Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Halafu we MasterMind unanichanganya sana ujue:confused2::confused2::confused2:kweli eeh? mmh...:A S-frusty:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu we MasterMind unanichanganya sana ujue:confused2::confused2::confused2:kweli eeh? mmh...:A S-frusty:
Kama kawaida yako unapenda cha mwisho tu. Cha kwanza kwani hujakipenda? Au haraka haraka na papara zako?hicho kipengele cha mwisho MJ1 nimekipenda sana...
Kama kawaida yako unapenda cha mwisho tu. Cha kwanza kwani hujakipenda? Au haraka haraka na papara zako?
hicho kipengele cha mwisho MJ1 nimekipenda sana...
Kama kawaida yako unapenda cha mwisho tu. Cha kwanza kwani hujakipenda? Au haraka haraka na papara zako?
cha kwanza chako kwani unachukuaga hata dk 2, vya kuendelea ndio unanigusa panapo.
you have put a smile on my faceMh huku nahisi kama nimepotea njia! :confused2::confused2:
Am sure MJ1 nimemuelewa vizuri lakini the rest mnanichanganya>>>:A S-confused1::A S-confused1::sleepy::sleepy:
binaadamu wanjanja, wazuri wa kuigiza
kitu kimoja kianza, vyengine vitamaliza,
mafuta yalivyofanzwa, mapenzi yaendeleza
mapenzi kuchakachua, ni ujuzi wa kuwaza.
sheria za ubunifu, chanzoni hazijatanzwa
iwe kwa muuza beef, au muokota chenza
utapita usanifu, mawazo kuendeleza
mapenzi kuchakachua, ni ujuzi wa kuwaza
Kaizer arent you back yet??okay will be back MJ1...
Mapenzi ya chakachua, sababuye wanawake,
Kujifanya wanajua, wachanganya na makeke,
Kisha waangukia pua, kila kitu mwakemwake,
Mapenzi ya chakachua, Hapa ni nyumbani kwake.
Halafu we MasterMind unanichanganya sana ujue:confused2::confused2::confused2:
you have put a smile on my face
thansk MM
kamanda wenda mrama, hii sasa nakujuza
tena chepuka mapema, kwani wewe si ajuza
pitia sheria mama, kile chama chapendeza
chakachua sio infi, na infi si chakachua
chunguza sana kwa ndani, halafu pima imani
infi hurejesha amani, na pia huleta imani
infi ni jenuini, chakachua ina "lakini"
chakachua sio infi, na infi si chakachua
wa infi hutoa yote, chakachua haiwezi
chakachua ni kugeza, bali infi ni kuweza
hebu jaribu chakachua, halafu jaribu pia infi
chakachua sio infi, na infi si chakachua
Penzi la kuchakachua, ndilo lenye utamu,
Hutuchakachui kila siku, bali ni kwa hamu,
Mie nina uzoefu, wana JF mfahamu
Chakachua ni tamu, hasa akiwa binamu
Hii haijaanza leo, bali tangu enzi za adamu,
Isipokuwa mambo yalifichwa, watoto wasifahamu,
Leo hii mambo hadharani, watu hawaogopi jehanamu
Chakachua ni tamu, hasa akiwa binamu
Aksante FirstLady nachangamsha akili hapa loh ..................Ila kusema kweli sikutegemea mpaka Acid na Asprin?? nimekubali JF ni kiboko.Hongera MJ1 naona na wewe ni malenga mzuri sana Keep it up swirry
Aksante nyamayao ..... mie nachanganyikiwa maana hata sioni tofauti ya Infidelity ya akina Baby yangu na Kamanda hapa na chakachua---- mpeka wanijuzehicho kipengele cha mwisho MJ1 nimekipenda sana...
Babu yangu Sipirini, wote tuko lawamani
Hata si ya sirini, chakachua mapenzini
wote tuko kundini, si peke mke asilani
Kila wafanyacho wake, hujibu mapigo ya ngoma
Kama hakukuwa na wachakachuaji watu wasingechakachuliwa jamani babu au nakosea? Ni sawa na kuwaamuru mainfidelatees waache infedility wakati infidelators wapo! Bila Infidelators infidelatee atainfidelate na nani? Hapa nachokoza nyuki mamaa-naomba wasiione hii hawa memberz
kweli kabisa... yani nnavyomuona... naona marinesheni imeshaanza kazi... katibu atakua keshampa kadi na katiba ya chamaAcid
lazima Mwanajamii1 akubaliane na sheria za ubunifu 🙂