Dhamana ya Boniface Jacob yadunda, aendelea kusota Rumande

Unaleta nadharia badala ya uhalisia?

Sometimes hebu uwe great thinker basi mkuu kuna vitu vimekaa kisheria zaidi sio kila kitu kuingiza siasa.

Hapo ulitaka CDM wakapambane na polisi wamtoe kwa nguvu mahabusu hata kabla ya saa 24 za kisheria kuisha bila kupelekwa mahakamani ndiyo ujue wanampambania?

Subiri saa 24 zipite kama hawajampeleka mahakamani ndiyo utafanya judgment yako kama watakaa kimya ama lah.
Dont Keep your trust to Mbowe or Chadema.

They are just a bunch of CON MEN...

CON MEN WITH THEIR CON PLANS...

Remember that time when took Bribe From The Late Lowasa.
 
Wakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana.
Mwasipu amesema, Jacob anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na sababu za kukosa dhamana jana Septemba 18, 2024 mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, hivyo Polisi Mkoa wa Kinondoni ‘mikono yao imefungwa’.

“Tumeomba dhamana kwa bahati mbaya RCO Msangi (Davis Msangi)amesema yeye mikono yake imefungwa kwa sababu mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, kwa mujibu wa sheria Polisi wanatakiwa kumshikilia sio zaidi ya saa 24 kwa kuwa alikamatwa saa kumi tarehe 18 tunatarajia mpaka leo hii saa 10 jioni saa 24 zitakuwa zimeshatimia, baada ya hapo tutachukua hatua za kisheria kuhakikisha Polisi wanalazimishwa kwa mujibu wa sheria kumpa dhamana,”amesema Mwasipu.

Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa aliyoitoa jana Septemba 18, 2024 alisema Jeshi hilo limemkamata na linamshikilia Jacob, mkazi wa Mbezi Msakuzi, jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.

Boni Yai alikamatwa Septemba 18, akiwa maeneo ya Sinza, jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa wakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hekima Mwasipu anayemwakilisha Jacob, ambaye ni kada wa chama hicho.
Pia, Soma:

==> Boniface Jackob akataa kutoa Maelezo Polisi, asema atayatoa Mahakamani
==> Polisi wamaliza upekuzi kwa Boniface Jacob
Vyombo vyetu ,wanaacha mambo ya msingi ,wanakimbizana vitu vyepesi, mtifuano ndani ya taifa sio mda utasababishwa na viongozi wa jeshi la police wala sio police wa chini ,maana hawa hufuata amri kwa mjibu wa kazi zao , mamlaka yote ukiona inategemea vyombo vya ulinzi jua afya yake ni mbovu ,

Na ukiona unatumia mtu kufanya maovu kuwa makin mbele yako sio salama why

Lazima utakua mtumwa kwake , na ukikaidi akafanya backup umekwisha maana anajua mapungufu yko, siri zako unazomshirikisha anazijua pia . So upende usipende lazima umtii bila kujali unamzidi kila kitu
 
Unaleta nadharia badala ya uhalisia?

Sometimes hebu uwe great thinker basi mkuu kuna vitu vimekaa kisheria zaidi sio kila kitu kuingiza siasa.

Hapo ulitaka CDM wakapambane na polisi wamtoe kwa nguvu mahabusu hata kabla ya saa 24 za kisheria kuisha bila kupelekwa mahakamani ndiyo ujue wanampambania?

Subiri saa 24 zipite kama hawajampeleka mahakamani ndiyo utafanya judgment yako kama watakaa kimya ama lah.
Wameanza kutapatapa na wananchi.
Badala watimize Hadi zao kipindi cha kampeni,wamegeukia kukamata wapinzani.
Ipo siku patachangamka,SEMA tu watz wengi bado niwajinga
Wakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana.
Mwasipu amesema, Jacob anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na sababu za kukosa dhamana jana Septemba 18, 2024 mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, hivyo Polisi Mkoa wa Kinondoni ‘mikono yao imefungwa’.

“Tumeomba dhamana kwa bahati mbaya RCO Msangi (Davis Msangi)amesema yeye mikono yake imefungwa kwa sababu mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, kwa mujibu wa sheria Polisi wanatakiwa kumshikilia sio zaidi ya saa 24 kwa kuwa alikamatwa saa kumi tarehe 18 tunatarajia mpaka leo hii saa 10 jioni saa 24 zitakuwa zimeshatimia, baada ya hapo tutachukua hatua za kisheria kuhakikisha Polisi wanalazimishwa kwa mujibu wa sheria kumpa dhamana,”amesema Mwasipu.

Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa aliyoitoa jana Septemba 18, 2024 alisema Jeshi hilo limemkamata na linamshikilia Jacob, mkazi wa Mbezi Msakuzi, jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.

Boni Yai alikamatwa Septemba 18, akiwa maeneo ya Sinza, jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa wakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hekima Mwasipu anayemwakilisha Jacob, ambaye ni kada wa chama hicho.
Pia, Soma:

==> Boniface Jackob akataa kutoa Maelezo Polisi, asema atayatoa Mahakamani
==> Polisi wamaliza upekuzi kwa Boniface Jacob

"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
 
Wakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana.
Mwasipu amesema, Jacob anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na sababu za kukosa dhamana jana Septemba 18, 2024 mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, hivyo Polisi Mkoa wa Kinondoni ‘mikono yao imefungwa’.

