Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

Hata leo kuna kilo 30 kupitia mpaka wa Sirari zimepitishwa na boda boda
Mbona kawaida hiyo. Kitu inatoka jikoni haiendi Ukaguzi na haikai hapo.
Inavuka boda kibati Nairobi
 
Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.

Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne.

Maafisa wa Customs waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.

Mama Tanzania tumekwisha.

Kiongozi yeyote anayejifanya kukumbatia demokrasia katika nchi za Afika hukalibisha wizi, rushwa, ubadhirifu, uonevu na uharifu uliokithiri bila kukemewa kwa kuwa wanufaika wanapata cha kwao ndivyo ilivyo kwa sasa Tanzania hamna kitu na wewe ni mmojawapo mlikokuwa mnashadadia sana utawala huu usiokuwa na huruma na rasilimali za nchi wala kujali wananchi wananufaika moja kwa moja.
akili zikae sawa
Wacha uovu uendelee kwa kuwa aliyekuwa anajitoa mlimchukia na kumfanyia njma ovu na mtakoma sana ili akili zikae sawa.
 
sasa hivi kila mtu anajilia tu kulingana na aliposimama, Sasa serikali ipo full corrupt kuliko wakati mwingine wowote.

Kuna wakati kuna watu inabidi wafe, waumizwe au hata kuwa jela ili wengi wapone.
Kuna mtu mmoja hivi huyo ndio mvurugaji mkuu kwa tamaa zake na familia yake.
 
Wapi hiyo habari imesema dhahabu zimetoka Tanzania?
"In the first case, customs department seized 53 kg of gold valued at Rs 28.17 crore from four passengers of Indian nationality. The passenger landed at Mumbai airport in a flight from Tanzania. They were smuggling gold in the form of one Kg bars ingeniously concealed in specially designed waist belts with multiple pockets.

The specially designed belts with UAE-made gold bars concealed inside were reportedly handed over to the passengers by a person of Sudanese nationality at Doha airport .."

Dhahabu imetoka Tanzania wazi kabisa, kufika Doha ikabidi ifichwe kwenye hizo special belts during Transit.
Huyu mama kawafanya muwe wehu, kila kitu mnatetea, ati tu kwa sababu hamkumpenda JPM, -------- cretinous stupidity
 
Hawa mataahira hawatakuelewa adui yao Magufuli tu kila baya la mama Samia wanamsingizia Magufuli! Umeme ukikatika wanasema Magufuli alikata miti milioni 2 maji yakikata vilele wanaongea!
 
"In the first case, customs department seized 53 kg of gold valued at Rs 28.17 crore from four passengers of Indian nationality. The passenger landed at Mumbai airport in a flight from Tanzania. They were smuggling gold in the form of one Kg bars ingeniously concealed in specially designed waist belts with multiple pockets.

The specially designed belts with UAE-made gold bars concealed inside were reportedly handed over to the passengers by a person of Sudanese nationality at Doha airport .."

Dhahabu imetoka Tanzania wazi kabisa, kufika Doha ikabidi ifichwe kwenye hizo special belts during Transit.
Huyu mama kawafanya muwe wehu, kila kitu mnatetea, ati tu kwa sababu hamkumpenda JPM, -------- cretinous stupidity
Exactly, you nailed black and white dude
 
Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.

Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne.

Maafisa wa Customs waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.

Mama Tanzania tumekwisha.

Astakafillulah rajun. Ha!
 
Sisi tunaupiga mwingi. Hatuna cha kupoteza 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom