Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Vitu vitamu vimepigwa marufuku....
1 kitimoto
2 mkundu.

Ukianza huwezi kuacha.
Tafadhali....utamu umewekwa huku ili kupima imani yako.
Fanya matumizi sahihi
 
Pole sana muumini wa kemeo la hii mada.eidha ni muumini wa vitendo au muumini wa maneno tu(yaani unafagilia).

Alichokifanya mkuu mshana ni kuonyesha ubaya wa hilo jambo kwa fikra yakinifu na kifalsafa zaidi jambo ambalo linatufanya sisi ambao hatufagilii michezo hiyo tupate nguvu zaidi ya kuzidi kuwa mbali na michezo hiyo na kuwahamaisha wengine kiroho na kifalsafa zaidi.

Hata nikikaa na wenzangu nikiwapa hii falsafa lazima itawaingia vizuri akilini.

Nashkuru kwa uzi huu mkuu Mshana Jr
[emoji120][emoji120][emoji120]hatufanani mitazamo lakini pia kuna baadhi yetu wana shida zao binafsi
 
Duh, watu tutaanza kupaogopa chooni,
Hongera kwa kutuelimisha, maana watu wanpenda kutazama mizigo ya wenzao wakt nao wanamizgo yao nyuma,. Alafu wadada wanahamisha san kwa mavazi yao hasa ukute kajaliw kalio, kuna ukipatazama panavutia lakin. Lawama nyingi anapewa shetani mambo mengine tunamsingizia. Binadamu tumepewa akili na uhuru wakuchagua, sa kuna mda mtu anaamua tu kujichagulia jambo lake na akaliona linafaa, ila akaja mwingine akaliona alilofanya mwenzake halifai ila lake ndio sahihi. Hizo ni fikra zangu.

Ila kusema chooni au tundu la choo ni mlango wa kuzimu, naomba ufafanuzi kidogo, hiyo hoja inapatikana wapi au ni fikra zako tu?
 
Hapana sio fikra zangu ndio uhalisia
 
Blasphemy! Unapotosha ukweli katika maandiko mengi mathali wakati mwingine unafanya kwa minajiri ya kufurahisha. Hivyo "upotoshaji wako ni (unintended consequence)

Hakuna jicho la nne wala la tatu kwa mantiki yoyote ile ya kimwili(physicality), lugha ya kiswahili inajitosheleza kama wataalamu wanavyodai, lakini watumiaji au lugha yenyewe kuna mambo ya kiroho inashindwa tafsiri hivyo "lugha picha inatumiwa.

Nadharia ya jito la tatu ina mizizi kutoka kwa "The Eye of Horus" muungu anga wa Misri enzi hizo.

Ujumbe wako umefika "jicho la nne". Vipi hatuwezi sema "jicho la tano" ni ulimi na njia yake(mdomo) maana ULIMI una nguvu kuliko hayo macho mengine!

Uliposema tu NAPOTOSHA UKWELI nikajua unahitaji kuelimishwa zaidi... Watu wote wanaoishi kwa kuamini dhana inayoitwa UKWELI kwangu mimi wamesoma lakini hawajaelimika..
Iko hivi daima angalia UHALISIA na si UKWELI.... Kwakuwa uhalisia hubaki lakini ukweli hubadilika kulingana na nyakati, tamaduni, imani mila na desturi...
Hata hapo kwenye tafsiri yako ya jicho la tatu umepotoka kabisa na kuandika kitu kisicho halisi
Nimekuwekea mada hii ya jicho la tatu ili uelewe kuwa kabla sijaandika hii tayari nilishaandika kitu kulihusu hilo jicho

Okay, at the highest enlightenment phase truth is relative.

Kwakuwa katika maada uligusia falsafa na maandiko ya kiyudea "Judaism" hivyo nikagusa ukweli kulingana na fikra hizo.

Elimu ya roho na uhalisia usio onekana kwa mwili ni mpana sana, nafahamu vichache hivyo siwezi kuhukumu kwa ujumla bali kulingana na nyanja ulizogusa i.e Judaism.

Biblia imegusia jicho (macho) ya roho. Kiuhalisia hakuna mwanadamu anaeweza kutofautisha taswira la jicho la kulia au kushoto(labda azibe moja). Hivyo basi ingawa tuna macho mawili, tunapotazama tunaona picha moja. Mtume Paulo alisema tuombe macho ya roho na sio jicho, naamini ni macho hayo hayo yanayotumika katika ulimwengu wa giza bali tu kwa madhumuni tofauti.

Yote katika yote, ngoja niupitie uzi ulioweka.

Nimepitia andiko lote.

