Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Mkuu fuatilia wanyama hawa ambao tunashea 98%ya dna.
Kuna wimbo uliimbwa na kwaya ya sauti ya Injili Arusha miaka ile ya 84/85 unasema..... Na wanyama wataangamia kwa dhambi zako ewe mwanadamu .....
 
Sometimes mada chokonozi kama hizi huwatoa nyoka Shimoni..... Dunia ina mengi na chini ya mapaa ndani ya kuta nne yamejificha mengi... Ukitaka uyafahamu hutumii nguvu unatumia akili
Kweli kabisa, hii maada yako, naamini itaokoa wengi
 
Shetani hafai tu, hana jema ... one chance magoli ya kutosha ...
spirit of perversion ( roho ya ushapuvu ), mtu akiwa nayo hii ( matokeo yake ni ) wasagaji, gays and all kind of lust ....
Hii roho ya ushupavu ikoje ikoje na inafanya kazi na watu gani

Nisaidie hapo
 
Sorry nimekuwa interested na hapo kwenye LEVEL SABA please share if it's okay

1. Regretion - Ni hatua ambayo unamuona mtu, anakua na tabia mbovu mbovu ( tabia ambazo hakua nazo mwanzo ), mfano alikua muaminifu kwenye ndoa, but ghafla anakua mpigaji hatari.

2. Repression - Ananza kua mtu wa kulalamika lamika ( mfano, alikua anasifu uzuri na umuhimu wa uaminifu katika ndoa ), anaanza kusema negative issue juu ya ndoa

3. Supression - Unakuta hataki tena kuzungumzia uaminifu kwenye ndoa, hata kusikia

4. Depression anakosa tumaini katika maisha yake

5. Opression hapa kwenye hii hatua demons wanaanza kumuendesha anakua hana nguvu tena juu ya maamuzi yake

6. Obsession Hii hatua kama alikua na demon mmoja, sasa wanaanza unda ngome kwa huyo, kwa kua na demons za kutosha, kama leviathan akikaa sehemu anakua soround na majeshi ambayo yanakua chini yake

7. Possession Hapa huyu mtu ndio anapoteamo kabisa, demons wanakua wana manifest live na sometimes mtu mwenyewe ansjishuhudia anaucha mwili anakua totoal spiritual but demonic ...

Kuanzia hatua ya tano hadi saba hua ni ngumu sana hata kumsiaidia huyo mtu, but 4 hadi moja anaweza kusaidikiaka ki urahisi ...

Nimeeleza juu, niko mbio mbio
 
Thanks a lot I can see the clear picture here... [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Ni tamu sana kupakuliwa au kupakua nyuma
 
Mkuu unatafakari sana,ila uzinzi wote ni dhambi
 
Kwa kuongezea
Satan is the promoter of homosexuality.
Because those angel that came in sodoma hawakuwa was munguu.
My take Satan is the father of homosexuality
 
Lutu aligeuka kukumbuka raha na starehe za Sodoma....ama kweli hasira ya Mungu iliwaka juu yao hata Abram aliomba sana juu yao ilishindikana.....ole wake mtu huyo aise
Haikushindikana mkuu,Mungu alimsikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…