Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Mar 25, 2024 #1 Judge agrees to reduce Trump fraud bond to $175m Judge agrees to reduce Trump fraud bond to $175m Huu ndo mwanzo wa mwisho wa kesi ya kizushi dhidi ya Trump! Hii ni lawfare ambayo haina kabisa nafasi kwenye nchi ya kidemokrasia. Unamhukumu mtu halafu unapanga kiasi kikubwa ajabu ambacho hakijawahi kupangwa huku ukijua kabisa atashindwa kupata fedha za kuweka dhamana. Hayo ni makusudi ya kutumia sheria kunyanyasa wapinzani wa kisiasa!
Judge agrees to reduce Trump fraud bond to $175m Judge agrees to reduce Trump fraud bond to $175m Huu ndo mwanzo wa mwisho wa kesi ya kizushi dhidi ya Trump! Hii ni lawfare ambayo haina kabisa nafasi kwenye nchi ya kidemokrasia. Unamhukumu mtu halafu unapanga kiasi kikubwa ajabu ambacho hakijawahi kupangwa huku ukijua kabisa atashindwa kupata fedha za kuweka dhamana. Hayo ni makusudi ya kutumia sheria kunyanyasa wapinzani wa kisiasa!
Msela Wa Kitaa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2021 Posts 1,396 Reaction score 2,704 Mar 25, 2024 #2 DT akishinda nitafurahi sana Huwa nafuatilia uchaguzi wa USA kuliko uchaguzi wa Bongolala Kwa sababu nec ya USA sio ya kishamba
DT akishinda nitafurahi sana Huwa nafuatilia uchaguzi wa USA kuliko uchaguzi wa Bongolala Kwa sababu nec ya USA sio ya kishamba
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Mar 25, 2024 Thread starter #3 Msela Wa Kitaa said: DT akishinda nitafurahi sana Huwa nafuatilia uchaguzi wa USA kuliko uchaguzi wa Bongolala Kwa sababu nec ya USA sio ya kishamba Click to expand... USA hakuna NEC ila nimekuelewa 😀.
Msela Wa Kitaa said: DT akishinda nitafurahi sana Huwa nafuatilia uchaguzi wa USA kuliko uchaguzi wa Bongolala Kwa sababu nec ya USA sio ya kishamba Click to expand... USA hakuna NEC ila nimekuelewa 😀.
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 10,856 Reaction score 14,607 Apr 4, 2024 #4 Trump mwenyewe anatamba kwamba anapesa nyingi, sasa wao wafanyeje? Halafu nimesoma mahala kwamba hata hiyo imekataliwa leo, kwamba hakuambatanisha na financial statement.
Trump mwenyewe anatamba kwamba anapesa nyingi, sasa wao wafanyeje? Halafu nimesoma mahala kwamba hata hiyo imekataliwa leo, kwamba hakuambatanisha na financial statement.