kisiki kibichi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2019
- 449
- 281
Unakosa Utu wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio mjuzi sana wa kuweka link, nime-screenshoot vitu kadhaa vinaweza kukuongozaLink yake tafadhali
sio mjuzi sana wa kuweka link, nime-screenshoot vitu kadhaa vinaweza kukuongozaView attachment 1249446View attachment 1249446
Ni sawa mkuu, nakubalina na wewe, wakati maisha yana pande mbili, sisi hatupaswi kuchagua pande moja na kwenda nao?[emoji23][emoji23][emoji23] Blessed maisha yana pande mbili na kila upande ni vema ukatendewa haki... Na ndio maana hata maneno ya Mungu yanasema... Ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe Kaisari
Sawasawa! umetekeleza kwa uaminifu jukumu ulilojipa!Kwangu mimi ninachopaswa kufanya ni kuziweka pande zote mbili mezani... Halafu kila mtu anachagua unaomfaa
r.i.p.tigomshana jr inamaana hakuna shetani gay au lesbian mkuu?
Mkuu heshimu aina ya majukwaa ukiona kitu huko huwa tunaviachia huko ,hupaswi kutoa siri za kambiConfused , kuna thread ilianzishwa na member kwa Id Hii hiii kuhusu hii mada, mada husika ilikuwa na mrengo kuhusu hii kitu
Ur welcome comrade.Thanks for the needful