CIA mgumu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2022
- 962
- 1,934
Wakutosha mpaka unabakiUna ushahidi???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakutosha mpaka unabakiUna ushahidi???
Smuggling ni kuingiza Mali bila kui declare kwa kuepuka Kodi na vitu vingine kama hivyo..... Ila article hakuna mahala imesema Dhahabu ni ya Tanzania just take a screenshot uweke hapa mjadala uishe!!Naomba uisome vizuri tena hii habari yako hapa juu ya usahihi wake.
Si jambo jema tuendelee kuzungushana hapa kwa kutafuta njia za kupotosha kilichoandikwa.
Hao wahindi "waliinunua hiyo dhahabu Doha"?
Sasa kama ilikuwa ni mali imenunuliwa kihalali, hao kwenye uwanja wa Mumbai walikuwa na taizo gani na mali halali?
Nimetokea kukuelewa kivingine kabisa leo kuliko nilivyowahi kukuelewa humu JF.Kupiga kelele kwenye TV Kuna impact Gani?
1. Nani aliyekamatwa kwa Wizi wa Makinikia Hadi Leo?
2. Mpaka anafariki mbona hakuwa amedai Trillion 450 zetu?
3. Mwanyika tuliyeambiwa ame facilitate wizi wa Makinikia alimpigia kampeni na pia kampa Ubunge wa Makambako.
4. Mpaka anafariki Makinikia yalikua Bado yanasafirishwa nje.
5. Mpaka anafariki Sheria yake ya permanent sovereignty ilishakua imefanyiwa ammendments kibao ikiwemo kuondoa kipengele Cha mashauri ya madai kusikilizwa na mahakama za humu ndani.
6. Licha ya kujenga ukuta tuliambiwa na ripoti ya ukaguzi huko Mererani kuwa madini yaliibwa chini ya ukuta JPM akiwa Rais.
7. Tunaambiwa kitalu Cha serikali kilivamiwa na watu binafsi kuchimba Tanzanite wakati ni reserve for future govt repository!!
Sasa Kama haya yote yamefanyika Kuna faida Gani ya kutoa mapovu kwenye TV huku reality ni tofauti? Au unaona Raha Mama Samia apinge ufisadi kwenye screen huku madini yanatoroshwa kwako wwe inakua enough?
Unajua kiingereza mkuu, rudia kusoma kwa makini,, jamaa wametokea nchini kwetuNimesoma story yote, inaeleza kwamba mzigo walipewa doha wakati wa transit si kwamba walitoka nao Tanzania. Kwa TZ huwezi pita na gold airport kirahisi.
Gold na madini mengi ya tz yanatoroshwa nje kupitia njia ya maji na njia za boda (land)
Na hiyo article haijasema popote kwamba ni kweli kwamba hao watu walinunua hiyo dhahabu huko Doha kabla ya kuisafirisha hadi India.Makala haijathibitisha mahali popote kwamba kuna mtu kutoka Sudan alieuza hiyo dhahabu.Smuggling ni kuingiza Mali bila kui declare kwa kuepuka Kodi na vitu vingine kama hivyo..... Ila article hakuna mahala imesema Dhahabu ni ya Tanzania just take a screenshot uweke hapa mjadala uishe!!
Nimtetee Samia kwa lipi? Mimi nachopinga ni kujifanya CCM imewahi kuwa safi.ane hapa kwa jambo ambalo liko wazi.
Magufuli pamoja na ukichaa wake huwezi kumfananisha na Kikwete au huyu Samia katika eneo hili, na hata wewe hilo unalijuwa.
Sijui ni wapi umenisoma katika mistari hiyo hapo juu nikiitetea CCM.
Ila ninachokiona hapa kwa upande wako ni juhudi za kumtetea Samia katika madhaifu yake makubwa sana katika eneo hili na mengineyo.
Tutapata hasara sana chini ya utawala wake huu.
Nawe nenda kafungwe "kamba yenye urefu wa kutosha" ikufaidishe.Ari Mpya Nguvu mpya kazi iendelee ya upigaji wa Rasilimali zetu.
Mkuu 'zitto junior', tusizungushane bure hapa. Unaponitaka mimi nitaje hayo unayoyasema hapa unanipa kazi ambayo siiwezi, nawe unaelewa hivyo.Nimtetee Samia kwa lipi? Mimi nachopinga ni kujifanya CCM imewahi kuwa safi.
Kipindi cha JPM unaweza nitajia nani alifungwa kwa wizi wa Makinikia au Tanzanite? Unaweza nieleza kwanini Mwanyika alipewa ubunge
We jamaa Nina wasiwasi na account Yako siku hizi!! Imekua hacked ama?Na hiyo article haijasema popote kwamba ni kweli kwamba hao watu walinunua hiyo dhahabu huko Doha kabla ya kuisafirisha hadi India.Makala haijathibitisha mahali popote kwamba kuna mtu kutoka Sudan alieuza hiyo dhahabu.
