Mkuu maneno hata wewe unaweza sema ila Cha muhimu ni utekelezaji.... Mnyika aliwahi sema bungeni kuwa the Devil lies in the details. Yaani unaweza toa hotuba ndefu ila tukienda kwenye utekelezaji tunakuta hakuna substance kabisa!!

Sasa JPM alikamata mabilion ya wahujumu uchumi Ile eti Kulikua hakuna Sheria inayoainisha kuwa Mabilion ya plea bargain yatumike wapi!!! Ila watu tuliaminishwa kwamba pesa za waliokiri ufisadi zilienda kwenye maendeleo!! Kumbe ziliishia kwenye mifuko ya wahuni wa CCM na hata Polepole anakiri Wahuni hawajawahi kuisha CCM so ukisema kipindi Cha JPM ufisadi uliisha kisa KELELE zake kwenye TV inashangaza kidogo
 
Hayo ya Dhahabu imetokea Tanzania imeandikwa wapi kwenye article? Kwanini unalazimisha ushahidi umetolewa na Watuhumiwa? Why mnapenda maoni kuliko facts?
Duh!
Niwapi "nimelazimisha"mkuu?
'Fact' moja ni kwamba hao wasafiri wametokea Tanzania, hilo nadhani halina utata kwenye hiyo makala. Hayo ya uwepo wa mSudan na ilikotokea dhahabu yenyewe ni 'deductions' tu zinazofanyika.
 
unakosea they are facts ila biashara ya dhahabu haiendi hivyo mkuuu wahindi kutokea Tz haimaanishi hiyo dhahabu pia imetokea Tz......
 
Hakuna anayepinga facts zako mkuu you might be 100% correct ila Mimi nilikua na clarify kilichopo kwenye Article!! Kuwa Dhahabu ilikua smuggled from UAE-DOHA to MUMBAI na Wala hakuna mahala ilikua smuggled from TZ to UAE!! Ni Hilo tu niliweka sawa maana tunakua conclusive sana kinyume na uhalisia.
 
Majizi bila kutoka madarakani mama Tanzania ataendelea kupigwa mpaka achakae.
 
Duh!
Niwapi "nimelazimisha"mkuu?
'Fact' moja ni kwamba hao wasafiri wametokea Tanzania, hilo nadhani halina utata kwenye hiyo makala. Hayo ya uwepo wa mSudan na ilikotokea dhahabu yenyewe ni 'deductions' tu zinazofanyika.
Opinions again!!
Why utoe maoni wakati Intelijensia imeshasema Aliyesmuggle from UAE to Doha ni Msudani?
Kutoka Tanzania hata Kuna magaidi wa ISIS wamewahi tokea Tanzania kuelekea kufanya uhalifu huko Syria ila haikumaanisha wale magaidi wamechukua Silaha Tz ama Wana camp Tz!!!

So tuache opinion twende na facts... Till otherwise kwa Sasa ni kwamba Dhahabu imekua smuggled from UAE to Mumbai via Qatar
 
Kama bado unatafuta njia za kuniunganisha kwenye maswala ya Magufuli, nadhani juhudi zako zinapotea bure, kwani haya maswala yote msimamo wangu unajulikana wazi juu yake.

Ndiyo, maneno yanaweza kusemwa na yeyote. Na kiongozi yeyote hawezi kutimiza anayonuia kuyatimiza bila kuanza na maneno.
Na hata kwenye kutafuta kura, watu huanza kwa kutazama maneno yaliyosemwa, wakati huo hakuna kipimo chochote cha utendaji wa kufikia malengo ya maneno hayo.
 
Yaan kwenye Transit ww unaweza kubadilisha dhahabu kilo 53 iwe kama shanga nk? We jamaa ni mwehu
 
Labda wewe ndiye aliye kugawa, endelea kufucha nuru ya jua kwa kiganja na mimba yako ya chuki kwa Mwendazake zake iligoma kukomaa. Muda unaongea kadili siku zinavyo songa, so wewe endelea kuhifadhi ila wengi wataongea mazuri yake.
 
Why utoe maoni wakati Intelijensia imeshasema Aliyesmuggle from UAE to Doha ni Msudani?
Hii imenipita pembeni?
'Intelligensia' ipi imesema alie'smuggle' from UAE to Doha ni msudan? Hii nayo imo kwenye makala, pengine sikusoma vizuri!
Hebu nielekeze kwenye hiyo 'intelligensia' nami nijiridhishe nayo.
 
Sio kweli.... Mathayo hakuwahi piga kampeni Musoma ila akazoa Jimbo sababu ya matendo yake ya ubinadamu kwa wanyonge pale Musoma Mjini!!

Hata JPM "alishinda" Urais ndani ya CCM sababu ya uchapa kazi wake akiwa wizara ya ujenzi Wala sio kwa maneno yake!! Na Hata wapinzani wanamsifia kwa uchapakazi wake ila sio kelele/maneno yake jukwaani!!

So sio lazima uongee sana ndio uonyeshe Nia Yako ya kupambana na ufisadi...... Ukibana tu mianya watu wanaipata message loud and clear!!
 
Una nakala ya Magu kumrudisha bungeni?
 
Hii imenipita pembeni?
'Intelligensia' ipi imesema alie'smuggle' from UAE to Doha ni msudan? Hii nayo imo kwenye makala, pengine sikusoma vizuri!
Hebu nielekeze kwenye hiyo 'intelligensia' nami nijiridhishe nayo.
Soma article nzima Sasa gold ya UAE imekua handed over in DOHA by a SUDANESE Sasa hapo technically kazi ya Msudani ni kuitoa UAE mpaka DOHA otherwise wange sema kwenye ripoti!!

Kisheria kilichosemwa ndio kinachotumika sio "kuconnect dots" Sheria haiendi hivo na wewe unajua hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…