Dhahabu yaibuka.

Dhahabu yaibuka.

Mucho Mucho

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
245
Reaction score
256
dhahabu yaibuka ktk eneo la nyakabwe(geita) ni baada ya mvua kunyesha na udongo kuchukuliwa na maji,vipande vya dhahabu ukubwa wa kasha la kiberiti vipo vya kutosha,pikipki,magar,baiskel za kutosha,kuelekea eneo la tukio.
 
dhahabu yaibuka ktk
eneo la nyakabwe(geita) ni baada ya mvua kunyesha na udongo kuchukuliwa
na maji,vipande vya dhahabu ukubwa wa kasha la kiberiti vipo vya
kutosha,pikipki,magar,baiskel za kutosha,kuelekea eneo la tukio.

Mngezuia hiyo dhahabu isichukuliwe na hao wawekezaji wa ccm, kama walivyofanya wananchi wa mtwara ingekuwa jambo jema sana...
 
Hii nchi hii neema yote lakini watanzania akili mumadebe ,kesho Barrick watafukuza wananchi nakusema eneo liko kwenye leseni yao
 
wananchi hapo lazima wapigwe na vitu vyenye ncha kali tu....wakati wanajiokotea tu
 
hiyo tunaita vikore na unaweza pata gram za kutosha na ikakusaidia maisha na umasikini ukakuondoka.
Kule buhemba tulikuwa tunategea mvua ikipiga tunakwenda kwenye mitalo ya maji tunaokota vikore na tunakwenda kuuza
 
usifanye mkutano mkubwa wa watanzania kutoka sehemu nyingine wafunge safari kuja huko bure.
 
ccm wakisikia watasema hilo eneo ni hifadhi ya taifa hivyo ni marufuku kwa mtu yeyote kuonekana hapo na polisi watanza kulinda kwa nguvu sana hari sana na kasi sana.
 
Kusanyeni mgawane sawa wa kristo na waislama msijeanza kuchalangana tena.
 
Kweli hii ni Nchi ya Asali & Maziwa.
Okoteni haraka mkabadilishe maisha.
Ccm hapo lzm ije & mikataba feki kuwapora.
 
dhahabu yaibuka ktk eneo la nyakabwe(geita) ni baada ya mvua kunyesha na udongo kuchukuliwa na maji,vipande vya dhahabu ukubwa wa kasha la kiberiti vipo vya kutosha,pikipki,magar,baiskel za kutosha,kuelekea eneo la tukio.

Hii dhahabu hakunakusafirishwa Dar es salaam!
 
Aisee babangu,nipe raman nifate hiyo hela,nakuja na wazee wa kaz toka kaskazin
 
Inaibuka sana maeneo hayo siku za karibuni.Nasikia nje ya uzio wa buzwagi napo imeibuka,watu wanachimba.
 
Tatizo na sisi wananchi kiherehere sana!

Kwani mkigundua dhahabu halafu mkapiga kimya mkawa mnaokota mawe na kuweka ndani kwenu kuna ubaya gani jamani? Sasa shida inakuja ukishaiona tu mbio kwenda kutangazia umati hata kabla hujaokota mawe ya kutosha! Nyamb..ff!! Huku kwetu kuna ukoo ambao ulistukia deal la Almasi miaka ile Wazee wetu wanachezea almasi kama kete za bao, jamaa wakaokota mawe ya kutosha hasa walipomwona Williamson anaagiza wazee wampelekee na yeye anawapa mawe kwa ajili ya kuchezea bao almasi anakusanya na kuweka ndani kwake. Jamaa wakajua kumbe hii ni biashara, nao wakaanza kukusanya kwa fujo. Sasa hivi huo ukoo huwezi waambia kitu kwenye maswala ya fedha, maana inasemekana walijaza makabati na huwa wanamega kidogo kidogo na kupeleka kuuza Kenya pindi uchumi wao unapoyumba!!

Watu wa Bariadi hii watashuhudia na ukoo huo wanaujua vizuri sana!! (Hauishiwi fedha). Jamaa huwa yanazuga kama mwaka mmoja mnafikiri aaah sasa hawa jamaa zenu kwishney, mwaka ujao yanaibuka mpaka mnachanganyikiwa!!

Sasa ninyi watu wa Geita badala ya kupiga kimya mkajiokotea mawe tayari mmepiga kelele, acha mfukuzwe tumbafu nyie!!!
 
CCM na akili zao za kishetani wanawaza kuipeleka Dar! Washenzi kweli
 
ukoo gani huo?
 
Back
Top Bottom