Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

Acha Uongo na Uzushi

Hiki ndicho kitu cha kwanza ambacho Padri Martin Luther alikipinga miongoni mwa zile sababu 90 na..

Tunasamehewa dhambi na Mungu mwenyewe na kutangaziwa uhuru na utakatifu, hatusamehewi na Mwanadamu

NENO TU, IMANI TU, NEEMA TU


Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Yesu alipomwambia tajiri auze vyote alivyo navyo, awape maskini, alifanya hivyo Ili iweje?

Anania na saphira, waliuza shamba na kupeleka sadaka Kanisani Ili iweje.?
 
Hata mm sikusema KAZI ya sadaka ni mbadala wa Damu ya Yesu.

Soma thread yote uelewe. Sadaka Ina KAZI yake, Damu ya Yesu Ina KAZI yake.
 
Nyie wenyewe wezi

Ova
 
Wewe ni mjinga wa kiroho, kwamba Mungu anahitaji usuluhishi kati yake na mtenda dhambi!? Kwamba hawezi kusamehe mpaka awepo mchungaji wa kumsihi!!??? Umejaza matope kichwani.
 
Yaani uzini na mke wa Jirani Yako sirini halafu utubu sirini?

Mwombee Mungu Roho mtakatifu akufunulie aloyasema mwenyewe kabla ya kupinga.
Kwahiyo Mungu hana uwezo wa kusamehe mpaka ukamwambie Mchungaji kwanza!?
Kwa maandishi yako ni kama uwezo wa kusamehe dhambi unatoka kwa wachungaji na si Mungu! Umekosa maarifa.
 
Si DHAMBI zote Hadi uende Kwa mtumishi, ni baadhi.

Mfano, huwezi kufirana, kuua au kuzini na mke wa Jirani Yako halafu ukatubu sirini, dhambi hizo hapo juu Zina mikataba na vifungo vya kipepo ambavyo lazima uhusishe Mtumishi.
Kwamba hivyo vifungo na mikataba ya kishetani Mungu hawezi kuivunja ila mtumishi tu!!?? Kama na wewe ni mchungaji basi utakuwa mchungaji mjinga kuliko wote duniani.
 
Yesu Kristo, Mungu mkuu, pia aliitwa kichaa aliyechanganyikiwa.

Napokea matusi yote, pia nakuombea upate neema ya kutubu kabla ya kufa.

Ikitokea umekufa bila kutubu, thread hii, itakuwa ushahidi siku ya HUKUMU.

Amen
Una chembe za wehu bilashaka.
 
HATIA itaendelea kuwepo Hadi uwatafute watumishi wa Mungu wa Kweli Ukiwa na sadaka ya Ukombozi.
1. ๐Ÿ’ธ
unawahutaji watumishi wa Kweli Ili UOMBEWE na kuwekwa huru, sadaka ni LAZIMA Ili itolewe huko.
2. ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ
nenda Kwa watumishi wa Kweli, Ukiwa na sadaka ya Ukombozi.
3. ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ
hivyo kufunguliwa ni LAZIMA utoe sadaka
4. ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ
Chukua sadaka, mwone mtumishi wa Kweli wa Mungu ufunguliwe na Mungu
5. ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ
Chukua sadaka, mwone mtumishi wa Kweli UOMBEWE na kufunguliwa.
6. ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ
Tafuta kiongozi wa Mungu wa Kweli mwenye BUSARA za Mungu, akuongoze Cha kufanya, utoe pia sadaka ya Ukombozi.
7. ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ
Sadaka ni LAZIMA, sababu, Ulimwengu wa Nuru na Giza sadaka ni inevitable. Amen
8. ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ.
 
Leta vifungu, acha kubwabwaja.
 
Imeandikwa wapi?

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