Dhamana ya Boniface Jacob yadunda, aendelea kusota Rumande

Polisi wana mawili ya kufanya: ama kumwachilia kwa dhamana ndani ya saa 24; au kumfikisha mahakamani ndani ya muda huo na kumfungulia mashitaka. Baada ya hapo ndipo wanaweza kuendelea kumshikila kwa ridhaa ya mahakama kwamba upelelezi bado unaendelea.
Ikiwa upelelezi haujakamilika na mtuhumiwa anatuhumiwa kwa ugaidi unataka polisi watoe dhamana?!!😲😲
 
Mkuu, naomba kufahamishwa maana ya MAKHLUKU TABU. Asante

Kwa majibu yako, basi tufute dhamana kisheria kabisa, isiwepo.
....ni mtu/watu wanaopenda tabu...wana hulka za kupenda tabu ,shida na matatizo...wao hawafurahii utulivu....

Mkuu yako makosa yasiyo na dhamana:
-Ugaidi
-Mauaji
-Mapinduzi
-Uchochezi
-Kubaka na kunajisi
 
Humo selo kwa jinsi atakavyokuwa anapitisha upepo (passwind), mahabusu wenzake wawe wavumilivu, maana ni miksa mayai ya kuchemsha na makonyagi na kvant
 
Wakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana.
Mwasipu amesema, Jacob anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na sababu za kukosa dhamana jana Septemba 18, 2024 mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, hivyo Polisi Mkoa wa Kinondoni ‘mikono yao imefungwa’.

“Tumeomba dhamana kwa bahati mbaya RCO Msangi (Davis Msangi)amesema yeye mikono yake imefungwa kwa sababu mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, kwa mujibu wa sheria Polisi wanatakiwa kumshikilia sio zaidi ya saa 24 kwa kuwa alikamatwa saa kumi tarehe 18 tunatarajia mpaka leo hii saa 10 jioni saa 24 zitakuwa zimeshatimia, baada ya hapo tutachukua hatua za kisheria kuhakikisha Polisi wanalazimishwa kwa mujibu wa sheria kumpa dhamana,”amesema Mwasipu.

Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa aliyoitoa jana Septemba 18, 2024 alisema Jeshi hilo limemkamata na linamshikilia Jacob, mkazi wa Mbezi Msakuzi, jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.

Boni Yai alikamatwa Septemba 18, akiwa maeneo ya Sinza, jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa wakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hekima Mwasipu anayemwakilisha Jacob, ambaye ni kada wa chama hicho.
Pia, Soma:

==> Boniface Jackob akataa kutoa Maelezo Polisi, asema atayatoa Mahakamani
==> Polisi wamaliza upekuzi kwa Boniface Jacob
Anajiita kamanda acha apambanie ukamanda wake

USSR
 
mama anaupiga mwingi
 
Huyu Mwamba Polisi wanamjenga bila wao kujua! Huyu atachukua Jimbo la Ubungo asubuhi na mapema!
Profesa Kitila Mkumbo hawa Polisi wanakuharibia Jimbo la Ubungo.
Mimi ni CCM , akili za kijinga za Polisi tukae nazo mbali!
Faustine Mafwele ametuhumiwa na mhanga wa kifo Sativa, badala ya kumuhoji na kumfikisha kwenye vyombo vya Sheria wao wanawakamata akina Boni Yai.
Rais Samia unadanganywa na zero brains!
 
Unaleta nadharia badala ya uhalisia?

Sometimes hebu uwe great thinker basi mkuu kuna vitu vimekaa kisheria zaidi sio kila kitu kuingiza siasa.

Hapo ulitaka CDM wakapambane na polisi wamtoe kwa nguvu mahabusu hata kabla ya saa 24 za kisheria kuisha bila kupelekwa mahakamani ndiyo ujue wanampambania?

Subiri saa 24 zipite kama hawajampeleka mahakamani ndiyo utafanya judgment yako kama watakaa kimya ama lah.
Hawa UWT ni wajinga sn
 
We lofa sana, yaani mtu anavunja sheria za nchi eti kwa kuwa ni lichadema, basi lisikamatwe, likikamatwa Ooh! Aaaah! Acheni upinzani uchwala, fuateni sheria za nchi.
Bado upo shimoni.
 
Back
Top Bottom