Labda nianze hivi:
1. Nafsi ya mtu hukaa eneo la karibu na paji la uso, yaani sentimita kadhaa nyuma ya cranium
2. Roho ya mtu hupatikana maeneo ya kifuani.

Pia eneo hili la paji la uso ndipo ubongo wa mbele unapatikana. Kazi yake ni muhimu katika yale tunayoona, kugusa, kusikia ama kuhisi. Kwa lugha fupi huu ndio ubongo tambuzi(unafanya kazi tajwa). Hii ni biology.

Mathematics ni zao la akiri linalo tumia maumbo, herufi na namba ili kuelezea uhalisia au nadharia kwa nyenzo hizo(pia kukokotoa, kuunda nk). Huu mchoro wa sine/cosine unaelezea jambo flani haimaanishi ni halisia au nadharia(tunahitaji ufafanuzi katika hili)

Katika sehemu za mwisho 3, chakra-torture na boxing maelezo ni mapana na marefu zaidi. Lakini tusiingie katika mtego wa kuchanganya tendo la kuona na jicho. Kimantiki zaidi jicho linapitisha mwanga wenye taswira lakini akili ndiyo inakamilisha tendo zima la kuona.
 
Naomba nikushauri mambo machache kwa nia ya kujenga
.Toa ufafanuzi kwa kina kwenye kila jambo ikiwezekana weka post kamili
.Chakata kile unachofahamu ukielezee kwa lugha rahisi na inayoeleweka na wote
. Usidonyoedonyoe vitu na kuacha vinaelea, ni kumchanganya msomaji
Nipende kukushukuru kwa kuchangia sasa kwa weledi zaidi tofauti na post yako ya kwanza
 
Mshana Jr kwanini choo unakiita Ni lango la kuzimu na nini hasa wale wanaochungullia chooni wanaongea Nini .mfano una kikao na mtu anakwambia naenda chooni akirudi Ni chooni tu au kina mengine
 
Nitakurejea

Kuzimu kuko chini na kuzimu kuna milango na milango ya kuzimu mmojawapo ni chooni.... Mtu akiambiwa nenda chooni.. Yaani anaambiwa akateme mabaya yake

Mshana mtu anaweza kubadilishwa na waganga au kuchukua dawa za Johanna ili awe ginius
 
Kabla ya kuasi shetani alikuwa malaika mkuu wa Mungu yani ni kama kiranja mkuu ama waziri mkuu.... Kwahiyo zile chembe chembe za uungu bado anazo mpaka Leo hii....
Chooni panachukuliwa kama mlango wa kuzimu na kuna mengi ya giza hufanyika chooni na kufanikiwa sana...... Ni jambo la kushangaza mno kama ukimkuta mtu ameinama chooni anachungulia bila sababu maalum... Huyo hakosi kuwa mchawi
Mungu aliipiga dunia na mapigo mawili la moto na la maji (gharika) maji hutengeneza uhai kwahiyo hili halikuwa pigo baya sana kwakuwa pia aliandaa safina kwa wateule wake wale watakaotii sauti ya mlawi wake NUHU
Pigo la pili lilikuwa kwenye miji ya SODOMA NA GOMORA.... hapa watu waliishi kwa anasa kubwa na wakafanya yaliyo CHUKIZO KUBWA mbele zake ...Mtumishi aliyepokea maono na kuamriwa aondoke SODOMA ni Lutu na mke wake na mabinti wao wawili, kabla moto haujashuka kuangamiza wadhambi
Sharti lilikuwa moja watakapoondoka asiwepo wa kugeuka nyuma LA sivyo atageuka jiwe LA chumvi.. Mke wa Lutu "aligeuka nyuma" na neno likatimia
Mwili wa binadamu una namna yake ya kujisafisha na kutoa uchafu.. Lakini uchafu unaoheshimika sana ni kinyesi.. Uchafu huu hujengewa sehemu maalum na kuhifadhiwa vema
Iweje Leo wewe kiumbe lile tundu linalochungulia mlango wa kuzimu unataka kulitumia? Unapochutama uchi ukiwa umechanua miguu chooni unajua linaona nini huko ulikolielekeza?
Kweli watu mna guts za ajabu LAKINI Mmh haya ila msisahau nini kiliiangamiza kwa moto SODOMA na GOMORA [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Ukweli mchungu,wahusika jitahadhari
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848]hapana ni ngumu sana
Mshana mtu anaweza kubadilishwa na waganga au kuchukua dawa za Johanna ili awe ginius
 
Mungu alitoa SHARTI LA KUTOGEUKA NYUMA.

Leo mganga leo watu wakisikia umepewa masharti ya KUTOGEUKA nyuma utasikia USHIRIKINA[emoji23]

Sent from my itel W5504 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom