Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Hakuna mada za kipuuzi humu JF za mshana Jr.

Mwanzoni, nilikuwa interested kuzifatilia, kuona kama kuna cha maana cha kujifunza, but I'm sorry, they are typicaly silly topics in all aspects
Aisee na bado unaendelea kuzifuatilia kwa karibu na kuchangia kama hivi...... Ungepita kimya ingekupunguzia maumivu mengi
Mtu anapofikia hatua hii yako ni wa kumhurumia tu maana hujashikiwa kisu wala kulazimishwa kusoma... Usije jipa stress za bure... Ukiona new post by mshana jr pita mbali
BTW nakupongeza kwa kutoa dukuduku[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Michezo ya wanga wa pwani hiyo... Ulishawahi kusikia Popobawa kaenda TARIME? au majina kama mchambawima (Sijui anaogopa nini[emoji15] [emoji3] [emoji144] ) Au Mwembe basha?
Kweli aisee. Inavuma sana maeneo ya pwani
 
shutterstock_59303527-500x333.jpg
Bonobo akizibulia msituni, thank god! hatuna haja ya kuziba pua..je na wao wanashawishiwa na lucifer
 
Wewe labda ndo mpuuzi,kama huwa unakosa cha kujifunza kwenye mada zake. Kwa mfano kwenye mada hii unadhani kasababisha tafakali kwa idadi gani ya watu wanaojihusisha na uchafu huu ambao pengine wataiona kweli wakatubu na kuuacha huu mchezo?
Kwa watu wenye imani zao, katukumbusha jambo jema sana kupitia hii maada unayoitukana.
Sometimes mada chokonozi kama hizi huwatoa nyoka Shimoni..... Dunia ina mengi na chini ya mapaa ndani ya kuta nne yamejificha mengi... Ukitaka uyafahamu hutumii nguvu unatumia akili
 
View attachment 510276 Bonobo akizibulia msituni, thank god! hatuna haja ya kuziba pua..je na wao wanashawishiwa na lucifer
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] umejuaje ni jinsia moja? [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Wale popo bawa wanatoka wapi mkuu?

Popobawa anatumika kama symbol, kama vile shetani na mamlaka zake wanavyoweza kutumia nyoka, mamba, etc ... na shetana na wajumbe wake wana tumia hivyo vitu kwasababu hawana mwili, so ili ku uporate wana hitaji ether mwili wa binadamu au etc ... ukiingiwa na pepo la zinaa, unajikuta unapenda sana chini ... kwasababu lenyewe ndio linakua kama dereva na wewe ni gari
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] umejuaje ni jinsia moja? [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
Mkuu fuatilia wanyama hawa ambao tunashea 98%ya dna.
 
But at the end.. He says not me...! Tena anakukana mchana kweupe

Nilikua kwenye Darasa la hii kitu kwa mda mrefu, kuanzia nature yake na the way wana operate ... Moja ya kitu muhimu cha kujua ni kwamba shetani ili afanye kitu ana hitaji mwili wa binadamu, na nia ya shetani na majeshi yake ni kumkosesha mwanadamu hata kumuharibia kabisa, but sie wanadamu tunawapa nafasi ( milango ya kuingia ndani ) na matokeo yake wanaanza control maisha ya muhisika ... na kuna level 7 za haya ma roho hadi ya become real kwa mtu ....
 
Shetani kazi yake ni kudirect na kujivua uhusika... Kwani ukishaua nani anakamatwa? WEWE [emoji779] [emoji779] [emoji779] the devil is nowhere to be seen.. Lakini kabla kumbuka alivyokuchochea

Usemacho ni kweli, na ndio maana hukumu ni juu ya roho ya mtu husika, na sio kilicho mshawishi ...
 
Nilikua kwenye Darasa la hii kitu kwa mda mrefu, kuanzia nature yake na the way wana operate ... Moja ya kitu muhimu cha kujua ni kwamba shetani ili afanye kitu ana hitaji mwili wa binadamu, na nia ya shetani na majeshi yake ni kumkosesha mwanadamu hata kumuharibia kabisa, but sie wanadamu tunawapa nafasi ( milango ya kuingia ndani ) na matokeo yake wanaanza control maisha ya muhisika ... na kuna level 7 za haya ma roho hadi ya become real kwa mtu ....
Sorry nimekuwa interested na hapo kwenye LEVEL SABA please share if it's okay
 
Back
Top Bottom