Wakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana.
Mwasipu amesema, Jacob anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na sababu za kukosa dhamana jana Septemba 18, 2024 mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, hivyo Polisi Mkoa wa Kinondoni ‘mikono yao imefungwa’.
“Tumeomba dhamana kwa bahati mbaya RCO Msangi (Davis Msangi)amesema yeye mikono yake imefungwa kwa sababu mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, kwa mujibu wa sheria Polisi wanatakiwa kumshikilia sio zaidi ya saa 24 kwa kuwa alikamatwa saa kumi tarehe 18 tunatarajia mpaka leo hii saa 10 jioni saa 24 zitakuwa zimeshatimia, baada ya hapo tutachukua hatua za kisheria kuhakikisha Polisi wanalazimishwa kwa mujibu wa sheria kumpa dhamana,”amesema Mwasipu.
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa aliyoitoa jana Septemba 18, 2024 alisema Jeshi hilo limemkamata na linamshikilia Jacob, mkazi wa Mbezi Msakuzi, jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Boni Yai alikamatwa Septemba 18, akiwa maeneo ya Sinza, jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa wakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hekima Mwasipu anayemwakilisha Jacob, ambaye ni kada wa chama hicho.

Ndio maana mimi sitaki kuwa na tabia za MAKHLUKU TABU.....
Polisi wana taratibu zao za kukusanya ushahidi....sasa katika tuhuma za jinai wanazojua wao wampe dhamani kivipi ?!!je ushahidi ukiharibiwa huko nje itakuwa na maana gani ?!!
Wakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana.
Mwasipu amesema, Jacob anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na sababu za kukosa dhamana jana Septemba 18, 2024 mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, hivyo Polisi Mkoa wa Kinondoni ‘mikono yao imefungwa’.
“Tumeomba dhamana kwa bahati mbaya RCO Msangi (Davis Msangi)amesema yeye mikono yake imefungwa kwa sababu mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, kwa mujibu wa sheria Polisi wanatakiwa kumshikilia sio zaidi ya saa 24 kwa kuwa alikamatwa saa kumi tarehe 18 tunatarajia mpaka leo hii saa 10 jioni saa 24 zitakuwa zimeshatimia, baada ya hapo tutachukua hatua za kisheria kuhakikisha Polisi wanalazimishwa kwa mujibu wa sheria kumpa dhamana,”amesema Mwasipu.
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa aliyoitoa jana Septemba 18, 2024 alisema Jeshi hilo limemkamata na linamshikilia Jacob, mkazi wa Mbezi Msakuzi, jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Boni Yai alikamatwa Septemba 18, akiwa maeneo ya Sinza, jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa wakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hekima Mwasipu anayemwakilisha Jacob, ambaye ni kada wa chama hicho.
Mwasipu ni miongoni mwa mawakili wa CHADEMA na pale alipo ameagizwa na chama kumsimamia Boniface kwenye masuala ya kisheria.
Au ulitaka CDM ianzishe vurugu ndiyo tafsiri ya kumpigania? Polisi wamekiri kumshikilia kwa mujibu wa sheria na saa 24 hazijaisha za kumpeleka mahakamani sasa unataka wafanyeje?

Wameanza kutapatapa na wananchi.
Badala watimize Hadi zao kipindi cha kampeni,wamegeukia kukamata wapinzani.
Ipo siku patachangamka,SEMA tu watz wengi bado niwajinga
Mwasipu ni miongoni mwa mawakili wa CHADEMA na pale alipo ameagizwa na chama kumsimamia Boniface kwenye masuala ya kisheria.
Au ulitaka CDM ianzishe vurugu ndiyo tafsiri ya kumpigania? Polisi wamekiri kumshikilia kwa mujibu wa sheria na saa 24 hazijaisha za kumpeleka mahakamani sasa unataka wafanyeje?
Sometimes hebu uwe great thinker basi mkuu kuna vitu vimekaa kisheria zaidi sio kila kitu kuingiza siasa.
Hapo ulitaka CDM wakapambane na polisi wamtoe kwa nguvu mahabusu hata kabla ya saa 24 za kisheria kuisha bila kupelekwa mahakamani ndiyo ujue wanampambania?
Subiri saa 24 zipite kama hawajampeleka mahakamani ndiyo utafanya judgment yako kama watakaa kimya ama lah.