Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kabla ya kuasi shetani alikuwa malaika mkuu wa Mungu yani ni kama kiranja mkuu ama waziri mkuu.... Kwahiyo zile chembe chembe za uungu bado anazo mpaka Leo hii....

Chooni panachukuliwa kama mlango wa kuzimu na kuna mengi ya giza hufanyika chooni na kufanikiwa sana...... Ni jambo la kushangaza mno kama ukimkuta mtu ameinama chooni anachungulia bila sababu maalum... Huyo hakosi kuwa mchawi.

Mungu aliipiga dunia na mapigo mawili la moto na la maji (gharika) maji hutengeneza uhai kwahiyo hili halikuwa pigo baya sana kwakuwa pia aliandaa safina kwa wateule wake wale watakaotii sauti ya mlawi wake NUHU.

Pigo la pili lilikuwa kwenye miji ya SODOMA NA GOMORA.... hapa watu waliishi kwa anasa kubwa na wakafanya yaliyo CHUKIZO KUBWA mbele zake...

Mtumishi aliyepokea maono na kuamriwa aondoke SODOMA ni Lutu na mke wake na mabinti wao wawili, kabla moto haujashuka kuangamiza wadhambi
Sharti lilikuwa moja watakapoondoka asiwepo wa kugeuka nyuma LA sivyo atageuka jiwe la chumvi..Mke wa Lutu "aligeuka nyuma" na neno likatimia.

Mwili wa binadamu una namna yake ya kujisafisha na kutoa uchafu.. Lakini uchafu unaoheshimika sana ni kinyesi.. Uchafu huu hujengewa sehemu maalum na kuhifadhiwa vema.

Iweje Leo wewe kiumbe lile tundu linalochungulia mlango wa kuzimu unataka kulitumia? Unapochutama uchi ukiwa umechanua miguu chooni unajua linaona nini huko ulikolielekeza?

Kweli watu mna guts za ajabu LAKINI Mmh haya ila msisahau nini kiliiangamiza kwa moto SODOMA na GOMORA [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Kabla ya kuasi shetani alikuwa malaika mkuu wa Mungu yani ni kama kiranja mkuu ama waziri mkuu.... Kwahiyo zile chembe chembe za uungu bado anazo mpaka Leo hii....
Chooni panachukuliwa kama mlango wa kuzimu na kuna mengi ya giza hufanyika chooni na kufanikiwa sana...... Ni jambo la kushangaza mno kama ukimkuta mtu ameinama chooni anachungulia bila sababu maalum... Huyo hakosi kuwa mchawi
Mungu aliipiga dunia na mapigo mawili la moto na la maji (gharika) maji hutengeneza uhai kwahiyo hili halikuwa pigo baya sana kwakuwa pia aliandaa safina kwa wateule wake wale watakaotii sauti ya mlawi wake NUHU
Pigo la pili lilikuwa kwenye miji ya SODOMA NA GOMORA.... hapa watu waliishi kwa anasa kubwa na wakafanya yaliyo CHUKIZO KUBWA mbele zake ...Mtumishi aliyepokea maono na kuamriwa aondoke SODOMA ni Lutu na mke wake na mabinti wao wawili, kabla moto haujashuka kuangamiza wadhambi
Sharti lilikuwa moja watakapoondoka asiwepo wa kugeuka nyuma LA sivyo atageuka jiwe LA chumvi.. Mke wa Lutu "aligeuka nyuma" na neno likatimia
Mwili wa binadamu una namna yake ya kujisafisha na kutoa uchafu.. Lakini uchafu unaoheshimika sana ni kinyesi.. Uchafu huu hujengewa sehemu maalum na kuhifadhiwa vema
Iweje Leo wewe kiumbe lile tundu linalochungulia mlango wa kuzimu unataka kulitumia? Unapochutama uchi ukiwa umechanua miguu chooni unajua linaona nini huko ulikolielekeza?
Kweli watu mna guts za ajabu LAKINI Mmh haya ila msisahau nini kiliiangamiza kwa moto SODOMA na GOMORA [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
very true
 
Hakuna mada za kipuuzi humu JF za mshana Jr.

Mwanzoni, nilikuwa interested kuzifatilia, kuona kama kuna cha maana cha kujifunza, but I'm sorry, they are typicaly silly topics in all aspects
Wewe labda ndo mpuuzi,kama huwa unakosa cha kujifunza kwenye mada zake. Kwa mfano kwenye mada hii unadhani kasababisha tafakali kwa idadi gani ya watu wanaojihusisha na uchafu huu ambao pengine wataiona kweli wakatubu na kuuacha huu mchezo?
Kwa watu wenye imani zao, katukumbusha jambo jema sana kupitia hii maada unayoitukana.
 
Back
Top Bottom