Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

 
Si DHAMBI zote Hadi uende Kwa mtumishi, ni baadhi.

Mfano, huwezi kufirana, kuua au kuzini na mke wa Jirani Yako halafu ukatubu sirini, dhambi hizo hapo juu Zina mikataba na vifungo vya kipepo ambavyo lazima uhusishe Mtumishi.
NAKAZIA
 
kwahiyo mtumishi ndio anavunja vifungo, sio Yesu tena.
 
nilikuwa sijajua kama humu ndani kuna mitume na manabii, matepeli wakubwa.
 
Hayo kwa mujibu wa nani
Sisi tunajua majuto ya Moyoni ndio Majuto kuu inafuta kila takataka.
Usituambie tuchukue sadaka twende kwa mtumishi afu ukute mtumishi mwenyewe mwamposa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukitenda dhambi haswa sirini, malizana na mungu wako kisiri siri, na mungu anasamehe bila tabu kama ni toba ya ukweli.
 
Huu mpango ulikuwepo hata kipindi cha Waisraeli, mtenda dhambi alienda kwa wazee na makuhani kutubu ili apatanishwe na Mungu

Kipindi cha mitume pia ilikuwa hivyo, hii ndio sababu Mungu ya kuweka viongozi kwenye ibada, mojawapo ya kazi zao ni kumwongoza mtenda dhambi ajutie kosa lake, kumsaidia nini kilimfanya ateleze, kusali pamoja naye na kumpa mashauri asirudie dhambi zake
 
Afadhali mtumishi umeelewa wewe!!

Kizazi Cha nyoka hakitaki kuambiwa kiache dhambi.
hakuna mtu anasema dhambi isiachwe, tunachokupingeni ni hiki, Yesu Kristo alikufa kwa ajili ya kuondoa dhambi, alifanyika kafara la dhambi zetu, halafu ninyi mnataka kutengeneza kafra lingine (sadaka), na hamtoi mstari hata mmoja kuback up your stories. huo mstari wa Yakobo, ndio mmeutumia sana kuhalalisha mafuta ambayo hata hivyo enzi hizo hawakuwa wanauza kama ninyi. sasaivi ukienda arusha au kimara temboni hapo kuna mitume kuwaona hadi utoe pesa, kama wangekuwa watumishi wa Mungu manake matajiri tu ndio wangehudumiwa, Yesu alisema mmepata bure toeni bure, hizo biashara mnazitoa wapi? hata mkija kusaidiana hapa tunawajua, si ndio maana mmeunda na umoja wenu wa mitume na manabii? watoto wa nyoka ninyi na baba yenu ni shetani baba wa uongo, ndio maana mafundisho yenu yote ni ya uongo kwasababu yanareflect baba yenu ibilisi. kuna siku mtalia na kusaga meno kwa kupotosha watu wengi. Mungu hajalala.
 
Hizo dini za kutubishana ni dini za agano la kale na no matokeo ya ukosefu wa maarifa.
 
kwahiyo mtumishi ndio anavunja vifungo, sio Yesu tena.
Anayevunja vifungo ni Yesu,

Mtumishi anamwongiza mtu aliyefungwa katika baadhi tu ya dhambi zilizotajwa hapo juu ambazo kamwe, huwezi kujifungua pekeako sirini.

Ikiwa unaona hutaki kubeba sadaka ya shukurani, hiyo ni shauri Yako.

Yesu aliwaponya WAKOMA 10, mmoja tu ndiye alirudi kushukuru.

Kushukuru ni sadaka, Yesu mwenyewe aliuliza, waliponywa kumi, wengine tisa wako wapi?

Yesu hakukataza sadaka, ikiwa unampenda Mungu, shukrani ni lazima,

Sijui unaelewa? Mimi ni mtumishi wa Mungu.

Amen
 
Hayo kwa mujibu wa nani
Sisi tunajua majuto ya Moyoni ndio Majuto kuu inafuta kila takataka.
Usituambie tuchukue sadaka twende kwa mtumishi afu ukute mtumishi mwenyewe mwamposa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unachukua sadaka unaenda kumpa mtumishi akuombee usamehewe, kuimbe mtumishi mwenyewe ana yake kibao. na hata kama ungekuwa unasema uende labda peke yako unakosa ujasiri kutubu, sadaka ya nini? sadaka unanunua utakatifu, na kama sadaka ni ya moyo si uende na moyo tu bila pesa? matapeli hawa aisee.
 
Hivi kumbe oral sex ni dhambi πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Kwa hiyo kama mmeoana (mke na mume) na mnafanya oral sex ni dhambi πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Kwa hiyo mkeo akinyonya dudu yako kwa mdomo kabla hujamchomokea kwake ni dhambi πŸ€”

Kwa hiyo mimi nikinyonya kisimi cha mke wangu kabla ya kumnyandua ni dhambi πŸ€”

Mimi najua hayo ni maandalizi tu kabla ya kunyandua mnaamshiana hisia ili tendo lije linoge vizuri.

Lakini pia umenitia wasi wasi sehemu moja, "kwani dhambi haiwezi kusamehewa bila kutoa sadaka" ?

Au ni mtunishi tu unajipigia debe ili tuje kwako na sadaka.

Yaani punyeto tu mpaka nitoe sadaka ndiyo nisamehe, mkuu labda wewe anaabudu miungu siyo Mungu.
 
kwanini iwe shauri yangu? kama kitu cha muhimu ni lazima ukifanye, kama sadaka ni ya muhimu lazima ufanye, cha muhimu hapa ni wekeni mistari inayosema twende na sadaka kuombewa msamaha wa dhambi ili tujadili hapa. ama la, ninyi ni uzao wa nyoka na matapeli wa injili.
 
Hizo dini za kutubishana ni dini za agano la kale na no matokeo ya ukosefu wa maarifa.
Mtumishi nawe hujaelewa dhima ya thread.

Mganga wa kienyeji anaweza kujitoa katika kifungo Cha mikataba ya uganga bila msaada wa watumishi?

Si DHAMBI zote, Rudi soma UPYA utaelewa.

Tafadhali πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…