THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Dont Keep your trust to Mbowe or Chadema.Unaleta nadharia badala ya uhalisia?
Sometimes hebu uwe great thinker basi mkuu kuna vitu vimekaa kisheria zaidi sio kila kitu kuingiza siasa.
Hapo ulitaka CDM wakapambane na polisi wamtoe kwa nguvu mahabusu hata kabla ya saa 24 za kisheria kuisha bila kupelekwa mahakamani ndiyo ujue wanampambania?
Subiri saa 24 zipite kama hawajampeleka mahakamani ndiyo utafanya judgment yako kama watakaa kimya ama lah.
Vyombo vyetu ,wanaacha mambo ya msingi ,wanakimbizana vitu vyepesi, mtifuano ndani ya taifa sio mda utasababishwa na viongozi wa jeshi la police wala sio police wa chini ,maana hawa hufuata amri kwa mjibu wa kazi zao , mamlaka yote ukiona inategemea vyombo vya ulinzi jua afya yake ni mbovu ,Wakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana.
Mwasipu amesema, Jacob anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na sababu za kukosa dhamana jana Septemba 18, 2024 mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, hivyo Polisi Mkoa wa Kinondoni ‘mikono yao imefungwa’.
“Tumeomba dhamana kwa bahati mbaya RCO Msangi (Davis Msangi)amesema yeye mikono yake imefungwa kwa sababu mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, kwa mujibu wa sheria Polisi wanatakiwa kumshikilia sio zaidi ya saa 24 kwa kuwa alikamatwa saa kumi tarehe 18 tunatarajia mpaka leo hii saa 10 jioni saa 24 zitakuwa zimeshatimia, baada ya hapo tutachukua hatua za kisheria kuhakikisha Polisi wanalazimishwa kwa mujibu wa sheria kumpa dhamana,”amesema Mwasipu.
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa aliyoitoa jana Septemba 18, 2024 alisema Jeshi hilo limemkamata na linamshikilia Jacob, mkazi wa Mbezi Msakuzi, jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Boni Yai alikamatwa Septemba 18, akiwa maeneo ya Sinza, jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa wakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hekima Mwasipu anayemwakilisha Jacob, ambaye ni kada wa chama hicho.
Pia, Soma:
==> Boniface Jackob akataa kutoa Maelezo Polisi, asema atayatoa Mahakamani
==> Polisi wamaliza upekuzi kwa Boniface Jacob
Unaleta nadharia badala ya uhalisia?
Sometimes hebu uwe great thinker basi mkuu kuna vitu vimekaa kisheria zaidi sio kila kitu kuingiza siasa.
Hapo ulitaka CDM wakapambane na polisi wamtoe kwa nguvu mahabusu hata kabla ya saa 24 za kisheria kuisha bila kupelekwa mahakamani ndiyo ujue wanampambania?
Subiri saa 24 zipite kama hawajampeleka mahakamani ndiyo utafanya judgment yako kama watakaa kimya ama lah.
Wameanza kutapatapa na wananchi.
Badala watimize Hadi zao kipindi cha kampeni,wamegeukia kukamata wapinzani.
Ipo siku patachangamka,SEMA tu watz wengi bado niwajinga
Wakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana.
Mwasipu amesema, Jacob anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na sababu za kukosa dhamana jana Septemba 18, 2024 mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, hivyo Polisi Mkoa wa Kinondoni ‘mikono yao imefungwa’.
“Tumeomba dhamana kwa bahati mbaya RCO Msangi (Davis Msangi)amesema yeye mikono yake imefungwa kwa sababu mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, kwa mujibu wa sheria Polisi wanatakiwa kumshikilia sio zaidi ya saa 24 kwa kuwa alikamatwa saa kumi tarehe 18 tunatarajia mpaka leo hii saa 10 jioni saa 24 zitakuwa zimeshatimia, baada ya hapo tutachukua hatua za kisheria kuhakikisha Polisi wanalazimishwa kwa mujibu wa sheria kumpa dhamana,”amesema Mwasipu.
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa aliyoitoa jana Septemba 18, 2024 alisema Jeshi hilo limemkamata na linamshikilia Jacob, mkazi wa Mbezi Msakuzi, jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Boni Yai alikamatwa Septemba 18, akiwa maeneo ya Sinza, jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa wakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hekima Mwasipu anayemwakilisha Jacob, ambaye ni kada wa chama hicho.
Pia, Soma:
==> Boniface Jackob akataa kutoa Maelezo Polisi, asema atayatoa Mahakamani
==> Polisi wamaliza upekuzi kwa Boniface Jacob
Serikali hii siyo ya wananchi ndo maana inapambana na wananchiWakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana.
Mwasipu amesema, Jacob anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na sababu za kukosa dhamana jana Septemba 18, 2024 mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, hivyo Polisi Mkoa wa Kinondoni ‘mikono yao imefungwa’.
“Tumeomba dhamana kwa bahati mbaya RCO Msangi (Davis Msangi)amesema yeye mikono yake imefungwa kwa sababu mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, kwa mujibu wa sheria Polisi wanatakiwa kumshikilia sio zaidi ya saa 24 kwa kuwa alikamatwa saa kumi tarehe 18 tunatarajia mpaka leo hii saa 10 jioni saa 24 zitakuwa zimeshatimia, baada ya hapo tutachukua hatua za kisheria kuhakikisha Polisi wanalazimishwa kwa mujibu wa sheria kumpa dhamana,”amesema Mwasipu.
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa aliyoitoa jana Septemba 18, 2024 alisema Jeshi hilo limemkamata na linamshikilia Jacob, mkazi wa Mbezi Msakuzi, jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Boni Yai alikamatwa Septemba 18, akiwa maeneo ya Sinza, jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa wakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hekima Mwasipu anayemwakilisha Jacob, ambaye ni kada wa chama hicho.
