Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

[emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
We hujajua kua mada yako hii inayofundisha yeye imemharibia soko kiasi gani.ni Kama vile umerusha jiwe kichakani.ukisikia mayowe ujue like to mtu.
 
.
downloadfile-2.jpeg
 
Kwani wewe popo?
Mahali kwingjne unasapoti, hapa unaonya aahhh!!!!
Kabla ya kuasi shetani alikuwa malaika mkuu wa Mungu yani ni kama kiranja mkuu ama waziri mkuu.... Kwahiyo zile chembe chembe za uungu bado anazo mpaka Leo hii....
Chooni panachukuliwa kama mlango wa kuzimu na kuna mengi ya giza hufanyika chooni na kufanikiwa sana...... Ni jambo la kushangaza mno kama ukimkuta mtu ameinama chooni anachungulia bila sababu maalum... Huyo hakosi kuwa mchawi
Mungu aliipiga dunia na mapigo mawili la moto na la maji (gharika) maji hutengeneza uhai kwahiyo hili halikuwa pigo baya sana kwakuwa pia aliandaa safina kwa wateule wake wale watakaotii sauti ya mlawi wake NUHU
Pigo la pili lilikuwa kwenye miji ya SODOMA NA GOMORA.... hapa watu waliishi kwa anasa kubwa na wakafanya yaliyo CHUKIZO KUBWA mbele zake ...Mtumishi aliyepokea maono na kuamriwa aondoke SODOMA ni Lutu na mke wake na mabinti wao wawili, kabla moto haujashuka kuangamiza wadhambi
Sharti lilikuwa moja watakapoondoka asiwepo wa kugeuka nyuma LA sivyo atageuka jiwe LA chumvi.. Mke wa Lutu "aligeuka nyuma" na neno likatimia
Mwili wa binadamu una namna yake ya kujisafisha na kutoa uchafu.. Lakini uchafu unaoheshimika sana ni kinyesi.. Uchafu huu hujengewa sehemu maalum na kuhifadhiwa vema
Iweje Leo wewe kiumbe lile tundu linalochungulia mlango wa kuzimu unataka kulitumia? Unapochutama uchi ukiwa umechanua miguu chooni unajua linaona nini huko ulikolielekeza?
Kweli watu mna guts za ajabu LAKINI Mmh haya ila msisahau nini kiliiangamiza kwa moto SODOMA na GOMORA [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
[emoji23]Dah uzi matata sana huu umetulia vizuri

Mzee wa KITI MOTO (sio msosi) umeleta mada nzuri saana ili wenye nia ya kufanya huo uovu wajue ni dhambi mbaya saana.
Kuna wafukuaji wa mambo ya kale wamekuta mabaki ya mifupa ya wanaume waliokumbatina ktk mji wa zamani wa Sodoma.
Hiyo dhambi mbaya kuliko mwanamme kumgeuza mke mwanaume mwenzake.
Hata kama ni mwanamke tumia njia halali ya asili acha ujinga kujichafua kimwili na kiroho!!
Unafungua milango ya kushambuliwa na shetani!!
Ahsante saana Mshana Jr MZEE WA KITI MOTO!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji116][emoji116][emoji123]

Back
Top Bottom