Hiyo makala haijasema mahali popote kuwa hao watu hawakutoka na dhahabu toka Tanzania walikotokea.
Nakuheshimu sana mkuu na ni mmoja ya watu wenye reasoning kubwa sana humu JF and u know that.... ila kwa hili naona umeteleza!! CCM Bado walikua wanaiba sana hivi umesahau Mbunge wa Kishapu si alikutwa na hatia ya ujangili How comes akarudishwa bungeni na JPM? Mwanyika ametusababishia hasara ya Trillion 450 kivipi apewe ubunge na JPM?!Mkuu 'zitto junior', tusizungushane bure hapa. Unaponitaka mimi nitaje hayo unayoyasema hapa unanipa kazi ambayo siiwezi, nawe unaelewa hivyo.
Ninayoandika kuhusu Magufuli, ni juu ya swala hilo hilo moja ambalo niliona mwelekeo, hata kama matokeo yake hayakuwa kama yalivyotegemewa.
SadDhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.
Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne(sasa imeelezwa kuwa ni abiria saba).
Hii ni syndicate.
Maafisa wa Customs India waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.
Mama Tanzania tumekwisha.
![]()
Mumbai Airport Customs seize 61 kg gold worth Rs 32 crore in a day. FM Niramala Sitharaman lauds the alertness
At Mumbai Airport, based on the continuous monitoring of suspicious flights and building on the data-based analysis from the earlier high-quantum gold and foreign currency seizures, a systematic profiling of suspect passengers was undertaken on sensitive flights from certain places in Africa and...m.economictimes.com
![]()
Maharashtra: 61 kg gold worth Rs 32 cr seized at Mumbai airport by customs dept; 4 arrested
61 kg of gold worth Rs 32 crore was seized on Sunday at Mumbai airport by the customs department. Customs officials arrested four people in this matter.economictimes.indiatimes.com
Hakua na Nia yoyote ila ilikua ulaghai Ili ku create perception kwamba ni Mkombozi..... Hivi angekua na Nia njema angemuacha Mwanyika? Angemuacha Chenge? Angemuacha Kafumu ama Ngeleja uraiani?Nimetokea kukuelewa kivingine kabisa leo kuliko nilivyowahi kukuelewa humu JF.
Unaponisoma naomba uwe unaelewa ninachoeleza. Nimeeleza wazi kuwa Magufuli pamoja na mambo yake mengi ya hovyo, lakini alionyesha nia na dhamira, na kwamba katika njia zake alizojaribu, nyingi zilikuwa na mapungufu. Lakini watu waliona dhamira ya alichonuia kukifanya, iwe kashindwa au vinginevyo, lakini alionyesha aliposimamia.
Kama alipiga kelele nyingi huku akiwa hana dhamira ya kuyaondoa hayo maovu, mimi sijui, lakini naona wewe unajua.
Hapana, haijawa 'hacked', ila unanisoma kivyako, pengine kutokana na misimamo yako mipya juu ya maswala kama haya.We jamaa Nina wasiwasi na account Yako siku hizi!! Imekua hacked ama?
Zile scanner baada ya Jiwe kudancha nazo zikadanchaDhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.
Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne(sasa imeelezwa kuwa ni abiria saba).
Hii ni syndicate.
Maafisa wa Customs India waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha dhahabu, sisi Customs wetu wanahongwa tu.
Mama Tanzania tumekwisha.
![]()
Mumbai Airport Customs seize 61 kg gold worth Rs 32 crore in a day. FM Niramala Sitharaman lauds the alertness
At Mumbai Airport, based on the continuous monitoring of suspicious flights and building on the data-based analysis from the earlier high-quantum gold and foreign currency seizures, a systematic profiling of suspect passengers was undertaken on sensitive flights from certain places in Africa and...m.economictimes.com
![]()
Maharashtra: 61 kg gold worth Rs 32 cr seized at Mumbai airport by customs dept; 4 arrested
61 kg of gold worth Rs 32 crore was seized on Sunday at Mumbai airport by the customs department. Customs officials arrested four people in this matter.economictimes.indiatimes.com
Mnengene, unatetea ama unafahamu unachokiandika kwa ufahamu? Mizigo inapitishwa bwa sheeNimesoma story yote, inaeleza kwamba mzigo walipewa doha wakati wa transit si kwamba walitoka nao Tanzania. Kwa TZ huwezi pita na gold airport kirahisi.
Gold na madini mengi ya tz yanatoroshwa nje kupitia njia ya maji na njia za boda (land)
Usiwe na shaka. His days are counted ili na mwingine aje apigeKweli hii ni Tazania wala haujakosea, wacha wazichukue tu Doto Biteko si anacheza Lumba Mwanza anasahau kibarua chake unategemea nini?
Hazijatoka bongo aiseeKweli hii ni Tazania wala haujakosea, wacha wazichukue tu Doto Biteko si anacheza Lumba Mwanza anasahau kibarua chake unategemea nini?