Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Asante sana dhambi zote ni sawa kwa imani ya Mungu mmoja na hukumu ni moja ila kwa waabudu miungu zinatofautiana uzito na adhabu

Sasa mshana jr; kama "dhambi zote ni sawa kwa imani ya Mungu mmoja" In which asilimia kubwa tulio wengi ndivyo tunavyoamini nadhani Dini zetu kubwa karibu zote zinatufunza hivyo.

Sasa inakuwaje sisi tunazifanyia categorization? Je mzinzi ataunguzwa kwenye tanuru tofauti na huyo atendaye matendo hayo ya "kifirauni"?

Hebu wajuzi wa hizi imani endeleeni kutupa darasa hapa.
 
Kuna wimbo uliimbwa na kwaya ya sauti ya Injili Arusha miaka ile ya 84/85 unasema..... Na wanyama wataangamia kwa dhambi zako ewe mwanadamu .....
Hili lipo wazi kabisa, si wanyama tu bali hata wadudu na viumbe vingine mpaka mimea.

Wanyama waliokuwepo miaka ya nyuma mpaka miaka ya 80-90 kuna ambao hatuwaoni tena leo hii, na vile vile mimea.

Ukijaribu kufuatilia utagundua hilo.

Mifano:-

-Nyati wakubwa waliokuwa na manyoya mengi kichwani

-Dinosarous

-Konokono weupe wabebao nyumba zao mgongoni

- Dawa nyingi za miti, mfano ninapoishi dawa tulizokuwa tukizitumia katika udogo wangu leo hazipo tena.

-Sasa chemchem za maji pia zinapotea.
 
Sasa mshana jr; kama "dhambi zote ni sawa kwa imani ya Mungu mmoja" In which asilimia kubwa tulio wengi ndivyo tunavyoamini nadhani Dini zetu kubwa karibu zote zinatufunza hivyo.

Sasa inakuwaje sisi tunazifanyia categorization? Je mzinzi ataunguzwa kwenye tanuru tofauti na huyo atendaye matendo hayo ya "kifirauni"?

Hebu wajuzi wa hizi imani endeleeni kutupa darasa hapa.
Kuna mtu alimuuliza Yesu ni dhambi ipi iliyokubwa kuliko nyingine. Sijui alijibiwa nini.
 
Hao watu waliokuwa wakifanya liwatwi tunahadithiwa ndani ya quran walivyo angamizwa ilikuwa hivi 11:82 "
Basi ilipokuja amri Yetu, Tuliupindua (mji wao) juu chini, na Tukaunyeshea mvua ya mawe ya udongo uliookwa yaliyo na tabaka na kuandamana. Yametiwa alama kutoka kwa Rabb wako. Na adhabu hiyo haiko mbali na madhalimu.
 
Kuna jamaa hapa eti anamsifia mwenzake kwamba ana bahati ya mnduku kunuka lakini unapendwa..
 
Umeiweka vizuri Mshana Jr... Lakini mijitu bado haielewi na kuendekeza tamaa za mwili!!!
 
01.jpg
Hii ya mahari ya kuku halafu siri ya ndani nje
 
Back
Top Bottom