Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Kabla ya kuasi shetani alikuwa malaika mkuu wa Mungu yani ni kama kiranja mkuu ama waziri mkuu.... Kwahiyo zile chembe chembe za uungu bado anazo mpaka Leo hii....

Chooni panachukuliwa kama mlango wa kuzimu na kuna mengi ya giza hufanyika chooni na kufanikiwa sana...... Ni jambo la kushangaza mno kama ukimkuta mtu ameinama chooni anachungulia bila sababu maalum... Huyo hakosi kuwa mchawi.

Mungu aliipiga dunia na mapigo mawili la moto na la maji (gharika) maji hutengeneza uhai kwahiyo hili halikuwa pigo baya sana kwakuwa pia aliandaa safina kwa wateule wake wale watakaotii sauti ya mlawi wake NUHU.

Pigo la pili lilikuwa kwenye miji ya SODOMA NA GOMORA.... hapa watu waliishi kwa anasa kubwa na wakafanya yaliyo CHUKIZO KUBWA mbele zake...

Mtumishi aliyepokea maono na kuamriwa aondoke SODOMA ni Lutu na mke wake na mabinti wao wawili, kabla moto haujashuka kuangamiza wadhambi
Sharti lilikuwa moja watakapoondoka asiwepo wa kugeuka nyuma LA sivyo atageuka jiwe la chumvi..Mke wa Lutu "aligeuka nyuma" na neno likatimia.

Mwili wa binadamu una namna yake ya kujisafisha na kutoa uchafu.. Lakini uchafu unaoheshimika sana ni kinyesi.. Uchafu huu hujengewa sehemu maalum na kuhifadhiwa vema.

Iweje Leo wewe kiumbe lile tundu linalochungulia mlango wa kuzimu unataka kulitumia? Unapochutama uchi ukiwa umechanua miguu chooni unajua linaona nini huko ulikolielekeza?

Kweli watu mna guts za ajabu LAKINI Mmh haya ila msisahau nini kiliiangamiza kwa moto SODOMA na GOMORA [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Dah hii dhambi ilimkera sana Mungu. Maana alikua haamini amini kinachomfikia huko mbinguni mpaka akajisemea mwenyewe ngoja nishuke nione kama kiasi kinachonijia ndicho wanachotenda. Yaani alishuka kuja kuthibitisha [emoji23] ajionee ye mwenyewe kwa macho yake [emoji23] Mwanzo 18:21. Wakati wa Nuhu aliitandika dunia bila kushuka chini kuja kuona kinachotendwa na mwanadamu, ila kwa Sodoma na Gomora ilibidi ashuke [emoji23][emoji23] tena huku akiambatana na malaika wake. Binadamu anamvuruga sana muumba wake na mambo yake [emoji23]
 
Wakati wa Nuhu aliitandika dunia bila kushuka chini kuja kuona kinachotendwa na mwanadamu, ila kwa Sodoma na Gomora ilibidi ashuke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana shetani hukimbia kabisa akiona mtu anakula jicho la kuzimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa Sodoma na Gomora walikua wamepinda aisee [emoji23][emoji23][emoji23] yani wakataka kuwasurubu hadi malaika [emoji23][emoji23] na hapo ndipo walipopata uthibitisho wa kile kilichokua kinamfikia Mungu mbinguni [emoji23] , Lutu akajaribu kuwatetea wakataka kumgeuzia kibao [emoji23], ikabidi malaika waingilie kati kwa kuwapiga upofu . Mungu alinyesha mvua ya moto toka mbinguni [emoji3062][emoji35]
 
Watu wa Sodoma na Gomora walikua wamepinda aisee [emoji23][emoji23][emoji23] yani wakataka kuwasurubu hadi malaika [emoji23][emoji23] na hapo ndipo walipopata uthibitisho wa kile kilichokua kinamfikia Mungu mbinguni [emoji23] , Nuhu akajaribu kuwatetea wakataka kumgeuzia kibao [emoji23], ikabidi malaika waingilie kati kwa kuwapiga upofu . Mungu alinyesha mvua ya moto toka mbinguni [emoji3062][emoji35]
Ni Nuhu kwani? Nuhu si alikuwa wa safina? Huyu ni Lutu

