zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Na Mimi nilimsahihisha kuhusu ARTICLE wewe unaleta MAONI Sasa huoni unapotosha.Hapana, haijawa 'hacked', ila unanisoma kivyako, pengine kutokana na misimamo yako mipya juu ya maswala kama haya.
Wewe na mimi hatujui/hatuna uhakika wa ilikotokea hiyo dhahabu. Hapo Arabuni hawana machimbo ya dhahabu. Wanachoweza wao ni kuisafisha iwe katika hali hiyo.
Makala haijaeleza zaidi ya kuripoti tu kilichoelezwa, pengine na hao hao wasafiri, kwa hiyo haitoi uhakika wa ilikotoka hiyo dhahabu.
Article inasema REPORTEDLY wamekabidhiwa DHAHABU na MSUDANI pale DOHA!!
Hayo ya Dhahabu imetokea Tanzania imeandikwa wapi kwenye article? Kwanini unalazimisha ushahidi umetolewa na Watuhumiwa? Why mnapenda maoni kuliko facts?
Nimeweka screenshot hapo maana ulidai hakuna mahali Dhahabu inatengenezwa UAE ilihali wao wamesema hizo bars zimetengwa into 1 kilos huko UAE Sasa wewe unajua sana kuliko maafisa wa usalama India?