Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Ikiwa upelelezi haujakamilika na mtuhumiwa anatuhumiwa kwa ugaidi unataka polisi watoe dhamana?!!😲😲Polisi wana mawili ya kufanya: ama kumwachilia kwa dhamana ndani ya saa 24; au kumfikisha mahakamani ndani ya muda huo na kumfungulia mashitaka. Baada ya hapo ndipo wanaweza kuendelea kumshikila kwa ridhaa ya mahakama kwamba upelelezi bado unaendelea.
....ni mtu/watu wanaopenda tabu...wana hulka za kupenda tabu ,shida na matatizo...wao hawafurahii utulivu....Mkuu, naomba kufahamishwa maana ya MAKHLUKU TABU. Asante
Kwa majibu yako, basi tufute dhamana kisheria kabisa, isiwepo.
🤣🤣Member mpya kabisa unapata ujasiri wa kunitukana?
Unamkosea heshima sana Magufuri (RIP)Samia anaendeleza umagufuli.
Tunasubiri CUF wampiganie!Chadema wamegoma kabisa kumpigania??au lengo lao walipenda apotee kbs
**** kweli wewe,we ni nani haswa.Ahdi zipi hazitimizwi we kiazi??
Anajiita kamanda acha apambanie ukamanda wakeWakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana.
Mwasipu amesema, Jacob anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na sababu za kukosa dhamana jana Septemba 18, 2024 mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, hivyo Polisi Mkoa wa Kinondoni ‘mikono yao imefungwa’.
“Tumeomba dhamana kwa bahati mbaya RCO Msangi (Davis Msangi)amesema yeye mikono yake imefungwa kwa sababu mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, kwa mujibu wa sheria Polisi wanatakiwa kumshikilia sio zaidi ya saa 24 kwa kuwa alikamatwa saa kumi tarehe 18 tunatarajia mpaka leo hii saa 10 jioni saa 24 zitakuwa zimeshatimia, baada ya hapo tutachukua hatua za kisheria kuhakikisha Polisi wanalazimishwa kwa mujibu wa sheria kumpa dhamana,”amesema Mwasipu.
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa aliyoitoa jana Septemba 18, 2024 alisema Jeshi hilo limemkamata na linamshikilia Jacob, mkazi wa Mbezi Msakuzi, jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Boni Yai alikamatwa Septemba 18, akiwa maeneo ya Sinza, jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa wakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hekima Mwasipu anayemwakilisha Jacob, ambaye ni kada wa chama hicho.
Pia, Soma:
==> Boniface Jackob akataa kutoa Maelezo Polisi, asema atayatoa Mahakamani
==> Polisi wamaliza upekuzi kwa Boniface Jacob
mama anaupiga mwingiWakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana.
Mwasipu amesema, Jacob anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na sababu za kukosa dhamana jana Septemba 18, 2024 mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, hivyo Polisi Mkoa wa Kinondoni ‘mikono yao imefungwa’.
“Tumeomba dhamana kwa bahati mbaya RCO Msangi (Davis Msangi)amesema yeye mikono yake imefungwa kwa sababu mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, kwa mujibu wa sheria Polisi wanatakiwa kumshikilia sio zaidi ya saa 24 kwa kuwa alikamatwa saa kumi tarehe 18 tunatarajia mpaka leo hii saa 10 jioni saa 24 zitakuwa zimeshatimia, baada ya hapo tutachukua hatua za kisheria kuhakikisha Polisi wanalazimishwa kwa mujibu wa sheria kumpa dhamana,”amesema Mwasipu.
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa aliyoitoa jana Septemba 18, 2024 alisema Jeshi hilo limemkamata na linamshikilia Jacob, mkazi wa Mbezi Msakuzi, jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Boni Yai alikamatwa Septemba 18, akiwa maeneo ya Sinza, jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa wakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hekima Mwasipu anayemwakilisha Jacob, ambaye ni kada wa chama hicho.
Pia, Soma:
==> Boniface Jackob akataa kutoa Maelezo Polisi, asema atayatoa Mahakamani
==> Polisi wamaliza upekuzi kwa Boniface Jacob
Mbwa mama yako mzazi, kirusi we!**** kweli wewe,we ni nani haswa.
Chawa kaa mbali mbwa wewe.
Khaaaa,unamsemea huyu mama mnaeshinda mnamsifu na kumwabudu Kenge nyie.Mbwa mama yako mzazi, kirusi we!
Huyu Mwamba Polisi wanamjenga bila wao kujua! Huyu atachukua Jimbo la Ubungo asubuhi na mapema!Wakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana.
Mwasipu amesema, Jacob anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na sababu za kukosa dhamana jana Septemba 18, 2024 mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, hivyo Polisi Mkoa wa Kinondoni ‘mikono yao imefungwa’.
“Tumeomba dhamana kwa bahati mbaya RCO Msangi (Davis Msangi)amesema yeye mikono yake imefungwa kwa sababu mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma, kwa mujibu wa sheria Polisi wanatakiwa kumshikilia sio zaidi ya saa 24 kwa kuwa alikamatwa saa kumi tarehe 18 tunatarajia mpaka leo hii saa 10 jioni saa 24 zitakuwa zimeshatimia, baada ya hapo tutachukua hatua za kisheria kuhakikisha Polisi wanalazimishwa kwa mujibu wa sheria kumpa dhamana,”amesema Mwasipu.
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa aliyoitoa jana Septemba 18, 2024 alisema Jeshi hilo limemkamata na linamshikilia Jacob, mkazi wa Mbezi Msakuzi, jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Boni Yai alikamatwa Septemba 18, akiwa maeneo ya Sinza, jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa wakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hekima Mwasipu anayemwakilisha Jacob, ambaye ni kada wa chama hicho.
Pia, Soma:
==> Boniface Jackob akataa kutoa Maelezo Polisi, asema atayatoa Mahakamani
==> Polisi wamaliza upekuzi kwa Boniface Jacob
Hawa UWT ni wajinga snUnaleta nadharia badala ya uhalisia?
Sometimes hebu uwe great thinker basi mkuu kuna vitu vimekaa kisheria zaidi sio kila kitu kuingiza siasa.
Hapo ulitaka CDM wakapambane na polisi wamtoe kwa nguvu mahabusu hata kabla ya saa 24 za kisheria kuisha bila kupelekwa mahakamani ndiyo ujue wanampambania?
Subiri saa 24 zipite kama hawajampeleka mahakamani ndiyo utafanya judgment yako kama watakaa kimya ama lah.
Kwanini wewe na mumeo msiandamane?Jinsi kwenye Space za Maria Sarungi kule X tunavyoongea utasema tunaweza kupindua nchi dakika yoyote tumeshindwaje kuandamana kwenda kituo cha polisi
Kuwa makini unavyotukana watu mtandaoni utakuja kumtukana kibenten wa mamaakoKwanini wewe na mumeo msiandamane?
We UWT albadir inakusumbuaKuwa makini unavyotukana watu mtandaoni utakuja kumtukana kibenten wa mamaako
Bado upo shimoni.We lofa sana, yaani mtu anavunja sheria za nchi eti kwa kuwa ni lichadema, basi lisikamatwe, likikamatwa Ooh! Aaaah! Acheni upinzani uchwala, fuateni sheria za nchi.
Yaani si washukuru amefikishwa police na mahakamani?Chadema wamegoma kabisa kumpigania??au lengo lao walipenda apotee kbs