Pia, Soma:
==> Boniface Jackob akataa kutoa Maelezo Polisi, asema atayatoa Mahakamani
==> Polisi wamaliza upekuzi kwa Boniface Jacob
Wewe ni mgonjwa wa akiliChadema wamegoma kabisa kumpigania??au lengo lao walipenda apotee kbs
cadema huwajui naona hao ni ndumila kuwili kwanza wenyewe kwa wenyewe hawapendaniChadema wamegoma kabisa kumpigania??au lengo lao walipenda apotee kbs
Wakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana.
Mwasipu amesema, Jacob anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na sababu za kukosa dhamana jana Septemba 18, 2024 mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, hivyo Polisi Mkoa wa Kinondoni ‘mikono yao imefungwa’.
“Tumeomba dhamana kwa bahati mbaya RCO Msangi (Davis Msangi)amesema yeye mikono yake imefungwa kwa sababu mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, kwa mujibu wa sheria Polisi wanatakiwa kumshikilia sio zaidi ya saa 24 kwa kuwa alikamatwa saa kumi tarehe 18 tunatarajia mpaka leo hii saa 10 jioni saa 24 zitakuwa zimeshatimia, baada ya hapo tutachukua hatua za kisheria kuhakikisha Polisi wanalazimishwa kwa mujibu wa sheria kumpa dhamana,”amesema Mwasipu.
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa aliyoitoa jana Septemba 18, 2024 alisema Jeshi hilo limemkamata na linamshikilia Jacob, mkazi wa Mbezi Msakuzi, jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Boni Yai alikamatwa Septemba 18, akiwa maeneo ya Sinza, jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa wakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hekima Mwasipu anayemwakilisha Jacob, ambaye ni kada wa chama hicho.
Pia, Soma:
==> Boniface Jackob akataa kutoa Maelezo Polisi, asema atayatoa Mahakamani
==> Polisi wamaliza upekuzi kwa Boniface Jacob
acha kukurupuka na kukuza mambo bibi kahusika wapi hapo? amesema mashtaka ni kutoka makao makuu dodoma ao ndiyo wanamaamuzi sasa wewe unakurupuka kuja kujamba humuHuyu bibi kazidi udikiteta.polisi kasema mikono yake imefungwa na maagizo kutoka juu.na maagizo kutoka juu ni Kwa bibi haluwa
Hizo taratibu hazitakiwi kuvunja sheria sijui unalijua hilo?Ndio maana mimi sitaki kuwa na tabia za MAKHLUKU TABU.....
Polisi wana taratibu zao za kukusanya ushahidi....sasa katika tuhuma za jinai wanazojua wao wampe dhamani kivipi ?!!je ushahidi ukiharibiwa huko nje itakuwa na maana gani ?!!
mxieqNdio maana mimi sitaki kuwa na tabia za MAKHLUKU TABU.....
Polisi wana taratibu zao za kukusanya ushahidi....sasa katika tuhuma za jinai wanazojua wao wampe dhamani kivipi ?!!je ushahidi ukiharibiwa huko nje itakuwa na maana gani ?!!
Chadema,you running you running and running away,you running and running and running away,but you cant run away from yourslvs,you cant run away from the truth,youn cant run away from the reality...Wewe ni mgonjwa wa akili
Mkuu, naomba kufahamishwa maana ya MAKHLUKU TABU. AsanteNdio maana mimi sitaki kuwa na tabia za MAKHLUKU TABU.....
Polisi wana taratibu zao za kukusanya ushahidi....sasa katika tuhuma za jinai wanazojua wao wampe dhamani kivipi ?!!je ushahidi ukiharibiwa huko nje itakuwa na maana gani ?!!
We lofa sana, yaani mtu anavunja sheria za nchi eti kwa kuwa ni lichadema, basi lisikamatwe, likikamatwa Ooh! Aaaah! Acheni upinzani uchwala, fuateni sheria za nchi.Samia anaendeleza umagufuli.
Ahdi zipi hazitimizwi we kiazi??Wameanza kutapatapa na wananchi.
Badala watimize Hadi zao kipindi cha kampeni,wamegeukia kukamata wapinzani.
Ipo siku patachangamka,SEMA tu watz wengi bado niwajinga
MAKHLUKU TABU KWA MAANA YA SAMIA NI WATU AMBAO WAO SIKU ZOTE HAWATAKI KUONA WATU WANA ENJOY MAISHA.Mkuu, naomba kufahamishwa maana ya MAKHLUKU TABU. Asante
Kwa majibu yako, basi tufute dhamana kisheria kabisa, isiwepo.
Polisi wana mawili ya kufanya: ama kumwachilia kwa dhamana ndani ya saa 24; au kumfikisha mahakamani ndani ya muda huo na kumfungulia mashitaka. Baada ya hapo ndipo wanaweza kuendelea kumshikila kwa ridhaa ya mahakama kwamba upelelezi bado unaendelea.Ndio maana mimi sitaki kuwa na tabia za MAKHLUKU TABU.....
Polisi wana taratibu zao za kukusanya ushahidi....sasa katika tuhuma za jinai wanazojua wao wampe dhamani kivipi ?!!je ushahidi ukiharibiwa huko nje itakuwa na maana gani ?!!
Member mpya kabisa unapata ujasiri wa kunitukana?acha kukurupuka na kukuza mambo bibi kahusika wapi hapo? amesema mashtaka ni kutoka makao makuu dodoma ao ndiyo wanamaamuzi sasa wewe unakurupuka kuja kujamba humu