Dhahabu kutoka nje ruksa soko kuu Geita

Dhahabu kutoka nje ruksa soko kuu Geita

Mimi nilipinga kodi katika sekta ya madini hasa wachimbaji wadogo. Aliziondoa na mambo yapo vizuri sasa. Pia ametumia nguvu nyindi kuwazibiti watoroshaji nalo nampongeza kwa hilo maana imesaidia kuondoa black market . All the best JPM

Na ndio maana haya yote yanakuja, baada ya JPM kusimamia sector vizuri na kuondoa Black markets ambazo awali walijiona miungu sasa uwekezaji wa maana umeingia rasmi, kwa hatua hii dhahabu ya East and Central Africa yote itaingia Geita kufanyiwa purification.
 
Yaaaa, hata Mimi nimerudisha shuguli zangu za uchimbaji Geita. Karibu tuchimbe
 
Na ndio maana haya yote yanakuja, baada ya JPM kusimamia sector vizuri na kuondoa Black markets ambazo awali walijiona miungu sasa uwekezaji wa maana umeingia rasmi, kwa hatua hii dhahabu ya East and Central Africa yote itaingia Geita kufanyiwa purification.

Unajua kwa slim na kwenyewe wanayo hio gold refinery?
 
Na hao wa Geita/kahama/mbeya hua wanakamatwa wakisafirisha mazaga kwenda huko kwa slim;sijui ni kwanini lkn labda patakua na bei nzuri.
Mazaga ndiyo kitu gani? Activated carbon?, kama activated carbon wanasafirisha kimagendo kwa sababu huko zinabei kubwa kuliko Tanzania kwa sababu hawana suppliers wa kukizi soko na huko.
 
Mazaga ndiyo kitu gani? Activated carbon?, kama activated carbon wanasafirisha kimagendo kwa sababu huko zinabei kubwa kuliko Tanzania kwa sababu hawana suppliers wa kukizi soko na huko.
I mean hizo Dhahabu wanazisafirisha kwa magendo kwenda huko kwa slim.

Hata wale waliokamatwa wakiwa na dhahabu huku wakiwa na Escort ya police kule Mwanza walikua wanazipeleka huko.
 
Nasikia kuna juha alienda kutikisa geti la soko usiku alipigwa risasi palepale hakuna mzaha full ulinzi
 
I mean hizo Dhahabu wanazisafirisha kwa magendo kwenda huko kwa slim.

Hata wale waliokamatwa wakiwa na dhahabu huku wakiwa na Escort ya police kule Mwanza walikua wanazipeleka huko.
Yaaa, ukikusanya zahabu ya magendo it means 7% unakula wewe, nivirahisi black market kuwepo, but kunanafasi ya swrikali kudhibiti.
 
Yaani niache enda uza Dubai kwenye bei nzuri nikauze Geita afu nilipe 7000 kwa kila gram afu nawauzia bei chini
Huna info za kutosha
Huyo mnunuzi wako wa dubai anatings geita anakupa bei ya dubai
 
Yaaa, ukikusanya zahabu ya magendo it means 7% unakula wewe, nivirahisi black market kuwepo, but kunanafasi ya swrikali kudhibiti.
Hapo nimekusoma mkuu,maana trend ya magendo kuna kipindi ilianza kutisha.

Nadhani kama tumeamua kupiga hela/kuruhusu madini kutoka nje tupige kisawasawa mambo ya kufikiria sijui bood diamond/mineral conflicts tuachane nayo,ukiamua kua bepari unakua bepari kisawasawa.
 
Nadhani wakati umefika tupatiwe Kituo cha Benki Kuu. “Jana (juzi) tukiwa Chato, watu wa benki wale wanunuzi wa pamba walisema kuna tatizo la pesa. Mimi nalijua kwa muda mrefu, benki hizi nyingi zinapoagiza kutoka Mwanza (Tawi la Benki Kuu ya Tanzania) inachukua zaidi ya siku mbili kupata pesa. Tunaomba tupate kituo cha Benki Kuu kama ilivyo Shinyanga (Kahama) ili kurahisisha matumizi ya pesa katika mji huu. “Lakini pia kutokana na kustawi kwa mji huu, tumewasilisha mezani kwako ombi la kuwa Manispaa,” alisema.

Sijuhi tumeelewana au ndio NIONGEZE SAUTI.

BENKI KUU CHATO.
 
Back
Top Bottom