Dhambi alioifanya mzee 2002 karma naitumikia mimi leo

Dhambi alioifanya mzee 2002 karma naitumikia mimi leo

Hi?
Mzee wangu alikula mke wa jirani yetu mapenzi yalipowanogea kamtoa kwa mumewe na kwenda kumpangia gest house jamaa alipogundua akawafata kwa lengo la kufumania na kumkataza mzee aachane na mkewe jama alipofika eneo la tukio alipigwa sana na mzee ngumi za kutosha ikabidi jamaa akimbie baada ya muda yule jamaa akaamua amuache yule mwanamke

Hili jambo na mimi nalipitia muda huu tafadhali muniombee
Familia ya kupigishia wake wa wengine haina cha kuombewa.
Dawa yenu ni kuliwa kiboga tu
 
Hayo matatizo ndiyo karma yenyewe sasa
Ukiamini dhana za kipuuzi kama laana na karma, unakuwa mpuuzi.

Badala ya kutafuta namna ya kutatua matatizo yako, unaanza kujilinganisha na babu yako eti kisa alipitia jambo kama lako basi ni sawa wewe kuteseka.

Unakosa uadilifu, na unakuwa fursa kwa mwamposa na waganga.
 
Back
Top Bottom