Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Hakuna mada za kipuuzi humu JF za mshana Jr.
Mwanzoni, nilikuwa interested kuzifatilia, kuona kama kuna cha maana cha kujifunza, but I'm sorry, they are typicaly silly topics in all aspects
Aisee na bado unaendelea kuzifuatilia kwa karibu na kuchangia kama hivi...... Ungepita kimya ingekupunguzia maumivu mengiHakuna mada za kipuuzi humu JF za mshana Jr.
Mwanzoni, nilikuwa interested kuzifatilia, kuona kama kuna cha maana cha kujifunza, but I'm sorry, they are typicaly silly topics in all aspects
Kweli aisee. Inavuma sana maeneo ya pwaniMichezo ya wanga wa pwani hiyo... Ulishawahi kusikia Popobawa kaenda TARIME? au majina kama mchambawima (Sijui anaogopa nini[emoji15] [emoji3] [emoji144] ) Au Mwembe basha?
Sometimes mada chokonozi kama hizi huwatoa nyoka Shimoni..... Dunia ina mengi na chini ya mapaa ndani ya kuta nne yamejificha mengi... Ukitaka uyafahamu hutumii nguvu unatumia akiliWewe labda ndo mpuuzi,kama huwa unakosa cha kujifunza kwenye mada zake. Kwa mfano kwenye mada hii unadhani kasababisha tafakali kwa idadi gani ya watu wanaojihusisha na uchafu huu ambao pengine wataiona kweli wakatubu na kuuacha huu mchezo?
Kwa watu wenye imani zao, katukumbusha jambo jema sana kupitia hii maada unayoitukana.
Hatar kweli kweli
Kweli mkuu. Hiyo kitu mbaya sana.
Kweli kabisa
Wanyama na uhayawani wao wana subra na tuo kwenye hili....labda kuku tu ndio wakumhurumia ambaye Pengine yeye ni special case kwa ruhusa maalum [emoji87] [emoji85] [emoji779]mharibifu ni yule mwenye akili... likiumbe la ajabu hili
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] umejuaje ni jinsia moja? [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779]View attachment 510276 Bonobo akizibulia msituni, thank god! hatuna haja ya kuziba pua..je na wao wanashawishiwa na lucifer
Sio kweli kabisa
Popobawa ni michezo ya wanga wa pwani wanaojificha kwenye koti la shetani
But at the end.. He says not me...! Tena anakukana mchana kweupeShetani hafai tu, hana jema ... one chance magoli ya kutosha ...
spirit of perversion ( roho ya ushapuvu ), mtu akiwa nayo hii ( matokeo yake ni ) wasagaji, gays and all kind of lust ....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] au Pengine yuko kwenye siku zake usimlaumu sana [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wale popo bawa wanatoka wapi mkuu?
Shetani kazi yake ni kudirect na kujivua uhusika... Kwani ukishaua nani anakamatwa? WEWE [emoji779] [emoji779] [emoji779] the devil is nowhere to be seen.. Lakini kabla kumbuka alivyokuchocheaBut ni wajumbe wa shetani, kwasababu nguvu wanazipatia huko.
Mkuu fuatilia wanyama hawa ambao tunashea 98%ya dna.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] umejuaje ni jinsia moja? [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
mshana jr inamaana hakuna shetani gay au lesbian mkuu?
But at the end.. He says not me...! Tena anakukana mchana kweupe
Shetani kazi yake ni kudirect na kujivua uhusika... Kwani ukishaua nani anakamatwa? WEWE [emoji779] [emoji779] [emoji779] the devil is nowhere to be seen.. Lakini kabla kumbuka alivyokuchochea
Sorry nimekuwa interested na hapo kwenye LEVEL SABA please share if it's okayNilikua kwenye Darasa la hii kitu kwa mda mrefu, kuanzia nature yake na the way wana operate ... Moja ya kitu muhimu cha kujua ni kwamba shetani ili afanye kitu ana hitaji mwili wa binadamu, na nia ya shetani na majeshi yake ni kumkosesha mwanadamu hata kumuharibia kabisa, but sie wanadamu tunawapa nafasi ( milango ya kuingia ndani ) na matokeo yake wanaanza control maisha ya muhisika ... na kuna level 7 za haya ma roho hadi ya become real kwa mtu ....