Basi, wale malaika wawili wakaja Sodoma jioni; na Lutu alikuwa amekaa mlangoni pa Sodoma. Lutu akawaona akaondoka akaenda kuwalaki, akainama kifudifudi.
2 Akasema, Bwana zangu, karibuni nawasihi mwingie nyumbani mwa mtumwa wenu, mkalale, mkanawe miguu yenu, hata asubuhi mwondoke na mapema mkaende zenu. Wakasema, Sivyo, lakini tutakaa uwanjani usiku kucha.
3 Akawasihi sana, nao wakaja, wakaingia nyumbani mwake. Akawafanyia karamu, akawapikia mikate isiyochachwa nao wakala.
4 Hata kabla hawajalala, watu wa mji, wenyeji wa Sodoma, wakaizunguka nyumba, vijana kwa wazee, watu wote waliotoka pande zote.
5 Wakamwita Lutu, wakamwambia, Wa wapi wale watu waliokuja kwako usiku huu? Uwatoe kwetu, tupate kuwajua.
6 Lutu akawatokea mlangoni, akafunga mlango nyuma yake.
7 Akasema, Basi, nawasihi, ndugu zangu, msitende vibaya hivi.
8 Tazama, ninao binti wawili ambao hawajajua mtu mume, nawasihi nitawatolea kwenu mkawafanyie vilivyo vyema machoni penu, ila watu hawa msiwatende neno, kwa kuwa wamekuja chini ya dari yangu.
9 Wakasema Ondoka hapa! Kisha wakanena, Mtu huyu mmoja amekuja kwetu kuketi hali ya ugeni; naye kumbe, anataka kuhukumu! Basi tutakutenda wewe vibaya kuliko hawa. Wakamsonga sana huyo mtu, huyo Lutu, wakakaribia wauvunje mlango.
10 Lakini wale watu wakanyosha mikono yao, wakamwingiza Lutu kwao nyumbani, wakaufunga mlango.
11 Kisha wakawapiga hao watu walioko mlangoni kwa upofu, wadogo kwa wakubwa, hata wakachoka kwa kuutafuta mlango.
12 Basi wale watu wakamwambia Lutu, Je! Unaye mtu hapa zaidi? Mkwe, wanao, na binti zako, na wo wote ulio nao katika mji, uwatoe katika mahali hapa;
13 maana tutapaharibu sisi mahali hapa, kwa kuwa kilio chake kimezidi mbele za Bwana; naye Bwana ametupeleka tupaharibu.
14 Lutu akatoka akasema na wakweze, waliowaposa binti zake, akasema, Ondokeni mtoke katika mahali hapa kwa sababu Bwana atauharibu mji huu. Lakini akawa kama achezaye machoni pa wakweze.
15 Hata alfajiri ndipo malaika wakamhimiza Lutu, wakisema, Ondoka, mtwae mkeo na binti zako wawili waliopo hapa, usipotee katika maovu ya mji huu

Typos mkuu, ni Lutu. Asante kwa marekebisho, mkono na akili vilitereza.
 
Dah hii dhambi ilimkera sana Mungu. Maana alikua haamini amini kinachomfikia huko mbinguni mpaka akajisemea mwenyewe ngoja nishuke nione kama kiasi kinachonijia ndicho wanachotenda. Yaani alishuka kuja kuthibitisha [emoji23] ajionee ye mwenyewe kwa macho yake [emoji23] Mwanzo 18:21. Wakati wa Nuhu aliitandika dunia bila kushuka chini kuja kuona kinachotendwa na mwanadamu, ila kwa Sodoma na Gomora ilibidi ashuke [emoji23][emoji23] tena huku akiambatana na malaika wake. Binadamu anamvuruga sana muumba wake na mambo yake [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie hata sichepuki babuuuh.
Huyu unamjua? Nahitaji mawasiliano yake
-853925768-2077554290.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi mnyonya mtu kinyeo
[emoji23][emoji23][emoji23] Naona unamkumbushia uzi! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Huenda wanaozibua vyoo wanaona mengi,ni sawa na wanaokaa mortuary, watu wanafika kimyakimya kununua maji fulani tena kwa bei kubwa. Kuna jamaa aliambiwa awe analia chakula chooni tena cha shimo kilichokaribia kujaa, kutwa mara moja kwa mwezi. Ni katika kusaka utajiri na cheo.
 
Najua kabisa ni dhambi sijui nini nini.. lakin ndogo ni tamu jamani..nisameheni bure tu. Mi nitaendelea kuipiga
 
Back
Top Bottom