Dhambi alioifanya mzee 2002 karma naitumikia mimi leo

Watu watajua utani kuna mzee mmoja kule Sinza miaka hiyoo alikua anakula sama mashoga ,vibaya mno mpaka akawa anawapangia nyumba kabisaa

Yule mzee ikifikia hatua ukipishana nae ananuka nnya tupu

KILICHOTOKEA,

kilichotokea ni kwamba yule mzee alibahatika kupata vijana watano wa kiume ila mpaka leo hii tunavyoongea yule mzee alifariki na kansa ya kibofu cha mkojo na wanae woteee ni wale mashoga wanaovaa kikike kabisaaaa

UNAYOWAFANYIA WATOTO WA WENZIO NA WAKO IPO SIKU.
Chai
 
Huenda huyo mzee alikuwa na hormones za ushoga ambazo hao watoto walizirithi.
 
Watu watajua utani kuna mzee mmoja kule Sinza miaka hiyoo alikua anakula sama mashoga ,vibaya mno mpaka akawa anawapangia nyumba kabisaa

Yule mzee ikifikia hatua ukipishana nae ananuka nnya tupu

KILICHOTOKEA,

kilichotokea ni kwamba yule mzee alibahatika kupata vijana watano wa kiume ila mpaka leo hii tunavyoongea yule mzee alifariki na kansa ya kibofu cha mkojo na wanae woteee ni wale mashoga wanaovaa kikike kabisaaaa

UNAYOWAFANYIA WATOTO WA WENZIO NA WAKO IPO SIKU.
Hii imetokea pia kwa mkuu mmoja wa madini.

Alivyojua mwanae ni chakula alipaniki, binafsi nilishangaa anapaniki nini sasa!

Siamini katika Karma tho!
 
Hi?
Mzee wangu alikula mke wa jirani yetu mapenzi yalipowanogea kamtoa kwa mumewe na kwenda kumpangia gest house jamaa alipogundua akawafata kwa lengo la kufumania na kumkataza mzee aachane na mkewe jama alipofika eneo la tukio alipigwa sana na mzee ngumi za kutosha ikabidi jamaa akimbie baada ya muda yule jamaa akaamua amuache yule mwanamke

Hili jambo na mimi nalipitia muda huu tafadhali muniombee
Umegongewa na umepigwa...usikubali mzee pambana usiwe mnyonge
 
Endeleen kuleta hizi shuhuda za karma labda watu watapunguza tabia mbovu.
 
Hi?
Mzee wangu alikula mke wa jirani yetu mapenzi yalipowanogea kamtoa kwa mumewe na kwenda kumpangia gest house jamaa alipogundua akawafata kwa lengo la kufumania na kumkataza mzee aachane na mkewe jama alipofika eneo la tukio alipigwa sana na mzee ngumi za kutosha ikabidi jamaa akimbie baada ya muda yule jamaa akaamua amuache yule mwanamke

Hili jambo na mimi nalipitia muda huu tafadhali muniombee
Mzee alizingua
 
Kwa hiyo umekula kichapo cha mbwa Koko na demu kakupiga chini. Unahitaji starfish akusaidie kusafisha nyota yako
 
Hi?
Mzee wangu alikula mke wa jirani yetu mapenzi yalipowanogea kamtoa kwa mumewe na kwenda kumpangia gest house jamaa alipogundua akawafata kwa lengo la kufumania na kumkataza mzee aachane na mkewe jama alipofika eneo la tukio alipigwa sana na mzee ngumi za kutosha ikabidi jamaa akimbie baada ya muda yule jamaa akaamua amuache yule mwanamke

Hili jambo na mimi nalipitia muda huu tafadhali muniombee
Uko upande wa kupigwa au kupiga ili ninapokutaja kwenye maombi nijue nazungumza nini😅nisije kuulizwa nikashindwa kujibu.
 
Kuna Mzee alikuwa anaishi na mkewe safi tu. Akamchukua mshikaji waishi nae. Mshikaji akatembea na mke wa Mzee kama haitoshi wakatoroka kwenda mkoani. Mzee alilia sana. Mwisho akachana nao waendelee na maisha Yao. Mwaka jana Desemba jamaa akiwa katika harakati zake za kunyandua demu uchochoroni wahuni wakampiga X za wembe mwili mzima. Katoka hospital jicho moja haoni vizuri. Karma ipo.
 
Hi?
Mzee wangu alikula mke wa jirani yetu mapenzi yalipowanogea kamtoa kwa mumewe na kwenda kumpangia gest house jamaa alipogundua akawafata kwa lengo la kufumania na kumkataza mzee aachane na mkewe jama alipofika eneo la tukio alipigwa sana na mzee ngumi za kutosha ikabidi jamaa akimbie baada ya muda yule jamaa akaamua amuache yule mwanamke

Hili jambo na mimi nalipitia muda huu tafadhali muniombee
Aseee kmmmke
 
Back
Top Bottom