Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Nyokooooooh zako wee [emoji23][emoji23]
Takuchapa na MKIA wa taa
giphy.gif
 
Kabla ya kuasi shetani alikuwa malaika mkuu wa Mungu yani ni kama kiranja mkuu ama waziri mkuu.... Kwahiyo zile chembe chembe za uungu bado anazo mpaka Leo hii....

Chooni panachukuliwa kama mlango wa kuzimu na kuna mengi ya giza hufanyika chooni na kufanikiwa sana...... Ni jambo la kushangaza mno kama ukimkuta mtu ameinama chooni anachungulia bila sababu maalum... Huyo hakosi kuwa mchawi.

Mungu aliipiga dunia na mapigo mawili la moto na la maji (gharika) maji hutengeneza uhai kwahiyo hili halikuwa pigo baya sana kwakuwa pia aliandaa safina kwa wateule wake wale watakaotii sauti ya mlawi wake NUHU.

Pigo la pili lilikuwa kwenye miji ya SODOMA NA GOMORA.... hapa watu waliishi kwa anasa kubwa na wakafanya yaliyo CHUKIZO KUBWA mbele zake...

Mtumishi aliyepokea maono na kuamriwa aondoke SODOMA ni Lutu na mke wake na mabinti wao wawili, kabla moto haujashuka kuangamiza wadhambi
Sharti lilikuwa moja watakapoondoka asiwepo wa kugeuka nyuma LA sivyo atageuka jiwe la chumvi..Mke wa Lutu "aligeuka nyuma" na neno likatimia.

Mwili wa binadamu una namna yake ya kujisafisha na kutoa uchafu.. Lakini uchafu unaoheshimika sana ni kinyesi.. Uchafu huu hujengewa sehemu maalum na kuhifadhiwa vema.

Iweje Leo wewe kiumbe lile tundu linalochungulia mlango wa kuzimu unataka kulitumia? Unapochutama uchi ukiwa umechanua miguu chooni unajua linaona nini huko ulikolielekeza?

Kweli watu mna guts za ajabu LAKINI Mmh haya ila msisahau nini kiliiangamiza kwa moto SODOMA na GOMORA [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Kuna mjamaa aliwahi mnyonya mtu kinyeo
 
Wewe labda ndo mpuuzi,kama huwa unakosa cha kujifunza kwenye mada zake. Kwa mfano kwenye mada hii unadhani kasababisha tafakali kwa idadi gani ya watu wanaojihusisha na uchafu huu ambao pengine wataiona kweli wakatubu na kuuacha huu mchezo?
Kwa watu wenye imani zao, katukumbusha jambo jema sana kupitia hii maada unayoitukana.
Hii mada inachochea
 
Huenda wanaozibua vyoo wanaona mengi,ni sawa na wanaokaa mortuary, watu wanafika kimyakimya kununua maji fulani tena kwa bei kubwa. Kuna jamaa aliambiwa awe analia chakula chooni tena cha shimo kilichokaribia kujaa, kutwa mara moja kwa mwezi. Ni katika kusaka utajiri na cheo.
 
Umesema"utajiri halali" . Mf. Jambazi ameuwa watu wengi na akawa tajiri, mbele ya watu ni utajiri halali kwani hakuna ushahidi na pesa hainukii damu. Na ushirikina ni hivyo ilivyo, kumbuka nabii Issa alivyochukuliwa na shetani mlimani na kuonyeshwa utajiri wa dunia! Je kuna utajiri wa Mungu?
 
Rudi hapa unaenda wapi?
Mwambie shetani nimeokoka sitarudi tena Misiri[emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Utajiri wa Mungu upo.. Mfanowe ni ule wa Suleiman lakini kwa bahati mbaya sana ulikuwa na laana ndani yake

Kila baraka ina laana ndani yake
 
Mwambie shetani nimeokoka sitarudi tena Misiri[emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Mweee huu uzi ni wa zamani kuliko ule. Ulikuwa umeokoka na sasa ni mfuasi wa shetani. Chezea nnya wewe
 
Mweee huu uzi ni wa zamani kuliko ule. Ulikuwa umeokoka na sasa ni mfuasi wa shetani. Chezea nnya wewe
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee. Yaani nakwambia haya mambo ukiyapiga vita unajikuta unadumbukia humo humo. Ni bora kukaa kimya
 
Back
Top Bottom