Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Nasikia kuna wengine hugegedwa na mashetani mahaba. Labda tusubiri mshana jr atupe somo hapa.
Mkuu majini yenyewe kuna sehemu nimesoma, kama alikua na mahusiano na msichana wa kawaida alafu likaja kugundua ya kuwa alishawah kishiriki kinyume na maumbile ana mwacha siku hiyo hiyo , hata kama alikua anampenda vipi,

Huo kwao ni uchafu mkuu kuliko yote
 
Mkuu huyo ndio michezo yake. Achana nae
 
Shetani hakuwa hana na hatakuwa na chembechembe za UUNGU,
usilete akili na tafsiri za vijiweni ktk mambo matakatifu,hili ndo tatizo la kulazimisha ujuvi
 
kuna documentary fulani inapinga maelezo ya biblia kuwa ule moto wa Sodoma na Gomora hukuteremshwa na Mungu bali lilikuwa tukio la kiasili tu..
 
huwezi kulikwepa hili ni lazima liwepo Lakini lisibadilishwe/lisiongezewe matumizi
 
Shetani hakuwa hana na hatakuwa na chembechembe za UUNGU,
usilete akili na tafsiri za vijiweni ktk mambo matakatifu,hili ndo tatizo la kulazimisha ujuvi
Usikurupuke kama hujaelewa uliza usiogope utaelimishwa.... Hebu niambie kwanini Mungu alimruhusu shetani amjaribu Ayubu.... Ukisoma kitabu cha Ayubu unaona kwamba shetani ana mawasiliano ya moja kwa moja na Mungu.. Na ni Mungu huyo huyo aliyempa shetani milki ya ulimwengu
Vipi ndugu maandiko huwa unasoma ana unasomewa? Je unaelewa? Nina mifano zaidi ya kumi kuthibitisha nilichoandika SIJAKURUPUKA
 
kuna documentary fulani inapinga maelezo ya biblia kuwa ule moto wa Sodoma na Gomora hukuteremshwa na Mungu bali lilikuwa tukio la kiasili tu..
Hiyo documentary na Biblia kipi kilianza? Tambua kwanza kisayansi lazima waseme hivyo
 
Wataalam wengi wanaoelezea sababu mbambali zitakazosabaisha mwisho wa dunia (extinction ya 6) wanatoa sababu kuu 5! Mojawapo ni Binadamu anazidi kuwa mjinga (dumper)! Zamani tulitambua normal na abnormal lakini leo abnormal ni normal na watu wanashangilia! MWISHO WA DUNIA U-KARIBU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…