“Tumeomba dhamana kwa bahati mbaya RCO Msangi (Davis Msangi)amesema yeye mikono yake imefungwa kwa sababu mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, kwa mujibu wa sheria Polisi wanatakiwa kumshikilia sio zaidi ya saa 24 kwa kuwa alikamatwa saa kumi tarehe 18 tunatarajia mpaka leo hii saa 10 jioni saa 24 zitakuwa zimeshatimia, baada ya hapo tutachukua hatua za kisheria kuhakikisha Polisi wanalazimishwa kwa mujibu wa sheria kumpa dhamana,”amesema Mwasipu.

Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa aliyoitoa jana Septemba 18, 2024 alisema Jeshi hilo limemkamata na linamshikilia Jacob, mkazi wa Mbezi Msakuzi, jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.

Boni Yai alikamatwa Septemba 18, akiwa maeneo ya Sinza, jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa wakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hekima Mwasipu anayemwakilisha Jacob, ambaye ni kada wa chama hicho.
Pia, Soma:

==> Boniface Jackob akataa kutoa Maelezo Polisi, asema atayatoa Mahakamani
==> Polisi wamaliza upekuzi kwa Boniface Jacob
Serikali hii siyo ya wananchi ndo maana inapambana na wananchi
 
  1. Kama jalada limefunguliwa Dodoma. Crime scene ipo wapi?
  2. RCO na wahuni wenzake walienda kufanya nini nyumbani kwa Boni Yai?
  3. Wahuni hapo Oysterbay wanataka maelezo gani kutoka kwa mtuhumiwa
  4. Kwa nini mtuhumiwa hajasafirishwa Dodoma kwenye jurisdiction ya mashtala yake?
  5. Msiofahamu, Aijipii ni insider wa wavaa viatu!
 
Huyu bibi kazidi udikiteta.polisi kasema mikono yake imefungwa na maagizo kutoka juu.na maagizo kutoka juu ni Kwa bibi haluwa
acha kukurupuka na kukuza mambo bibi kahusika wapi hapo? amesema mashtaka ni kutoka makao makuu dodoma ao ndiyo wanamaamuzi sasa wewe unakurupuka kuja kujamba humu
 
Ndio maana mimi sitaki kuwa na tabia za MAKHLUKU TABU.....

Polisi wana taratibu zao za kukusanya ushahidi....sasa katika tuhuma za jinai wanazojua wao wampe dhamani kivipi ?!!je ushahidi ukiharibiwa huko nje itakuwa na maana gani ?!!
Hizo taratibu hazitakiwi kuvunja sheria sijui unalijua hilo?
 
Ndio maana mimi sitaki kuwa na tabia za MAKHLUKU TABU.....

Polisi wana taratibu zao za kukusanya ushahidi....sasa katika tuhuma za jinai wanazojua wao wampe dhamani kivipi ?!!je ushahidi ukiharibiwa huko nje itakuwa na maana gani ?!!
mxieq
 
Wewe ni mgonjwa wa akili
Chadema,you running you running and running away,you running and running and running away,but you cant run away from yourslvs,you cant run away from the truth,youn cant run away from the reality...

Get rid of him,tell him to prepare the constructive succession plan before its too late.

Tell Mbowe this bitter truth...
 
Ndio maana mimi sitaki kuwa na tabia za MAKHLUKU TABU.....

Polisi wana taratibu zao za kukusanya ushahidi....sasa katika tuhuma za jinai wanazojua wao wampe dhamani kivipi ?!!je ushahidi ukiharibiwa huko nje itakuwa na maana gani ?!!
Mkuu, naomba kufahamishwa maana ya MAKHLUKU TABU. Asante

Kwa majibu yako, basi tufute dhamana kisheria kabisa, isiwepo.
 
MAKHLUKU TABU KWA MAANA YA SAMIA NI WATU AMBAO WAO SIKU ZOTE HAWATAKI KUONA WATU WANA ENJOY MAISHA.

YANI NI WATU KAMA CHADEMA HIVI,WAO KUKIWA NA MAANDAMANO,NCHI HAIKALIKI,PURUKUSHANI NA HEKA HEKA TUH..

KUKIWA NA UTULIVU WAO WANAONA HAIFAI,WANATAKA WALIAMSHE TUUH..
 
Ndio maana mimi sitaki kuwa na tabia za MAKHLUKU TABU.....

Polisi wana taratibu zao za kukusanya ushahidi....sasa katika tuhuma za jinai wanazojua wao wampe dhamani kivipi ?!!je ushahidi ukiharibiwa huko nje itakuwa na maana gani ?!!
Polisi wana mawili ya kufanya: ama kumwachilia kwa dhamana ndani ya saa 24; au kumfikisha mahakamani ndani ya muda huo na kumfungulia mashitaka. Baada ya hapo ndipo wanaweza kuendelea kumshikila kwa ridhaa ya mahakama kwamba upelelezi bado unaendelea.
 
acha kukurupuka na kukuza mambo bibi kahusika wapi hapo? amesema mashtaka ni kutoka makao makuu dodoma ao ndiyo wanamaamuzi sasa wewe unakurupuka kuja kujamba humu
Member mpya kabisa unapata ujasiri wa kunitukana?
 
Back
Top Bottom