Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Kabla ya kuasi shetani alikuwa malaika mkuu wa Mungu yani ni kama kiranja mkuu ama waziri mkuu.... Kwahiyo zile chembe chembe za uungu bado anazo mpaka Leo hii....
Chooni panachukuliwa kama mlango wa kuzimu na kuna mengi ya giza hufanyika chooni na kufanikiwa sana...... Ni jambo la kushangaza mno kama ukimkuta mtu ameinama chooni anachungulia bila sababu maalum... Huyo hakosi kuwa mchawi
Mungu aliipiga dunia na mapigo mawili la moto na la maji (gharika) maji hutengeneza uhai kwahiyo hili halikuwa pigo baya sana kwakuwa pia aliandaa safina kwa wateule wake wale watakaotii sauti ya mlawi wake NUHU
Pigo la pili lilikuwa kwenye miji ya SODOMA NA GOMORA.... hapa watu waliishi kwa anasa kubwa na wakafanya yaliyo CHUKIZO KUBWA mbele zake ...Mtumishi aliyepokea maono na kuamriwa aondoke SODOMA ni Lutu na mke wake na mabinti wao wawili, kabla moto haujashuka kuangamiza wadhambi
Sharti lilikuwa moja watakapoondoka asiwepo wa kugeuka nyuma LA sivyo atageuka jiwe LA chumvi.. Mke wa Lutu "aligeuka nyuma" na neno likatimia
Mwili wa binadamu una namna yake ya kujisafisha na kutoa uchafu.. Lakini uchafu unaoheshimika sana ni kinyesi.. Uchafu huu hujengewa sehemu maalum na kuhifadhiwa vema
Iweje Leo wewe kiumbe lile tundu linalochungulia mlango wa kuzimu unataka kulitumia? Unapochutama uchi ukiwa umechanua miguu chooni unajua linaona nini huko ulikolielekeza?
Kweli watu mna guts za ajabu LAKINI Mmh haya ila msisahau nini kiliiangamiza kwa moto SODOMA na GOMORA [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Hakuna dhambi ambayo ibilisi sio chanzo kwahiyo ujuwe hivyo lipo roho lakula mkundu likikuingia utafunua mikundu mpaka yawanaume. Omba sana
 
Hakuna dhambi ambayo ibilisi sio chanzo kwahiyo ujuwe hivyo lipo roho lakula Makalio likikuingia utafunua mikundu mpaka yawanaume. Omba sana
.....mpaka ya wanaume....[emoji80] [emoji36] [emoji87]
 
Hakuna mada za kipuuzi humu JF za mshana Jr.

Mwanzoni, nilikuwa interested kuzifatilia, kuona kama kuna cha maana cha kujifunza, but I'm sorry, they are typicaly silly topics in all aspects

Umelazimishwa kusoma?
 
Kabla ya kuasi shetani alikuwa malaika mkuu wa Mungu yani ni kama kiranja mkuu ama waziri mkuu.... Kwahiyo zile chembe chembe za uungu bado anazo mpaka Leo hii....
Chooni panachukuliwa kama mlango wa kuzimu na kuna mengi ya giza hufanyika chooni na kufanikiwa sana...... Ni jambo la kushangaza mno kama ukimkuta mtu ameinama chooni anachungulia bila sababu maalum... Huyo hakosi kuwa mchawi
Mungu aliipiga dunia na mapigo mawili la moto na la maji (gharika) maji hutengeneza uhai kwahiyo hili halikuwa pigo baya sana kwakuwa pia aliandaa safina kwa wateule wake wale watakaotii sauti ya mlawi wake NUHU
Pigo la pili lilikuwa kwenye miji ya SODOMA NA GOMORA.... hapa watu waliishi kwa anasa kubwa na wakafanya yaliyo CHUKIZO KUBWA mbele zake ...Mtumishi aliyepokea maono na kuamriwa aondoke SODOMA ni Lutu na mke wake na mabinti wao wawili, kabla moto haujashuka kuangamiza wadhambi
Sharti lilikuwa moja watakapoondoka asiwepo wa kugeuka nyuma LA sivyo atageuka jiwe LA chumvi.. Mke wa Lutu "aligeuka nyuma" na neno likatimia
Mwili wa binadamu una namna yake ya kujisafisha na kutoa uchafu.. Lakini uchafu unaoheshimika sana ni kinyesi.. Uchafu huu hujengewa sehemu maalum na kuhifadhiwa vema
Iweje Leo wewe kiumbe lile tundu linalochungulia mlango wa kuzimu unataka kulitumia? Unapochutama uchi ukiwa umechanua miguu chooni unajua linaona nini huko ulikolielekeza?
Kweli watu mna guts za ajabu LAKINI Mmh haya ila msisahau nini kiliiangamiza kwa moto SODOMA na GOMORA [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Kwani chooni huwa kunahusiana na giza kivipi naomba kujua seriously
 
Mhm[emoji15] [emoji115]

Nilidhani swali nimeliuliza mahala sahihi matokeo yake unashangaa shangaa ni sawasawa umuulize prof lipumba swali kuhusu uchumi badala akujibu anakodoa tu macho kana kwamba hajui jibu matokeo yake mnabaki mnashangaana
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Shetani hakuwa malaika mkuu wa MUNGU,alikuwa malaika mkuu wa malaika,
Halafu kuwa anachembe chembe za UUNGU,
Shetani hajawahi kulingana ama kuwa na UUNGU kwa asili yy ni malaika,ukaribu wake na Mungu haumfanyi malaika yyte kuwa na UUNGU,
Hayo ndo nnakataa
Lkn juu ya tabia ya dhambi na mengine yanayoelezwa nakubali kabisa,
 
popbwinyo hili neno chembechembe naona limewachanganya wengi....hivi una habari hata wewe na mimi tuna chembechembe za uungu kwakuwa tumeumbwa kwa mfano wake na yeye mwenyewe halafu akatupulizia pumzi yake ya uzima yeye mwenyewe
Halafu kuwa waziri mkuu wa nchi hakuna tofauti na kuwa mkuu wa mawaziri wote
 
Nilidhani swali nimeliuliza mahala sahihi matokeo yake unashangaa shangaa ni sawasawa umuulize prof lipumba swali kuhusu uchumi badala akujibu anakodoa tu macho kana kwamba hajui jibu matokeo yake mnabaki mnashangaana
Mshangao ama huko unakoita kukodoakodoa macho kunaweza kuwa na tafsiri pana zaidi kuliko hata jibu lenyewe!
 
.....mpaka ya wanaume....[emoji80] [emoji36] [emoji87]
off coz kwani hujuwi why Mungu alikataza tigo? alijuwa mwisho wake hauwi mzuri utatafuna na wenziomaana bidha unaipendaa na wanaume wanao why uwende kwa wanawake?
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji781] [emoji779] [emoji781] [emoji779]
 
Back
Top Bottom